Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naomba kumjua mkandarasi mshauri kwenye uboreshaji wa miundo mbinu uwanja wa ndege wa kimataifa Mwanza, ni nani hasa ili tujua uwezo wake.
1 Reactions
5 Replies
585 Views
Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo. 1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi. 2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Maonesho sekta ya ujenzi - viwanja vya Bunge Dodoma. TAREHE: 27 - 28 MEI, 2024.
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Salaam Wakuu, Kuna baadhi ya Mawaziri wamekuwa wanang'aa sana kwenye vyombo vya habari na kusifika wa kufanya kazi nzuri katika wizara zao lakini majimboni kwao hali ni mbaya sana. Miundombinu...
0 Reactions
3 Replies
479 Views
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 34, leo Mei 27, 2024. https://www.youtube.com/live/IS2dt0MQBRU?si=kftVdtYYt24L5Y1X Mkataba wa Ununuzi wa Umeme kati ya TANESCO...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa Sasa CCM siyo tena chama cha Siasa bali ni kundi kubwa la watu linalotumia Siasa kujitajirisha. Wakati wa enzi za Ali Hassan Mwinyi akiwa Mwenyekiti (1993-1994) wa chama hicho, mmojawapo wa...
23 Reactions
74 Replies
5K Views
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amewataka viongozi wa ngazi zote kuhakikisha wanahamasisha Watu wenye Ulemavu na Wazee kujiandikisha katika uboreshaji wa...
0 Reactions
1 Replies
457 Views
Nimeona clip ya RC Makonda akiwa Longido na kisha yamefuatia malalamiko kutoka Kituo cha Haki za Binadamu pale Kijitonyama na sasa Umoja wa Wanawake wa CCM Kufikia kesho siyo ajabu tukawasikia...
13 Reactions
82 Replies
5K Views
Idadi ya wageni wanaoshuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), imeongezeka kutoka 300 hadi kufikia 2000. Ongezeko hilo limechangiwa na Filamu ya The Royal Tour iliyoigizwa na...
6 Reactions
54 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema jina la Tume ya Uchaguzi (NEC) litabadilika Ijumaa Aprili 12, 2024 na kuwa Tume Huru ya Uchaguzi. Katika...
16 Reactions
96 Replies
7K Views
William Ruto wa Kenya kachukuwa nafasi ya Cyril Ramaphosa wa South Africa baada ya South Africa kujiunga na Urusi na China kwenye Bricks. Hii imetoa mwanja kwa Marekani kuangalia kiongozi...
1 Reactions
9 Replies
636 Views
TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU MAENDELEO YA MPANGO WA UHAMAJI WA HIARI KUTOKA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO KWENDA MSOMERA NA MAENEO MENGINE YA NCHI Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndg wadau, YUPO WAPI aliekua DC machachari ikungi bwana Jerry MURO. Nakumbuka kijana huyu aliyavaa madaraka mpaka akasahau kwamba cheo ni dhamana tu. Leo hii kapotea kabisa Wala hasikiki, si ni...
8 Reactions
22 Replies
7K Views
Sisi watanzania, tunalitaka lile kundi la akina mama wa CCM (UWT) lione haja ya kukemea majizi na wachepushaji wa fedha za wananchi. Kila mahala ukipita lazima ukutane na hadithi ya majambazi...
6 Reactions
9 Replies
661 Views
Huko miaka ya nyuma viongozi walikuwa wanachaguliwa kutokana na mafunzo ya uongozi waliyo yapata kutoka katika vyuo husika,,mfano husika ni kile Chuo cha CCM Kivukoni. Huko viongozi walikuwa...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka. Juzi kuna habari imetokea huko kwenye...
12 Reactions
53 Replies
2K Views
Hivi iko wapi ile Kamati ya maadili ya ccm iliyowahi kuwachukulia hatua kali akina Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT taifa), Msambatavangu (akiwa mwenyekiti UWT mkoa wa Iringa), na iliyowapa...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Je Mabeho. Ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi hadhani huu ni wakati wake wa kutuomba msamaha? Je bado anaamini yupo sahihi? Ni kwa nini sisi Tanzania ni Nadra sana kupata wakuu wa Jeshi Wazalendo...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom