Hivi iko wapi ile Kamati ya maadili ya ccm iliyowahi kuwachukulia hatua kali akina Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT taifa), Msambatavangu (akiwa mwenyekiti UWT mkoa wa Iringa), na iliyowapa kalipio kali mkatibu wakuu wastaafu wa ccm taifa, Abdulrahman Kinana na mzee Yusufu Makamba?
Kwanini hivi sasa hii Kamati inaonekana kusuasua kumchukulia hatua kali mtu ambaye anaonekana wazi kumdhalilisha mhe rais waziwazi kwa kulibagaza baraza lake la mawaziri? Yaani mtu mmoja anajifanya kuwa na taarifa nyeti za nchi kuliko rais, na kuthubutu kumpa taarifa kuwa anatukanwa na mawaziri wake??
Mtu anayejitapa kuwa yeye na merehemu damudamu na hatowcha kufuata nyayo zake? Hee! CCM mnakwama wapi?
Fukuzeni huyu mtu ana-set precedence mbaya. Kuna siku ataibuka kichaa atakuja kuitumia hii precedence kufanya maovu zaidi na mtashindwa kumshughulikia. Aibu haina kwao. Nyoka hakaribishwi ndani na wala havumiliwi.
Huyu mtu kaanzia mbali sana:-
1. Alimpiga ngwala mzee Warioba.
2. Alimtukana Lowasa.
3. Alitaka kumpiga Nape na bastola.
4. Amelisingizia baraza la mawaziri kuwa linamtukana mhe rais.
5. Anatukana na kudhalilisha watumishi hovyo.
6. N.k.
Hakuna aliye salama.