Kwakuwa bado hakijatokea mwache aendelee na kazi Yake.Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
List iko wapi?Aliwahi kusema mawaziri wanamtukana rais, kwani alifanywa nn
Sema tena na tena. Ni kwa sababu tuko Bongo ambako hata ujinga ni akili kubwa, lakini alishamvua siku nyingi.Amvue nguo mara ngapi?
Amvue mara ngapi mbona tayari ameishamvua yupo uchi wa mnyama au aendelee zaidi ya kuvua?Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
Mbona mara kibao tu katoa matamshi yenye ukakasi kiasi inaonekana kuna siri kubwa kati yake na mamlaka ya uteuzi.Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha