Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Napenda kufahamu tofauti kati ya official state visit na official visit, nimeshangaa kusikia karibu miaka 15 imepita ndiyo Ruto anakuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kufanyiwa official state...
0 Reactions
1 Replies
396 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi. Waziri Mchengerwa...
1 Reactions
2 Replies
583 Views
Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku...
6 Reactions
99 Replies
7K Views
Hakika sasa ndio nimejua kwanini Wajinga wengi wapo CCM. Hali ya Ugumu wa Maisha ya wananchi waathirika wakubwa ni Wanachama wa Chadema na ndio maana viongozi wao wanataka Mabadiliko makubwa ya...
0 Reactions
5 Replies
610 Views
Miongoni wa kundi linalokula keki ya Taifa kwa mrija bila kujali umaskini wa Wananchi ambao ni wapiga kura ni hawa wabunge wa bunge letu. Wabunge wetu wamekuwa Wanalipwa posho, mikopo ya magari...
3 Reactions
7 Replies
570 Views
Kwa sasa Siyo rahisi kuelewa zipi ni Mali za Muungano na zipi za Tanzania Bara Sasa itakuwaje? Kwenu Wataaluma
0 Reactions
7 Replies
471 Views
Mh Kishimba, mbunge wa Kahama amesema amesoma katika gazeti la Busara kuna Utafiti umefanyika kuhusu taasisi zinazotoa Huduma Bora kwa jamii Utafiti huo umeonyesha Jeshi la Wananchi Ndio...
1 Reactions
9 Replies
743 Views
Sio jambo rahisi sana kujitoa mhanga kuyasema haya, na kipekee nimshukuru Maxence Melo kwa kuweka jukwaa hili; linasaidia sana kupashana habari. Niwafungue macho kidogo: eGA kupelekwa wizara ya...
6 Reactions
44 Replies
8K Views
21 May 2024 Mwanzo - Mwisho: Mhadhara wa Kiprofesa na Profesa Rwekaza Mukandala Mhadhara wa Kiprofesa kuhusu dola , Masoko, na Kufeli kwa Kitaasisi : Mafunzo toka Kuletwa duniani kwa lazima...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu mpo salama? Twende moja kwa moja kwenye mada. Wakuu, haya mabango mawili ni shughuli mbili tofauti ambapo serikali ilialikwa na wadau kushiriki kwenye shughulii hizi. Hii ya kwanza ilikuwa...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Bajeti ya wizara ya viwanda ieleze itakavyosaidia wazawa na wazalishaji wa ndani, kuna wanasiasa wanaingiza baadhi ya bidhaa hazinakodi na zile zinazozarisha ndani ya nchi wanatozwa kodi kubwa...
0 Reactions
1 Replies
357 Views
Huyu bwana ni Mzanzibar ameuliza maswali muhimu kwa Watanganyika.Hivyo basi nami,nimeleta kwenu GT kupata majibu ili tuweze kumbaini mchawi wetu alikuwa nani juu kuuzwa kwa Tanganyika yetu...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Wafanyabiashara waelewe ukikusanya kodi ya mauzo ya VAT ya 18% ni juu yako kuweka tax kwenye bei zetu. Ile kodi ya 18% sio pesa yako umechukuwa na kuwashikia serikali. Sasa msije kufikiri ile pesa...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
MABADILIKO YA SHERIA YA MADINI YAWANUFAISHA WATANZANIA - MAVUNDE - Kampuni za Watanzania za Kutoa Huduma na Kusambaza bidhaa zaongezeka. - Ajira rasmi 18,853 kwa Watanzania. - Chini ya uongozi...
0 Reactions
2 Replies
441 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema Jimbo la Kongwa halina Mbunge na yule Ndugai alipachikwa tu Ndugu zangu hapa Kongwa jimboni hakuna Mbunge hivyo nawaomba anzeni safari ya kuchagua viongozi wa...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii mahakama iliasisiwa na Mwendazake Pombe Magufuli John alipokuwa Rais kwa kulazimisha wa awamu ya tano. Haipo kikatiba Haipo kisheria Haipo kwenye ilani ya chama. Iliasisiwa kwa maono kimo cha...
19 Reactions
132 Replies
7K Views
TANROADS LINDI YAREJESHA MAWASILIANO BARABARA YA KILWA MASOKO-NANGURUKURU-LIWALE Wakala ya barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Lindi umefanikiwa kurejesha mawasiliano yaliyokuwa yamekatika kati...
0 Reactions
11 Replies
944 Views
Ni kweli tuna zimwi liitwalo Muungano na halieleweki Wala kuandikika na linatugawa Kila kukicha tukafikia hatua tukalipaka rangi kuwa liitwe "KERO za muungano"! Wazee wetu walioushuhudia muungano...
6 Reactions
14 Replies
600 Views
Back
Top Bottom