Kwa niaba yangu binafsi, na wale wote wenye mapenzi mema kwa nchi na taifa kwa ujumla. Nawashukuru watanzania na wananchi wenzangu, kwa kuiunga mkono serikali sikivu ya awamu ya6, chini ya...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna...
Kuna Mabalozi wengi sana wa Mataifa mbalimbali ambao wanawakilisha Mataifa yao hapa Tanzania.
Lakini baadhi ya Mabalozi wanafanya kazi nzuri iliyotukuka kushinda Balozi zetu. Baadhi ya hao ni...
Kipaumbele cha Wananchi wa Tanzania ni nini?
Dispensary ya Kijiji cha Nahukahuka halmashauri ya Mtama mkoani Lindi ujenzi wake unahitaji tsh million 68 na Wananchi wamejaliwa kuchanga tsh million...
1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24.
2. Wakati...
Katika kuifahamu dhana ya 'Balance and Check' katika mihimili ya Dola kwa maana ya Serikali, Bunge na Mahakama sijawahi kujua hii dhana inafanya vipi katika eneo la Mahakama.
Kwa mfano Bunge...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amefunguka mazito kuhusu Bwawa la Umeme la Nyerere namna lilivyoteketeza Watu huko Rufiji.
Ameyasema hayo kwenye viwanja vya Mwembeyanga alipohutubia...
Hakika nichukue nafasi hii kumpongeza kwa dhati Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa kwa Maamuzi Magumu anayoyachukua katika Wizara yake.
Wizara ya Ardhi ni moja ya Wizara zenye WATENDAJI WA OVYO SANA...
Fikiria Urefu wa kamba ya Afisa Mifugo, anatoka ofisini anakwenda minadani anakusanya Tozo jumla ya tsh million 9 na haziwasilishi serikalini mwaka mzima, DED anaposikia Shujaa Mdogo RC Makonda...
Mti wenye matunda sharti upigwe mawe ndivyo ilivyo pia kwa kiongozi bora na mzalendo kama MAKONDA
Makonda ni miongoni mwa viongozi wachache barani Africa waliotayari kupoteza hata kile walicho...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema wizara kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imejipanga kufanya matengenezo makubwa kwa lengo la kurudisha mawasiliano kwenye barabara...
Mbunge Felista Deogratius Njau akichangia mada kuhusu Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amesema majengo kadhaa ya Ubalozi wa Tanzania yamechakaa likiwemo la...
The following is the list of top 10 African Countries with serious leaders;
1. Burkina Fasso
2. Kenya
3. Rwanda
4. Cote d' Voire aka Ivory Coast
5. Uganda
6. Senegal
7. Guinea
8. Niger
9. Mali...
COMORO KUMUUNGA MKONO DKT. NDUGULILE KINYANG'ANYIRO CHA WHO - AFRIKA
Serikali ya Comoro imeahidi kuunga mkono ugombea wa Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile katika nafasi ya Ukurugenzi wa Kanda wa...
Huyu kijana alikuwa Makamu Mwenyekiti wa UVCCM , akafanyiwa figisu mbaya sana na kunusurika kutekwa .
Baada ya miaka mingi kupita hatimaye leo amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam wanaotumia usafiri wa vivuko eneo la Kigamboni -Magogoni juu ya taharuki kuhusu huduma inayotolewa na Wakala wa...
Nikiwa mtoto mdogo pale Ikulu niliwahi kumona Mwalimu akitoa hotuba ndefu pembeni ya hayati Rashid Kawawa miaka ile ya 80 mwanzoni.
Mwalimu alijaliwa karama binafsi za ushawishi {charismatic...
Kumekuwepo na tuhuma nyingi kuhusu udhaifu wa mahakama ya Tanzania kwa miaka takribani nane sasa.
Jaji Mkuu aliyepo ameonyesha kushindwa kabisa kujitenga na matakwa ya serikali na hivyo kuifanya...
Nchi hii ina jumla ya mikoa zaidi ya ishirini na sita, napenda kutambua ubora wa wakuu watatu wa mikoa ambao ni hazina kwa taifa letu
1. Paul Christian Makonda -Arusha
2. Said Mtanda - Mwanza
3...
MOROGORO: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro imebaini mbinu chafu zinazotumiwa na baadhi ya mawakala kuwaibia wateja wao pindi wanapohitaji kufanya miamala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.