Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ado Shaibu akiwa kwenue mjadala wa X (Twitter ya JamiiForums) ametoa mchango wake kuhusu rushwa. Akitoa hoja hiyo anasema: Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Siku chache baada ya uwepo wa taarifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kusaini miswaada ya Sheria za Uchaguzi na kutangazwa kuwa Sheria, Kituo cha Sheria na Haki za...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
kwa siku za hivi karibuni hadi Bunge linakatiwa matangazo ya moja kwa moja (live coverage) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na chombo hicho kujiunga na kuripoti matukio ya warsha...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) asubuhi hii ya leo Alhamisi Mei 30, 2024 atakuwa na Mkutano na Vyombo vya Habari...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi...
21 Reactions
88 Replies
3K Views
Rwanda ni nchi ndogo ya milima na isiyo na bandari pia ina idadi kubwa ya watu kulinganisha na eneo lake. Ni tofauti na Tanzania ambayo ni nchi kubwa ardhi ya kutosha mali asili kibao na ukanda wa...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM. Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine...
41 Reactions
358 Replies
40K Views
Tanzania viongozi wengi wanaenda kwa mazoea na siasa wanaona kama biashara binafsi. Wananchi wengi wanatambua sasa kwamba viongozi wengi badala ya kuangalia nchi kwanza wanaangalia famila zao...
0 Reactions
2 Replies
452 Views
Huyu mbunge wa Kahama Kiukweli ndio mbunge anaejua kujenga hoja na kila akiongea anatoa vitu ambavyo vinafikirisha na vinajijenga mpaka unajiuliza vipi wale wataalamu hawakuliona Hilo au...
36 Reactions
107 Replies
10K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewataka Viongozi wa CCM kuzunguka kona zote na kuwaletea Taarifa za Viongozi wabovu na wezi Ili wawashughulikie kungali Mapema " Msije kutulaumu wakati wa...
2 Reactions
7 Replies
829 Views
Mwenyekiti Mpya wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi amewashukuru Wananchi Wote wa Kanda ya Nyasa na kusema " I never thought Hip hop would take me this far" Salam za Shukrani amezitoa...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama anachofanya Makonda ni udhalilishaji watanzania wameridhika na huo udhalilishaji. Kama anachofanya Makonda ni ubabe huo ubabe ndiyo watanzania wanautaka sasa. Kama anachofanya Makonda ni...
6 Reactions
7 Replies
601 Views
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake. Je...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, leo tarehe 30/5/2024 wamewasili Mkoani Mara kuelekea Wilaya ya Tarime kwenye mgogoro Kati ya Wananchi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale. Barabara hii imejengwa chini ya viwango. Na tukumbuke waziri aliyehusika...
18 Reactions
120 Replies
8K Views
Kama unabisha subiri Baraza Kuu la CHADEMA ambalo ni Jipya litakapoketi. Tunakoelekea ACT wazalendo Zanzibar watakuwa ndio Wapinzani wa kweli wa CCM na hapa nakubaliana na bwashee Malaria 2...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
WABUNGE WATAKA BAJETI YA UJENZI IPITE//WALILIA IONGEZWE FEDHA Wabunge wamepongeza kazi zinazofanyika katika Wizara ya Ujenzi huku wakitaka Kamati ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ili...
0 Reactions
1 Replies
387 Views
Sugu amembwaga Peter Msigwa kwenye uchaguzi wao wa Kanda. Aidha Wenje nae alimbwaga Pambalu kwenye uchaguzi wa Serengeti Ukweli ni kwamba Wagombea wa Tundu Lissu kina Msigwa na Pambalu...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina...
12 Reactions
82 Replies
5K Views
Back
Top Bottom