Yuko wapi Jerry Muro?

raakha

New Member
May 21, 2023
4
10
Ndg wadau, YUPO WAPI aliekua DC machachari ikungi bwana Jerry MURO. Nakumbuka kijana huyu aliyavaa madaraka mpaka akasahau kwamba cheo ni dhamana tu.

Leo hii kapotea kabisa Wala hasikiki, si ni Bora angebakia msemaji wa Yanga kipaji CHAKE kingekua na asingalipotea kirahisi hivi.
 
Achaga roho mbaya

Aliyavaa madaraka kiaje?
 
Ndg wadau, YUPO WAPI aliekua DC machachari ikungi bwana Jerry MURO. Nakumbuka kijana huyu aliyavaa madaraka mpaka akasahau kwamba cheo ni dhamana tu.

Leo hii kapotea kabisa Wala hasikiki, si ni Bora angebakia msemaji wa Yanga kipaji CHAKE kingekua na asingalipotea kirahisi hivi.
Laana si kitu kidogo
 
jerry muro tapeli sana anakuja dukani mwako anachukua vitu na mda ukiomba pesa anakutishia cheo chake.hii tabia sijui magu alitoa wapi watu hawa sampuli
 
Back
Top Bottom