NEC yabadilishwa jina sasa kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,065
23,948
FB_IMG_1712755402326.jpg

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema jina la Tume ya Uchaguzi (NEC) litabadilika Ijumaa Aprili 12, 2024 na kuwa Tume Huru ya Uchaguzi.

Katika taarifa iliyotolewa leo katika mitandao ya kijamii ya ofisi hiyo imesema:

“Tunapenda kuvitaarifu vyombo vyote vya habari kwamba, kufuatia tangazo la Serikali namba 225 la Machi 29, 2024 Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi namba 2 ya mwaka 2024, itaanza kutumika rasmi Aprili 12, 2024.

“Hivyo, kuanzia Aprili 12, 2024 jina la Tume litabadilika na litakuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi au kwa kiingereza Independent National Electoral Commission,”imesema taarifa hiyo.

Chanzo: mwananchi digital
 
View attachment 2959711

(Imeandikwa na Mwandishi wetu)
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Inalipwa na nani, anayeilipa na kuibadili jina ndiye mwenye full control kama ilivyo kwa mihimili mitatu mmoja umechimbiwa chini zaidi
 
View attachment 2959711
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema jina la Tume ya Uchaguzi (NEC) litabadilika Ijumaa Aprili 12, 2024 na kuwa Tume Huru ya Uchaguzi.

Katika taarifa iliyotolewa leo katika mitandao ya kijamii ya ofisi hiyo imesema:

“Tunapenda kuvitaarifu vyombo vyote vya habari kwamba, kufuatia tangazo la Serikali namba 225 la Machi 29, 2024 Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi namba 2 ya mwaka 2024, itaanza kutumika rasmi Aprili 12, 2024.

“Hivyo, kuanzia Aprili 12, 2024 jina la Tume litabadilika na litakuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi au kwa kiingereza Independent National Electoral Commission,”imesema taarifa hiyo.

(Imeandikwa na Mwandishi wetu)
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa

Tume inaitwa huru ni jina tu sio Tume huru! Hii ni tume ya Raisi
 
“Hivyo, kuanzia Aprili 12, 2024 jina la Tume litabadilika na litakuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi au kwa kiingereza Independent National Electoral Commission,”imesema taarifa hiyo.
Mvinyo uleule kwenye chupa mpya
Nyani walewale kwenye msitu mwingine
Mlioko Burigi National Park tuambieni wale wanyama kutoka Arusha wana tabia zipi huko
 
Back
Top Bottom