kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,939
- 17,400
Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka.
Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama kaambiwa aheshimu wananchi waliomuajiri.
Hatukusikia kile kituo cha kihuni sijui cha nini zamani kiliongozwa na bi kijosimba wala umoja wa majungu tanzania uwt ,hata siku moja kufungua mdomo na kuwatetea wanawake wakina Halima mdee na wenzake kwa matusi udhalilishwaji na majina yenye kutweza utu wa mwanamke ,kuna kipindi alikuwa anaitwa mzee Halima mjomba msagaji ,tena bila kificho lakini wala hakujitokeza hata mmoja.
je hao sio wanawake hebu wabongo nyoso tujitahidini kama sio kuwacha unafiki usio na kipimo ,
mara ngapi huyo kiongozi wa uwt ameongea kauli zenye ukakasi lakini hakuna aliyefungua mdomo!
Wabongo wacheni unafiq jina cov19 sio zuri pazeni sauti kwa wanawake wote!