Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka CHADEMA endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha...
31 Reactions
220 Replies
24K Views
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana. CHADEMA hawana Mbunge...
29 Reactions
201 Replies
20K Views
Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi...
37 Reactions
187 Replies
21K Views
Kuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria. Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka...
13 Reactions
171 Replies
15K Views
Chama tawala nchin Zimbabwe cha ZANU PF kimeitaka nchi ya Marekani kuacha kuingilia mambo ya Tanzania kwani nchi hiyo ni huru. Source: CRI kiswahili ======== ZIMBABWE ruling party ZANU-PF has...
9 Reactions
53 Replies
6K Views
Kama Membe ambaye hakufanya kampeni na mwishoe alijitoa kwenye uchaguzi ameshika nafasi ya 3 ina maana angefanya kampeni angekuwa namba 2 akimzidi Tundu Lissu wa CHADEMA. Napendekeza uchaguzi wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mapema Baada ya kuapa ndani ya Bunge la 12 Mjini Dodoma, Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akihojiwa na chombo cha Habari cha Dar Mpya amenukuliwa akisema. Jimbo la Hai lilikosa uwakilishi sahihi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
1. Umemuonyesha Magufuli na Ndugai ukuu wa Mungu. Umepona, umerudi na watanzania wote wameshuhudia kuwa Mungu ni mkuu sana. 2. Wale waliokupiga risasi, wakazuia usitibiwe, wakakunyima mshahara na...
57 Reactions
45 Replies
6K Views
Mgombea urais wa JMT, Dkt. Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika. Chanzo: Wasafi tv Maendeleo hayana...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
Engel Statement on Elections in Tanzania Bronx, NY—Representative Eliot L. Engel, Chairman of the House Committee on Foreign Affairs, today made the following statement: “It has been tragic to...
10 Reactions
56 Replies
7K Views
OHCHR | UN rights chief disturbed by harassment of opposition following Tanzania elections GENEVA (10 November 2020) – UN High Commissioner for Human Rights Michelle Bachelet on Tuesday said she...
22 Reactions
116 Replies
12K Views
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020. Amesema hayo kumjibu mgombea...
56 Reactions
246 Replies
25K Views
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu. Wimbo huu unatuma...
26 Reactions
41 Replies
6K Views
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa Twitter: Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA...
54 Reactions
162 Replies
17K Views
MBEYA NA IRINGA BADO NGOMA NGUMU Na, Robert Heriel Kama kuna majimbo ambayo CCM itahangaika sana ni pamoja na Iringa Mjini, Mbarali, Mbeya Mjini, na Tunduma Mjini. Kanda ya juu Kusini sasa...
17 Reactions
80 Replies
9K Views
Niwapongeze wagosi kwa kuamua kutetea haki zao. Katika mikitano mingi ya wagombea wananchi wamekuwa na mwitikio chanya huku kilio kikubwa kikiwa kutelekezwa. Majimbo ya Tanga hayana maendeleo...
28 Reactions
151 Replies
10K Views
Kwanza natoa pale kwa upinzani hasa CHADEMA kuwa uchaguzi huu sio kama 2015 ambapo kila mtanzania alikuwa amechoshwa na CCM. Na kila raia alikua tayari kwa lolote ikisubiriwa kauli tu kwamba sasa...
10 Reactions
78 Replies
6K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya...
11 Reactions
73 Replies
12K Views
Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kupitia CCM, Eric Shigongo James, amejumuika na wazee wa Kijiji cha Nyehunge baada ya kuwakuta wakinywa pombe ya kienyeji aina...
5 Reactions
40 Replies
6K Views
Back
Top Bottom