Uchaguzi 2020 Membe hajafanya kampeni lakini kawa namba 3, CHADEMA nendeni na Benard Kamilus Membe mwaka 2025!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,434
2,000
Kama Membe ambaye hakufanya kampeni na mwishoe alijitoa kwenye uchaguzi ameshika nafasi ya 3 ina maana angefanya kampeni angekuwa namba 2 akimzidi Tundu Lissu wa CHADEMA.

Napendekeza uchaguzi wa 2025 CHADEMA waende na Membe wanaweza kuambulia hata wabunge kadhaa wa kuchaguliwa.

Membe ni wa hapa hapa hana ukaazi kwingineko.

Maendeleo hayana vyama!
 

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
13,475
2,000
Kumbe hakukuwa na uchaguzi?

Yule ni yeye wenu alikuwa anafanya nini sasa?
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,434
2,000
Mpuuzi mkubwa wewe, simenti unauziwa elf 23 kama sisi wengine, unashangilia ujinga sijui kwa vile umeshajikatia tamaa huna mpango wa kujenga hata kibanda.
Ufipa ndio kuna banda la rip Makani mnalotumia kama ofisi za makao makuu!

Mnalialia tu hata cement ikiuzwa 5000 hamuwezi kujenga ofisi.

Maendeleo hayana vyama manka!
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
38,326
2,000
Ufipa ndio kuna banda la rip Makani mnalotumia kama ofisi za makao makuu!

Mnalialia tu hata cement ikiuzwa 5000 hamuwezi kujenga ofisi.

Maendeleo hayana vyama manka!
Mpuuzi mkubwa wewe, upinzani umekufa kama lengo lenu mbona hamshangilii mnalazimisha CHADEMA wapeleke wabunge?
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,434
2,000
Mpuuzi mkubwa wewe, upinzani umekufa kama lengo lenu mbona hamshangilii mnalazimisha Chadema wapeleke wabunge?
Mbowe ndio analazimisha akina Halima Mdee waende bungeni lakini Tundu Lissu na Mnyika wanawazuia.

Spika Ndugai ameshatoa onyo wakikosa vikao vitatu wanatupwa OUT!
 

bulicheka 4

JF-Expert Member
Mar 22, 2020
754
1,000
Imeandikwa siku za mwizi ni arobaini hivyo ccm karibu mtabambwa mnazidisha wizi wa kishamba pickpocket uliopitwa na wakati
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom