Uongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro unapenda kuufahamisha umma kuwa haumtambui ndugu Lembruce Mchome kama Mwenyekiti wa Jimbo la Mwanga, kinyume na jinsi anavyojitambulisha katika shughuli mbalimbali...
Tanzania imeshika nafasi ya pili duniani kwa kuporomoka zaidi katika masuala ya haki za kisiasa na uhuru wa raia kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti mpya ya shirika la kimataifa la Freedom House...
Tokea awekewe vikwazo na Marekani, huyu aitwaye Mafwele sijamsikia wala kumwona tena.
Hivi yuko wapi huyu kiumbe?
Ila hawa watu hawana kabisa busara.
Miaka 10 ijayo huyu Mafwele hatokuwa na...
Baada ya kukaa mahabusu za Polisi za Kibaha Pwani, Osterbay na Central Dar es Salaam kwa takribani siku 48 hatimaye leo Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani limemfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa Wizara kupitia Balozi zake duniani imekuwa kiungo muhimu cha kufanikisha na kuchochea...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia Anakubalika ,kupendwa,kuungwa Mkono na Kufuatiliwa kila hatua apigayo . Rais Samia ndiye Habari kuu na habari ndiye yeye .
Kuanzia vijiweni, mitaani, Magengeni...
Kwenye kesi bandia iliyotengenezwa na watawala dhidi ya Lisu, kila mmoja alishangaa kuona wale mawakili wa mchongo wa serika wakikazania kuwa na mashahidi wa kificho. Watu mbalimbali walitoka na...
Mradi wa maji wa Sh585 milioni wazinduliwa na mwenge wa uhuru
MWENGE wa Uhuru umezindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Mtambo wa Kuchuja Maji Igombe–Kabangaja, jijini Mwanza, uliyojengwa kwa gharama ya...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano...
Hii mbinu inaweza ipunguze tatizo Kwa kiasi kikubwa
Sio CCM Wala Chadema au chama KINGINE CHOCHOTE kumekuwepo na wingi la machawa wanaonunulika kirahisi.
Nikianza na Chadema ambayo wengi...
Ifike mahala tuelewe kuwa hili dubwasha CCM limeishi kinafiki katika miaka yake ya ujana sasa limezeeka limegeuka kuwa shetani.
Wanafikia kumdhuru yeyote anayekinyooshea kidole kusimamia ukweli...
Unaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.
Unatengeneza...
Sasa hivi yaani mtu anaweza akaitisha Press conference na kwa kujiamini kabisa akashauri watu wauawe ili kujenga nchi na kuimarisha usalama wa nchi?hivi ni nadharia ipi ambayo inasema maendeleo na...
Mwandishi wa habari Cyprian Musiba amefunguka na kulaani matumizi makubwa ya Rushwa na maovu mengine kipitia ukuta wake wa sura kitabu.
Cyprian Majura MusibaTANURU LA FIKRA
Sambala...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
"Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza...
Wana JF.
Mosi, naomba moderator usiunganishe huu uzi na nyuzi zingine zinazoongelea CCM. Huu ni uzi mahsusi.
Facts:
1. Tanzania ni nchi maskini sana katika viwango vya kimatataifa licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.