Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtangazaji:"Kuhusu maridhiano, hapa nimesikia mwanzoni umezungumza unasema kwamba hakuna maridhiano mpaka wapatikane watu kutoka nje. Unaamini kwamba Tanzania haiwezi kufanya mambo yake bila...
13 Reactions
26 Replies
379 Views
Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi. Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena...
11 Reactions
58 Replies
1K Views
Akizungumza leo Machi 17, 2026 wakati wa Misa takatifu ya Kumbukizi ya miaka mitano ya Hayati Rais Dkt. John Magufuli inayoendelea Chato, Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, Simon Masondole...
2 Reactions
2 Replies
204 Views
Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda. Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya...
25 Reactions
64 Replies
2K Views
Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana. Hivi kwanini upande wa Jamhuri kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu wana mambo ya ajabu hivi...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Wakati mwingine tujifunze kwa mifano hai. Chama tawala cha Democrats 2020 -2024 walitumia mahakama kumwangusha Trump kisiasa. Trump alishtakiwa kesi 4 na mashataka karibu 100. Trump akageuza...
3 Reactions
9 Replies
129 Views
Leo ni siku ya mwisho kwa serikali ya Tanzania kutekeleza pendekezo la Jumuiya ya Madola linaloitaka kutafuta njia ya kisiasa na kisheria ya kumaliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu...
18 Reactions
61 Replies
1K Views
Nilisema nimejiweka tayari kuzibua masikio yangu yote kumsikiliza Dr Nchimbi kama analo jipya la kuwaambia waTanzania juu ya ubovu wa chama chake. Hii ni bila kuathiri uamzi wangu niliokwisha...
22 Reactions
100 Replies
1K Views
Walimu ni kada muhimu inayodharaulika. Siyo kwamba si wasomi ila kwakuwa ukitoka tu chuo basi unafundisha lakini wanapswa kukata leseni ili waheshimike kama mawakili wanavyoheshimika duni a nzima...
1 Reactions
5 Replies
197 Views
Baada ya mafanikio makubwa ya mihadhara ya umma iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Kampasi Kuu ya Chuo Kikuu cha Mzumbe, safari ya kujenga mjadala mpana kuhusu mustakabali wa...
2 Reactions
14 Replies
302 Views
Ndio hivyo tena, tumeikosa. Dangote ameiambia BBC, ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta katika mji wa Lamu nchini Kenya utaanza Oktoba 2026. Ujenzi utagharimu Dola za Kimarekani bilioni 15.5...
10 Reactions
37 Replies
730 Views
Miaka mingi iliyopita nikiwa nimehitimu elimu ya juu, nilikutana na Dada mmoja naomba nimtaje anajulikana kwa JINA la ivone Kamuntu, Dada huyu Mimi nilisoma nae o level pale Airwing, tulifaamiana...
9 Reactions
16 Replies
432 Views
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzingatia usawa wa kijinsia, hatua inayolenga...
1 Reactions
1 Replies
50 Views
DeletedMember281674
Sisi Wakatoliki nchini Tanzania na Duniani kwa jumla tunawaomba JESHI la POLISI TANZANIA kuimarisha Ulinzi wa kutosha katika kuhakikisha Ibada hii inaanza na kumalizika kwa Usalama ili Yale ya...
9 Reactions
42 Replies
663 Views
Wanabodi, Preamble: Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo jina tuu, ila uendeshaji wake ni wa kidikteta wa hali ya juu!. Katiba yake inavipengele vya kidikteta vinavyokwenda kinyume cha...
7 Reactions
285 Replies
39K Views
Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba. Angalia video hapo chini.
55 Reactions
690 Replies
167K Views
Kimsingi Kauli kama hizi hutokewa na watu wajinga na ambao wanaishi kwenye mawazo ya kale na kusikiliza stori za vijiweni zilizojaa uongo na mihemko. Mwambukusi Toka anazaliwa Hadi anazeeka yeye...
7 Reactions
205 Replies
2K Views
Sijatumia neno kustaafu maana ya Mungu mengi, Rais utoka madarakani ama kwa kumaliza muda wake, Kupinduliwa, au kupatwa na Mauti Je Una lipi la kumkumbuka ? Britanicca
29 Reactions
112 Replies
2K Views
Hivi Bank M ni ya nani vile? NEEEEWZZZZ today!!! OMBI la mfanyabiashara Jeetu Patel anayetuhumiwa kuwa kinara wa ufisadi katika kuchota mabilioni kutoka kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA)...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Bank M Tanzania Limited is among bankers appointed by the Tanzania Revenue Authority (TRA) to collect taxes on the authority's behalf. The service was officially launched by the bank at a...
1 Reactions
103 Replies
9K Views
Back
Top Bottom