Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watuhumiwa wengine wa uhaini waliachiwa kwa manufaaa ya umma. Why not Lissu amabae hata kesi yake haina muelekeo?👇
15 Reactions
42 Replies
796 Views
JENERALI ULIMWENGU alizaliwa tarehe 4 Aprili 1948 huko Ngara, Mkoa wa Kagera nchini Tanzania. Alisoma shule za Kamachumu, Katoke na Nyakato mkoani Kagera na sekondari mkoani Tabora kuanzia mwaka...
27 Reactions
83 Replies
12K Views
Wanasiasa wengine hivi sasa, hasa vijana hawana tena muamko wenye kuibua mawazo mapya wala fikra mbadala na bora zaidi za kutatua changamoto zao, wala hawana tena uwezo wa kujitetea wenyewe kwa...
0 Reactions
24 Replies
156 Views
Issue ya Mwalimu mchezaji inaweza ikawa muhimu kwa siasa zetu watu wamepanga kunufaika nayo, kumbukeni wiki hii ndio kuna deadline fulani hivi, na uhakika mnaijua lakini pia kuna kesi muhimu sana...
3 Reactions
34 Replies
354 Views
Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION? Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa madai ya Malisa aliyochapisha katika mtandao wa Istagram amesema Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi...
9 Reactions
94 Replies
2K Views
Mi mi sijali CCM mmeanza kuitawala Tanzania kwa muda gani na mtaitawala Tanzania kwa muda gani hata mkiitawala Tanzania kwa miaka 100 kwangu sawa tu. Shida yangu kwa nini msiwe kama wenzenu CPV...
2 Reactions
25 Replies
604 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kilindi, Mathias Cosmas (maarufu kama Mpendakula), amejibu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa kwa kile alichodai...
0 Reactions
11 Replies
228 Views
guest-1788671453
Nimeona leo zanzibar wakihaidi kupeleka nyuki ikulu ya Chamwino ili kumlinda mweshmiwa Rais Hawa wazee wa kimila wanapewa mialiko rasmi ya shughuli kama hizi zinazohusu mkuu wa nchi Wana msaada...
3 Reactions
9 Replies
186 Views
Shekhe anauliza ni lini watanzania, na hasa waislam, wataachana na fikra utumwa dhidi ya waarabu. Anasema waarabu ni washenzi, wao ndio waliowaletea vitabu vya dini, wao ndio wanaosababisha...
11 Reactions
19 Replies
460 Views
  • Redirect
Tanzania..Tanzania 🇹🇿 nchi yangu imekuwa ya kutolewa kwa mifano mibaya namna hii 😭😭 . Msikilize kiongozi wa Upinzani Nchini Zambia. "UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Habari za wakati huu, Kwanza, nianze kwa kuweka mtazamo wangu wazi kwamba kazi lazima iendelee na maisha lazima yaendelee. Hata hivyo, pamoja na msimamo huo, nieleze wazi kusikitishwa kwangu na...
4 Reactions
67 Replies
789 Views
Its open season wakuu, Vijana wafanyabiashara under 40 wanazidi kuzitusua, kiwango cha matajiri under 40 hakijawahi kuwa kikubwa kama sasa. By hook or crook vijana wanazikusanya chap chap mapema...
8 Reactions
25 Replies
540 Views
  • Featured
Dk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa...
16 Reactions
151 Replies
4K Views
Uchambuzi wa Kitaaluma: Kwa nini vijana wa Tanzania wanaonekana kutoishabikia Serikali mitandaoni na hadharani? Na Mch.Malembela Emanuel(Mchambuzi wa Mambo ya kijamii na Diplomasia Ya Kiimani)...
5 Reactions
3 Replies
441 Views
Kila akifungua kinywa chake yanatoka maneno ya Shari tupu. Vitisho, kejeli, malalamiko, manung'uniko nk. Hakuna tena neno la faraja kutoka kinywani mwake. Hivi ni dalili kuwa hana amani moyoni au...
12 Reactions
20 Replies
429 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya...
3 Reactions
16 Replies
291 Views
Pamoja na nia ya ku create image na kutengeneza diversion ya kesi ya TAL lakini kuna juhudi za uzuri wa mkakasi zinatengenezwa kuonesha hakuna mpasuko wala hawasigani Mdogo kaenda kumpa hi...
21 Reactions
63 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu amewasihi Watanzania, hususan vijana, kulinda amani na utulivu wa nchi kwa kuwakataa wale wote wasiolitakia mema taifa. amesema hayo Agosti 14, 2026 wakati akishiriki katika...
1 Reactions
31 Replies
512 Views
Back
Top Bottom