Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inasikitisha kwamba pamoja na chaguzi za mfumo wa vyama vingi zilizopita bado watu hamjalielewa somo badala yake mmekuwa mkirudia makosa yale yale kila baada ya miaka mitano. inawezekana kweli...
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Wasalam, Nasema hivi, safari hii Kessy atamjua na kumuona adui wake live bila chenga. Suala liko hivi; Dada Kenani msimamo wa CHADEMA uko wazi hawautambui uchaguzi tena, mbali zaidi wanaomba...
16 Reactions
57 Replies
8K Views
Mgombea wa Urais CHADEMA Tundu Lissu leo ataendelea na Kampeni zake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini. Arusha na Kilimanjaro ngome Kuu za CHADEMA tangu mfumo wa vyama vingi uanze wanatarajiwa...
57 Reactions
169 Replies
22K Views
Nimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka Tanzania iwe kama Ulaya. 1. Mwambieni hakuna ulaya ambayo imezuia vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadahara na wananchi wake kuandamana. 2...
13 Reactions
32 Replies
3K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo Akitoa...
13 Reactions
152 Replies
14K Views
Wanangwa, Jana nilikuwa kanisani, mimi ni m- KKKT, na kama mnavyojua KKKT ni moja kati ya Taasisi kubwa sana hapa Tanzania ya kidini. Sasa wakati Mzee wa kanisa anasoma matangazo kikaja...
21 Reactions
85 Replies
8K Views
Mbunge huyo anayemaliza muda wake ameamua kujitoa mara tu baada ya kurejesha fomu. Haikutolewa sababu yoyote ya uamuzi huo mzito. Chanzo: Watetezi TV
7 Reactions
72 Replies
13K Views
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR MWANASIASA Mkongwe Zanzibar, Baraka Mohamed Shamte, amemtaka kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe, kabla ya kudai kumefanyika maonevu na unyanyasaji, kwanza aileze...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge unazidi kukaribia. Wapinzani wanaoonekana maeneo mengi ya kampeni ni Tundu Lissu na Prof. Ibrahim Lipumba. Kumekuwa na mijadala katika maeneo mbalimbali nchini...
6 Reactions
59 Replies
7K Views
Leo nimefurahi sana na misimamo ya wananzengo baada ya kukuta mawakala wote hawana barua za utambulisho hadi wakala wa chama cha Jembw na Nyundo. Msimamizi msaidizi akawatoa wote nje mpaka hapo...
39 Reactions
56 Replies
6K Views
CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo...
49 Reactions
268 Replies
19K Views
Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu...
29 Reactions
162 Replies
13K Views
Aliyekuwa mbunge wa Kilwa kusini ndugu Selemani Bungala (Bwege) , amesema kuwa licha ya yeye kukosa Ubunge lakini Uchaguzi uliokuwa na matatizo zaidi ni wa Urais. Amesema ameshuhudia yeye...
29 Reactions
110 Replies
13K Views
  • Closed
Kama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu...
49 Reactions
102 Replies
9K Views
Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi . Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa...
10 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwanza kabisa sikubali mchakato wa Uchaguzi wala matokeo! Ule haukuwa Uchaguzi bali uteuzi Pamoja na hayo, nashauri chama changu pendwa CHADEMA tumuache mbunge wetu wa Nkasi, Idah, anendeleena...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Wacha wabunge wa wapinzani washiriki vikao vya bunge lijalo, na ikiwezekana wapeleke majina ya watu wa ubunge wa viti maalumu. Maana kuhudhuria au kutokuhudhuria hakusaidii kuimarisha demokrasia...
2 Reactions
81 Replies
6K Views
Katika uchaguzi mkuu huu wanawake hawakubaki nyuma kuwania nafasi za uongozi kuanzia Urais, Ubunge na Udiwani. Wapo walioibuka kidedea ba wapo walioangukia pua, na hiyo ndio democrasia. Yafuatayo...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
"Taarifa ya furaha duniani inasema Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya nchi zinazokosa furaha na sisi CUF tumekuja na sera ya Tanzania yenye furaha inawezekana" - Prof. Ibrahim...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Mbatia muasisi wa Upinzani Tanzania, kijana msomi kutoka udsm ile iliyokuwa critical Huyu kipaumbele kwake ni Tanzania, kipaumbele chake sio kuitana makamanda tu Naweza kusema ni mpinzani wa...
2 Reactions
155 Replies
12K Views
Back
Top Bottom