Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania inatarajiwa kufanya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020 mwezi October. Chama tawala CCM chini ya Rais Magufuli inamaliza muda wake wa miaka mitano.Serekali ya awamu ya tano imefanya mambo mengi...
19 Reactions
94 Replies
6K Views
Wakuu, Inaonekana kuna mvutano mkubwa wa kisiasa katika Jimbo la Iramba Magharibi baina ya Profesa Kitila Mkumbo na Dk. Mwigulu Nchemba. Kitila bado hajatangaza hadharani endapo kweli anataka...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Jimbo la MWIBARA ni moja ya majimbo matatu yanayo unda wilaya ya Bunda. Jimbo hili linaundwa na kata 12 ambazo ni BUTIMBA, Kasuguti, Nyamihoro, Neruma, Kibara, Chitengule, Nansimo, Kisorya ...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Tukijilinganisha sisi na wakenya ktk maeneo mengi tunakuta wakenya wametutangulia kwa kuonyesha dhamira njema katika kila jambo. Mathalan tukilinganisha katiba ya Kenya na ya Tanzania utagundua...
-1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna taarifa kwamba Arusha imejengwa kwa kasi kubwa ikiwemo miundo mbinu ya barabara za Lami ,Shule na Zahanati ikiwa ni mkakati wa maksudi wa kumng'oa Mbunge wa Upinzani Godbless Lema. Wataalamu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
CHAGUZI HIZI ZIMETOA PICHA. WAPAMBE WA PROF KITILA MKUMBO MSIENDELEE KUMDANGANYA ___________________ [emoji3504] UCHAGUZI WA KATIBU KATA, Kata ya Mtoa alikozaliwa Prof Kitila Mkumbo, Mgombea...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika...
13 Reactions
154 Replies
14K Views
Tume ya uchaguzi ya Tanzania (NEC) ndiyo pekee yenye mamlaka ya kutangaza muda wa kuanza kampeni kwa vyama vyote vya sasa, kwa nafasi zote za zinazogombewa katika uchaguzi mkuu, unaotarajiwa...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kesho inaanza siku tatu za lala salama kwenye zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Uwekaji wazi wa Daftari la Awali Tanzania Zanzibar na Mikoa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais John Magufuli BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo. Taarifa iliyotolewa kwa wabunge wote wa...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Mpaka sasa chama hiki ndiyo kikubwa zaidi miongoni mwa vyama vya upinzani. Kwa wanaokumbuka uchaguzi wa 2010 ulionesha umuhimu wa chama hiki kuwa na kituo chake cha television kitakachooneshwa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Tabora, imewaonya wanasiasa wote wanaofanya Kampeni kabla ya muda wa kisheria waache mara moja kufanya kampeni na kutoa Rushwa kwani...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Pamoja na kelele nyingi mitandaoni bado vyama vya upinzani hususani CHADEMA, ACT et al hawana na hawataweza kuwa na wagombea ubunge na udiwani kila mahali kwenye Jamhuri ya Muungano...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanabodi, Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa...
24 Reactions
102 Replies
10K Views
Hali ya Mwita Waitara katika jimbo la Tarime Vijijini imezidi kuwa mbaya sana na hivi sasa amezidi kuishiwa pumzi. Katika hali isiyo ya kawaida imebidi aende kushitaki kwa Wazee wa kimila wa koo...
8 Reactions
62 Replies
9K Views
Kama kweli chadema na ACT waligoma kwenye uchaguz wa wenye vit wa mitaa sababu ya kuminywa kwa haki na demokrasia Basi hata uchaguz mkuu nategemea watagoma Ila ikitokea wameshirik Basi itakua...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Watangaza nia ya kugombea ubunge vyama vya Chadema na ACT wazalendo wanawapa ugumu na kuviweka njia panda vyama vyao kwenye maamuzi. Chadema watia nia wengine wanatoka mkoa wa Kilimanjaro wakati...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita. Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Vita ya ubunge katika jimbo la Arusha mjini ndani ya chàma tawala imezidi kunoga na kuchukua sura mpya mara baada ya kuibuka suala la na kutoana kafara huku baadhi ya wafuasi wa CCM wakitumika...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Tumebakisha miezi mitano ya uchaguzi. Muda haupo upande wenu, wananchi tunangoja kwa hamu kuona mnatuletea mgombea bora, makini, mzalendo, mweledi na anayeweza kurekebisha makosa makubwa mno...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom