zebedayo musibha
Senior Member
- Oct 26, 2019
- 111
- 86
Jimbo la MWIBARA ni moja ya majimbo matatu yanayo unda wilaya ya Bunda. Jimbo hili linaundwa na kata 12 ambazo ni BUTIMBA, Kasuguti, Nyamihoro, Neruma, Kibara, Chitengule, Nansimo, Kisorya , Nampindi, Igundu, Iramba na Namhula.
Shughuli kubwa za uchumi ndani ya jimbo hili ni UVUVI, KILIMO NA UFUGAJI lakini hadi sasa hakuna mikakati yeyote ktk kukuza uchumi wa jimbo.
Miundo mbinu kama barabara na vivuko kwa usafiri wa visiwani na maeneo mengine jirani ni mibovu sana licha ya mvua lakini hata kabla, miundombinu haikuwa rafiki.
Huduma za jamii kama vile Afya, Elimu na Maji sio rafiki.
Hali hii imewafanya wana Mwibara kwa pamoja kuitaji kiongozi atakae tuvusha 2020
Na agenda ya wana mwibara wanaitaji kiongozi kama Cypirian Majura Musiba ambaye ameonesha uthubutu ktk harakati za maendeleo
Kama ilivyo kuwa kwa mitume kama PAULO (Sauli) alivyokuwa na falisafa ya HAKI KWA IMANI watu hawakumwelewa lakini alivipiga vita vilivyo vikuu
Mtume wa kweli kwa wana Mwibara 2020 Mr. MUSIBA anatosha.