Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Pamoja na kelele nyingi mitandaoni bado vyama vya upinzani hususani CHADEMA, ACT et al hawana na hawataweza kuwa na wagombea ubunge na udiwani kila mahali kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Vyama vyote vya upinzani havitaweza kutoa wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya arobaini (40); kwenye majimbo mengi watajitokeza watu wa kuchukua fomu kama masihara na sio watu makini wenye kumaanisha. Idadi kubwa itakuwa ni wabunge wa ACT-Wazalendo kutokea Zanzibar hususani Pemba.
Kuna hatihati kupoteza takribani asilimia 80 ya madiwani na halmashauri nchini.
Hayo matokeo hata kama Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi atakuwa Mbowe hayabadiliki.