Uchaguzi 2020 Kitila azidi kuangukia pua kwenye chaguzi ndogo za chama

Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,891
1,211
CHAGUZI HIZI ZIMETOA PICHA. WAPAMBE WA PROF KITILA MKUMBO MSIENDELEE KUMDANGANYA
___________________

UCHAGUZI WA KATIBU KATA, Kata ya Mtoa alikozaliwa Prof Kitila Mkumbo, Mgombea aliyeungwa mkono na Dr Mwigulu alipata kura 61 huku aliyeungwa mkono na Prof Kitila aliambulia kura 9 tu sawa na mtu kamshinda kwa zaidi ya asilimia 90 .

UCHAGUZI WA UWT LEO SHELUI , Shelui ni tarafa ambayo alizaliwa ndugu Prof Kitila,
Raha ya uchaguzi kuwepo washindani wagombea walijigawa vilevile mmoja ni timu Mwigulu na mwingine kambi ya Prof Kitila kilichotokea bado upande wa Mwigulu wakaibua kidedea kwa kura 26 huku kambi ya Kitila wakaambulia kura 6 tu hiki ni kipigo cha mbwa koko.

UCHAGUZI KATA YA MGONGO, Vivyo hvyo tarafa ya Shelui ndiko alikozaliwa ndugu Kitila mgombea aliyeungwa mkono na Dr Mwigulu TARAFA YA SHELUI ALIKOZALIWA PROF akapata kura 21 KITILA huku wa Prof Kitila akapata kura 7.

Waswahili wanasema ukiona adui wako kakushinda siyo mbaya ukaungana naye. Hizi sarakasi za Prof Kitila ni bora akaungana na Dr Mwigulu kuleta maendeleo ndani ya Iramba. Kutumia nguvu nyingi kumuondoa MWIGULU ambaye kashaimarisha mizizi yake kwa wananchi ni kupoteza muda.

SERIKALI ZA MITAA VIJIJI TAKRIBANI 70 ALIYEONEKANA ANAUNGWA MKONO NA PROF KITILA HATA KAMA NI MZURI ALIKATALIWA NA WAPIGA KURA. HII NDIO MAANA HALISI YA KUPAMBANA NA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI.

Wako,
Kiboko.
f2694366-f1fc-4907-b137-28a998a18e84.jpg
 
Ukiona mtu anakazana kumzushia mwingine ili kumchafua kila siku, ujue anayechafua mwenzake kajawa na husuda na wasiwasi kiasi cha kubanwa na kifua na kukosa pumzi. Sasa akimchafua angalau anapata kampuzi kidogo .

Watu wa namna hiyo ni wakupuuza tu maana wanakuwa ni watu waliojikatia tamaa. Kuhangaika nao ni sawa na kuamua kuhangaishana na teja.
 
CHAGUZI HIZI ZIMETOA PICHA. WAPAMBE WA PROF KITILA MKUMBO MSIENDELEE KUMDANGANYA
___________________

UCHAGUZI WA KATIBU KATA, Kata ya Mtoa alikozaliwa Prof Kitila Mkumbo, Mgombea aliyeungwa mkono na Dr Mwigulu alipata kura 61 huku aliyeungwa mkono na Prof Kitila aliambulia kura 9 tu sawa na mtu kamshinda kwa zaidi ya asilimia 90 .

UCHAGUZI WA UWT LEO SHELUI , Shelui ni tarafa ambayo alizaliwa ndugu Prof Kitila,
Raha ya uchaguzi kuwepo washindani wagombea walijigawa vilevile mmoja ni timu Mwigulu na mwingine kambi ya Prof Kitila kilichotokea bado upande wa Mwigulu wakaibua kidedea kwa kura 26 huku kambi ya Kitila wakaambulia kura 6 tu hiki ni kipigo cha mbwa koko.

UCHAGUZI KATA YA MGONGO, Vivyo hvyo tarafa ya Shelui ndiko alikozaliwa ndugu Kitila mgombea aliyeungwa mkono na Dr Mwigulu TARAFA YA SHELUI ALIKOZALIWA PROF akapata kura 21 KITILA huku wa Prof Kitila akapata kura 7.

Waswahili wanasema ukiona adui wako kakushinda siyo mbaya ukaungana naye. Hizi sarakasi za Prof Kitila ni bora akaungana na Dr Mwigulu kuleta maendeleo ndani ya Iramba. Kutumia nguvu nyingi kumuondoa MWIGULU ambaye kashaimarisha mizizi yake kwa wananchi ni kupoteza muda.

SERIKALI ZA MITAA VIJIJI TAKRIBANI 70 ALIYEONEKANA ANAUNGWA MKONO NA PROF KITILA HATA KAMA NI MZURI ALIKATALIWA NA WAPIGA KURA. HII NDIO MAANA HALISI YA KUPAMBANA NA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI.

Wako,
Kiboko.View attachment 1463533
Hill jumbo ni LA Kitilya wewe endelea na propaganda zako tu
 
Kitila Mkumbo akiwa Karibu Mkuu Wizara ya Maji amefanya kazi kubwa sana maana maeneo mengi ambayo tangu Uhuru hayajawahi kupata maji walau kwa sasa wanapata .

Kwa hiyo Kitila walau ile “Value Addition “ pale wizarani yeye akiwa Mtendaji Mkuu imeweza kuonekana.
Na hii appreciation inapaswa kwenda sambamba na Waziri Mbawara.
 
Kitila Mkumbo hana roho mbaya wala ukatili.
Kulingana na jamii ya kitanzania ilivyo, Kitila ni miongoni mwa watu wacheche wenye busara na ustaarabu wa Juu sana. Kwa mantiki hiyo ni moja ya watu ambao najifunza mengi kutoka kwake.

Na ni kwa sababu ya haiba hiyo unaona watu wajinga wanakazana kumchafua bila sababu za msingi. Hata hiyo hilo linategemewa maana kuna mwanafalsafa mmoja anasema ukitaka kusifiwa na mjinga basi usifanye chochote wala kuwa chochote, yaani uishi kama zuzu, hapo mjinga na hasidi akikuona atatabasamu kwa mbali, vinginevyo ukiwa smart mjinga lazima akose pumzi.
 
CHAGUZI HIZI ZIMETOA PICHA. WAPAMBE WA PROF KITILA MKUMBO MSIENDELEE KUMDANGANYA
___________________

UCHAGUZI WA KATIBU KATA, Kata ya Mtoa alikozaliwa Prof Kitila Mkumbo, Mgombea aliyeungwa mkono na Dr Mwigulu alipata kura 61 huku aliyeungwa mkono na Prof Kitila aliambulia kura 9 tu sawa na mtu kamshinda kwa zaidi ya asilimia 90 .

UCHAGUZI WA UWT LEO SHELUI , Shelui ni tarafa ambayo alizaliwa ndugu Prof Kitila,
Raha ya uchaguzi kuwepo washindani wagombea walijigawa vilevile mmoja ni timu Mwigulu na mwingine kambi ya Prof Kitila kilichotokea bado upande wa Mwigulu wakaibua kidedea kwa kura 26 huku kambi ya Kitila wakaambulia kura 6 tu hiki ni kipigo cha mbwa koko.

UCHAGUZI KATA YA MGONGO, Vivyo hvyo tarafa ya Shelui ndiko alikozaliwa ndugu Kitila mgombea aliyeungwa mkono na Dr Mwigulu TARAFA YA SHELUI ALIKOZALIWA PROF akapata kura 21 KITILA huku wa Prof Kitila akapata kura 7.

Waswahili wanasema ukiona adui wako kakushinda siyo mbaya ukaungana naye. Hizi sarakasi za Prof Kitila ni bora akaungana na Dr Mwigulu kuleta maendeleo ndani ya Iramba. Kutumia nguvu nyingi kumuondoa MWIGULU ambaye kashaimarisha mizizi yake kwa wananchi ni kupoteza muda.

SERIKALI ZA MITAA VIJIJI TAKRIBANI 70 ALIYEONEKANA ANAUNGWA MKONO NA PROF KITILA HATA KAMA NI MZURI ALIKATALIWA NA WAPIGA KURA. HII NDIO MAANA HALISI YA KUPAMBANA NA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI.

Wako,
Kiboko.View attachment 1463533
Kama alikuwa na akili binafsi ya kuajiri watu wachorechore mawe nchi nzima, hawezi kukosa akili binafsi ya kuajiri vibaraka wa kueneza propaganda na maji taka
 
Back
Top Bottom