Hamjambo!
Moja ya biashara kubwa inayoendelea duniani ni Ukoloni mamboleo. Yaani kutawala nchi nyingine kiuchumi indirectly pasipo wananchi wengi kujua nchi zao zinatawaliwa. Hiyo inakuwa siri ya...
Makala maalum toka maktaba ya JF:
https://www.jamiiforums.com/threads/hamuoni-inavyopendeza-rais-samia-akiwa-magogoni-na-dkt-mpango-akibaki-dodoma.1873766/#post-39142626
KURUDISHA UHURU WA...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali John Jacob Mkunda amewataka wastaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutumia kipindi chao cha kustaafu kujikita katika shughuli za maendeleo na kuachana...
Kwasababu sote ni mashahidi, kwakua ni jambo linaloonekana wazi wazi kabisa kwa kila mdau wa jf, kwamba, kuna hali ya ghafla ya kutoaminika na kutokubalika kwa viongozi wa chadema taifa hivi sasa...
Wawakilishi wa Azaki Tanzania, Julai 16, 2026, wamesema kuwa hali ya usalama, amani, haki na uwajibikaji nchini imekuwa tete tangu kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025...
Hadi jana tulikuwa na 144M cash. usipitwe ukichanga.changa tena buku inadhamani kubwa.sana kwetu.
Nitakuwa naleta updates hapa daily moto wa tonetone ni mkali sana ccm hawaamini macho yao...
MO29 ilikuwa game changer kwenye siasa za nchi hii. Sioni Tanzania ikitulia tena na kuwa na uchaguzi wa amani kama hakutokuwa na reforms za uchaguzi.
Baada ya kilichotokea kwenye MO29, Common...
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026.
Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na...
Kila mara nawasikia watu wanasema lisu anastahili anachopitia kwa sababu alimtukana Rais, ila kiukweli nimesikiliza hotuba zake na kusoma machapisho yake mbalimbali, sijawahi kukutana na tusi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma Julai 20, 2026...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Bora Umfadhili Mbuzi Utakunywa hata Supu Kuliko Mwanadamu Asiye na Shukurani. Shukurani ya Punda ni Mateke Hivyo ndivyo unavyoweza kusema .
Hivyo Ndivyo unavyoweza...
Jenerali El- Sisi mtawala wa Misri aliingia Madarakani mwaka 2013 baada ya kumpindua Mohamed Morsi, rais wa kwanza Misri kuchaguliwa kidemokrasia, mwaka uliofuta aliua maelfu ya Waandamanaji...
Nilipata nafasi ya kumfahamu zitto Kabwe kwa kiasi kidogo wakati akiwa ni mwanachama wa CHADEMA.
Yeye na Julius Mtatiro wakati huo akiwa CUF, walikuwa wananivutia hasa walipokuwa wanachambua mada...
Ni kweli kwamba Mvua inaleta demage karibu kila mahali inaponyesha, lakini kwa kweli kwa Tanzania ujenzi duni wa Barabara unaoongeza mno shida, hebu angalia Barabara hii, angalia kiwango cha lami...
Erythrocyte kuweni macho na upuuzi huu. Ksikubali kutoka kwenye malengo. Achaneni ja ujinga huu. Concentrate kwenye issues, pressing issues za chama kama ulinzi wa Heche na viongozi wengine. Nenda...
Tuanze na:
JESHI LA POLISI TANZANIA.
Wajibu mkuu wa jeshi la polisi kwa jamii ni kulinda maisha ya watu na mali zao. Kazi hii inafanyika kwa mujibu wa sheria ili kuhakikisha amani, utulivu, na...
Amani iwe nanyi wanabodi
Ukiambiwa kuhusu uwepo wa kundi hili unaweza kusema hizi ni stori za Kusadikika. Ila Ukweli ulio wazi ni kwamba hizi sio stori za kusadikika, sio series za kihindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.