1.Kesi ya Uhaini ya 1970 (Tanganyika)
Walioshtakiwa walituhumiwa kupanga njama za kuipindua serikali ya awamu ya kwanza iliyokuwa inaongozwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili kumrejesha...
Motisha pekee ambayo inaweza kutolewa na serikali kwa mtoto aliyefanya vizuri katika mitihani yake ya darasa la 7 ni kupangiwa shule ya bweni/vipaji badala ya kubakizwa hapohapo kwenye shule za...
Naandika hili kwa heshima kubwa kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Waziri wa Vijana kwa sababu ninaamini hili sio suala la udaku tena, bali ni suala la ustawi wa kizazi cha Tanzania.
Kati ya mwaka 2008...
Kwa nini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo?
Serikali imekuwa haitoi fursa za kutosha za uwekezaji, licha ya kuwepo kwa rasilimali nyingi. Miundombinu bado ni...
Mgombea Urais wa Zambia, Brian Mundubile, ameibua madai mazito akisema: “Zambia siyo Tanzania” na kuonya dhidi ya kujaribiwa kuingizwa kwa mbinu alizozitaja kama “Tanzanian tactics” katika...
Wanabodi
Hili ni moja ya mabandiko yangu ya kikubwa,hakuna jina la mtu yoyote, naomba tusitaje taje majina!。
Haya sio mambo ya ulimwengu huu wa kimwili,ni mambo ya ulimwengu wa kiroho hivyo...
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa
Baada ya kuripoti kwenye ofisi ya Mafwele, Madeleka akakamatwa na kupelekwa Kisutu ambako anatarajiwa kupewa shitaka la Watanganyika wote linaloitwa Ugaidi...
Ndugu zangu Watanzania KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA(KKMK) tunahimiza Wanasiasa kuwa na Utulivu wa AKILI,MIKAKATI NA MBINU za kupigania MAGEUZI YA KATIBA na MAZUNGUMZO...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekemea vikali uamuzi wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO) wa kulifungia na kusitisha leseni ya gazeti la MwanaHALISI kwa kipindi cha...
Mkitaka kujua Mkitaka kujua mtu hafai kuvaa viatu vya urais, au roho ya Samia au Samia ni mtu wa namna gani ni pale kwenye Matatizo.
Rais ndo mfariji wa kwanza katika Nchi. Anatakiwa atoe pole...
Tunafundisha mashuleni somo la Historia ya Tanzania na maadili, lakini maadili tunayowarithisha watoto wetu ndiyo haya ya kutekwa na kubambikiwa kesi.
Sina la kusema hii ndio tanzania yangu...
Kwanini mpaka sasa kimya kuhusu tume ya kuchunguza kuondolewa kwa sheikh Walid?
Tangu ilipotangazwa kwamba imeundwa tume ya kuchunguza na kutoa ripoti kuhusu suala la kuondolewa kwa Walid, mpaka...
“Uliagiza jeshi lijiandae na uchaguzi?"
Na ulisema hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi, waambie majaji kwa nini uliosababisha mauaji makubwa Oktoba 29. Hujakamatwa.
Na mimi sina hatia...
Katika utumishi wa umma huwa tunaelekezwa kuzingatia maslahi ya umma katika kutekeleza majukumu yetu.
Utashi huu ni muhimu kwasababu pamoja na kuchochea ufanisi, ubora wa huduma kwa wateja na...
Sioni kama Wasira anatufaa kwa sasa CCM kua makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na huyu sio kwamba ni mwana CCM mfia chama hapana huyu ni CCM masalahi huyu aliwahi kwenda kujiunga na NCCR...
Serikali ya Tanzania si ya Majimbo, kila taasisi ipo kitaifa, hakuna taasisi za majimbo
Watumishi wa Serikali wanaweza kufanya kazi katika mkoa wowote nchini, bila kujali wanatoka mkoa gani. Kwa...
Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Geneva, Dkt. Abdallah Possi, ameeleza kuwa taswira ya Tanzania kimataifa bado ni nzuri, licha ya matukio yaliyojitokeza nchini tarehe 29...
Mr Mapanga amesema Tanzania si nchi masikini, bali Watanzania ndio wanaoishi katika hali ya umasikini, akidai kuwa rasilimali na vitega uchumi vya nchi viko mikononi mwa Serikali huku wananchi...
CCM na Serikali yake washakata pumzi. Wana CCM wanategemea kula kupitia kwenu.
Nawashawishi Wafanyabiashara wote Tanzania kuiunga Mkono CHADEMA.
Watanzania tushikamane tusaidiane CHADEMA ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.