Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,360
- 10,746
MO29 ilikuwa game changer kwenye siasa za nchi hii. Sioni Tanzania ikitulia tena na kuwa na uchaguzi wa amani kama hakutokuwa na reforms za uchaguzi.
Baada ya kilichotokea kwenye MO29, Common wealth wametoa masharti ambayo yana time frame, moja kubwa ni Lissu kuachiwa within 30 days. Kwa kiburi Cha Samia najua atakaaa. Kitendo Cha Tanzania kukataa masharti ya Common wealth automatic watafurushwa kwenye jumuiya ya madola.
Tanzania ikitimuliwa kwenye jumuiya ya madola itapoteza Scholarship nyingi mno ambazo 90% ya waliokuwa wanazifaidi ni watoto wa vigogo wa CCM.
Wafatao wamesoma Kwa scholarship za common wealth.
Ndalichako
Mtoto wa Wasirra
Mtoto wa Mahita
Mtoto wa Pinda
Bashungwa
Mtoto wa Malecela
Raisi Mwinyi n.k
Hao ni baadhi tu, Common wealth,fukuza Hawa vibaka, watoto wao wasome Iran,Oman na Russia.
Mto wa mbu
Illinois state