Hii sio ya mwezi july. Labda huko nyuma.Hii ni Dodoma
Umelogwà na nani sijui 😅😂😁😃😀Hii sio ya mwezi july. Labda huko nyuma.
Chadema wamejifunza kutii sheria. Baada y katazo la Mhe Patrobas Katambi, sidhani kama wameitisha mikutano kuvunja sheria na Amri hiyo.
kwahiyo huu ndio umati gentleman? au ni umati wa makelele kwaajili ya kurikodi vidio tu?Hii ni Dodoma

Masalia ya ccm yatajinyonga kabisa Kwa hali hii yakiwemo machawa yao humu jf.Hii ni Dodoma
View attachment 3632573
Chizi linaparamia nyuzi za wenye akili.kwahiyo huu ndio umati gentleman? au ni umati wa makelele kwaajili ya kurikodi vidio tu?
si ikiwa ni hivyo hakuna haja ya kutoana damu kuchangia milioni mia3 sasa?![]()
Kwani kufanya hivi ni kukosa kutii sheria!!Una Elimu nzuri lakini unaendeshwa na tumbo na Makario!!Kwanini mlienda shule ?Hii sio ya mwezi july. Labda huko nyuma.
Chadema wamejifunza kutii sheria. Baada y katazo la Mhe Patrobas Katambi, sidhani kama wameitisha mikutano kuvunja sheria na Amri hiyo.
Sheria ipi iloyotumika?Hii sio ya mwezi july. Labda huko nyuma.
Chadema wamejifunza kutii sheria. Baada y katazo la Mhe Patrobas Katambi, sidhani kama wameitisha mikutano kuvunja sheria na Amri hiyo.
Chadema Raha Sana, ukikaa vibaya unaweza kudhani ni DiniHii ni Dodoma
View attachment 3632573
Hujanielewa mkuu. Nilichomaanisha, hii post sio ya hivi karibuni.Kwani kufanya hivi ni kukosa kutii sheria!!Una Elimu nzuri lakini unaendeshwa na tumbo na Makario!!Kwanini mlienda shule ?
Nini maana demokrasia ?