Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habarini waungwana, Ni matumaini kwamba watu watakua kwenye maandalizi ya sikukuu ya Pasaka. Tafadhali napenda kuwajulisha kwamba kampuni niliyoitaja hapo juu inajihusisha na upokeaji na...
2 Reactions
16 Replies
439 Views
Nataka kuelewa kuhusu haya maridhiano ya Kitaifa yanayozungumzwa sana. Maaridhiano haya ni baina ya nani na nani? Kama ni ya Kitaifa swali langu "Kwani kuna mgogoro au kutoelewana baina ya nani...
17 Reactions
70 Replies
697 Views
Baadhi ya watu wamedai kujaziwa mafuta kwenye magari yao ambayo yana maji kwenye kituo cha mafuta cha Total energies Shinyanga na walipomfuata meneja wa kituo hakuwapa majibu mazuri, Hata hivyo...
0 Reactions
2 Replies
315 Views
Kukamatwa kwa Nabii Tito ni Ishara tosha kwamba Polisi wanatumilka Kisiasa. Mwaka 2018 Polisi walimkamata Dodoma, Halafu wakampeleka Mirembe, kisha wakamuachia eti ana matatizo ya akili. Kipindi...
6 Reactions
23 Replies
429 Views
Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akisisitiza kuwa uongozi wa nchi...
5 Reactions
33 Replies
497 Views
Kamwe haiwezekani tuishi au kufanya mambo yetu kienyeji au kama wanyama wa porini. Kama tuliamua kufuata taratibu nzuri za kimagharibi tuzifuate kikamilifu na zile mbaya tuziache kikamilifu. Zipo...
1 Reactions
0 Replies
25 Views
Meya wa Manispaa ya Mjini, Mohamed Ibrahim amesema Serikali kupitia mamlaka zake imeanza kufanya uchunguzi wa kina kufuatia kugundulika kwa bomba lenye mafuta yaliyochanganyika na maji katika eneo...
3 Reactions
6 Replies
272 Views
Pride Tanzania inamilikiwa na serikali 100% ilisajiriwa mwaka1993 Mei 5 Hesabu za pride hazijawahi kuwasilishwa kwa CAG kama inavyotakiwa kisheria kutowasilishwa mahesabu kunazua maswali mazito...
2 Reactions
103 Replies
17K Views
wakati rais wa communist ghana akizurura dunia nzima kudai fidia kwa utumwa uliofanyika miaka 400 iliyopita, nchini kwake ghana watu wake wanataka kuuwana sababu ya kuku wa kfc, watu wake...
1 Reactions
2 Replies
133 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia, Meja Jenerali Mbaraka Mkeremy...
1 Reactions
2 Replies
141 Views
Na. Benny Mwaipaja, Kizimkazi, ZANZIBAR Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameimwagia sifa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA kwa utendaji uliotukuka uliowezesha Mamlaka hiyo...
1 Reactions
4 Replies
190 Views
Katika kupita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na clip ya chawa mmoja wa CCM akiwakebehi walimu wa vyuo vikuu nchini. Inasadikiwa walikutana walimu wa vyuo vikuu mia moja ili...
16 Reactions
47 Replies
830 Views
DAR ES SALAAM: Jamhuri imemfungulia mashtaka matano ya dharau kwa mahakama (Contempt of Court) Wakili Peter Michael Madeleka (46) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mashtaka hayo...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kubaini kasoro na changamoto mbalimbali za kisheria zilizojitokeza wakati wa kukamatwa, kufikishwa mahakamani na kuwekwa mahabusu...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
‪1.Kesi ya Uhaini ya 1970 (Tanganyika)‬ ‪Walioshtakiwa walituhumiwa kupanga njama za kuipindua serikali ya awamu ya kwanza iliyokuwa inaongozwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili kumrejesha...
1 Reactions
1 Replies
106 Views
Motisha pekee ambayo inaweza kutolewa na serikali kwa mtoto aliyefanya vizuri katika mitihani yake ya darasa la 7 ni kupangiwa shule ya bweni/vipaji badala ya kubakizwa hapohapo kwenye shule za...
2 Reactions
20 Replies
270 Views
Naandika hili kwa heshima kubwa kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Waziri wa Vijana kwa sababu ninaamini hili sio suala la udaku tena, bali ni suala la ustawi wa kizazi cha Tanzania. Kati ya mwaka 2008...
4 Reactions
5 Replies
172 Views
Kwa nini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo? Serikali imekuwa haitoi fursa za kutosha za uwekezaji, licha ya kuwepo kwa rasilimali nyingi. Miundombinu bado ni...
0 Reactions
6 Replies
74 Views
Au ndio kulamba asali? Madeleka anateseka mwanachama wa ACT yeye kala buyu? Hivi Zitto atawaadaa watanzania mpaka lini?
4 Reactions
26 Replies
317 Views
Mgombea Urais wa Zambia, Brian Mundubile, ameibua madai mazito akisema: “Zambia siyo Tanzania” na kuonya dhidi ya kujaribiwa kuingizwa kwa mbinu alizozitaja kama “Tanzanian tactics” katika...
2 Reactions
9 Replies
224 Views
Back
Top Bottom