Lissu afikishwa mahakamani leo, ulinzi waimarishwa

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
164
Reaction score
688
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial Tundu Lissu leo Julai 21, 2026 amefikishwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma kwa ajili ya shauri la Kikatiba kuhusu haki za Mawakili ikiwemo haki ya faragha pindi wanapomtembelea gerezani.

Shauri hilo limefunguliwa na Mawakili Kulwa William Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo wakieleza kuwa mamlaka ya Magereza ya Ukonga jijini Dar es Salaam imekuwa ikikataa kuwapa faragha ya kuzungumza na mteja wao (Lissu).

Kikao cha Shauri hilo la Kikatiba kinaketi kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, mbele ya jopo la Majaji watatu (3) ambao ni Amir Mruma, Dkt. Angelo Rumisha na Dkt. Evaristo Longopa.

Tundu Lissu ameshikiliwa gerezani tangu April 10, 2025 kwa mashtaka ya uhaini na kufikishwa mahakamani mara kadhaa ambapo mbele ya majaji kwa nyakati tofauti amekuwa akieleza kunyimwa faragha ya yeye na Mawakili wake wanapomtembelea gerezani.

Ikumbukwe kuwa katika kesi ya uhaini, Lissu ambaye ni Mwanasheria na Wakili kitaaluma anajitetetea mwenyewe lakini ana jopo la Mawakili 'washauri' wa kisheria wanaomsaidia pia katika kufanya tafiti za baadhi ya taarifa katika wakati ambao yupo gerezani.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, leo Julai 20, 2026 amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma kwa ajili ya kesi ya kikatiba inayohusu haki za Mawakili kupata faragha wanapokutana na Wateja wao waliopo gerezani.

Shauri hilo limefunguliwa na Mawakili Kulwa William Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo wakidai kuwa Mamlaka ya Gereza la Ukonga Jijini Dar es salaam imekuwa ikiwanyima fursa ya kuzungumza kwa faragha na Mteja wao, Tundu Lissu.

Kesi hiyo inasikilizwa na Jopo la Majaji watatu wa Mahakama Kuu, Amir Mruma, Dkt. Angelo Rumisha na Dkt. Evaristo Longopa, katika Masjala Ndogo ya Dar es salaam.

Lissu bado yupo gerezani tangu Julai 10, 2025 akikabiliwa na mashtaka ya uhaini
 
Unamaanisha kapelekwa Dodoma?
 
Sema nje ya mada hawa askari hii kazi kweli huwa wanaona inawabariki kabisa.Kwamba hawa wakirudi majumbani wanawaeleza watoto kwamba nilikuwa kazini?

Sema kazi ya polisi ni ya hovyo sana basi tu maisha lakini sio kazi
 
Kazi yeyote ambayo inakufanya umpige mtu anaetafta riziki hiyo sio kazi.
Yani unalipwa mshahara kwa kupiga wamama mateke na kukanyaga nyanya wanazouza.
Kazi ambayo unavunya vibanda vya wafanyabiashara, kazi ambayo umambambikizia asie na hatia kosa.
Kazi ambayo unamnyima haki mwenye haki kisa umeongwa.
Mjomba wangu alikua mgambo niliumia sana ilibidi tumtaftie kazi ya kuuza bucha. Seth saint
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial Tundu Lissu leo Julai 21, 2026 amefikishwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma kwa ajili ya shauri la Kikatiba kuhusu haki za Mawakili ikiwemo haki ya faragha pindi wanapomtembelea gerezani.

Shauri hilo limefunguliwa na Mawakili Kulwa William Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo wakieleza kuwa mamlaka ya Magereza ya Ukonga jijini Dar es Salaam imekuwa ikikataa kuwapa faragha ya kuzungumza na mteja wao (Lissu).

Kikao cha Shauri hilo la Kikatiba kinaketi kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, mbele ya jopo la Majaji watatu (3) ambao ni Amir Mruma, Dkt. Angelo Rumisha na Dkt. Evaristo Longopa.

Tundu Lissu ameshikiliwa gerezani tangu April 10, 2025 kwa mashtaka ya uhaini na kufikishwa mahakamani mara kadhaa ambapo mbele ya majaji kwa nyakati tofauti amekuwa akieleza kunyimwa faragha ya yeye na Mawakili wake wanapomtembelea gerezani.

Ikumbukwe kuwa katika kesi ya uhaini, Lissu ambaye ni Mwanasheria na Wakili kitaaluma anajitetetea mwenyewe lakini ana jopo la Mawakili 'washauri' wa kisheria wanaomsaidia pia katika kufanya tafiti za baadhi ya taarifa katika wakati ambao yupo gerezani.

ok.🐒
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, leo Julai 20, 2026 amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma kwa ajili ya kesi ya kikatiba inayohusu haki za Mawakili kupata faragha wanapokutana na Wateja wao waliopo gerezani.

Shauri hilo limefunguliwa na Mawakili Kulwa William Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo wakidai kuwa Mamlaka ya Gereza la Ukonga Jijini Dar es salaam imekuwa ikiwanyima fursa ya kuzungumza kwa faragha na Mteja wao, Tundu Lissu.

Kesi hiyo inasikilizwa na Jopo la Majaji watatu wa Mahakama Kuu, Amir Mruma, Dkt. Angelo Rumisha na Dkt. Evaristo Longopa, katika Masjala Ndogo ya Dar es salaam.

Lissu bado yupo gerezani tangu Julai 10, 2025 akikabiliwa na mashtaka ya uhaini
Kila la kheri kwake,Mungu yu Mwema, yatapita!
 
Kazi yeyote ambayo inakufanya umpige mtu anaetafta riziki hiyo sio kazi.
Yani unalipwa mshahara kwa kupiga wamama mateke na kukanyaga nyanya wanazouza.
Kazi ambayo unavunya vibanda vya wafanyabiashara, kazi ambayo umambambikizia asie na hatia kosa.
Kazi ambayo unamnyima haki mwenye haki kisa umeongwa.
Mjomba wangu alikua mgambo niliumia sana ilibidi tumtaftie kazi ya kuuza bucha. Seth saint
Ujue nimemwangalia yule askari magereza mwenye mwili wa gym nikasema sasa huyu analipia gym kutengeneza mwili wake akashike bunduki kulinda wafungwa ambao wengine hatia hawana.

Hii pesa yake kwanini anaitumia vibaya hivi.Unalipia gym kwa ajili ya kazi ya hivi kweli?
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial Tundu Lissu leo Julai 21, 2026 amefikishwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma kwa ajili ya shauri la Kikatiba kuhusu haki za Mawakili ikiwemo haki ya faragha pindi wanapomtembelea gerezani.

Shauri hilo limefunguliwa na Mawakili Kulwa William Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo wakieleza kuwa mamlaka ya Magereza ya Ukonga jijini Dar es Salaam imekuwa ikikataa kuwapa faragha ya kuzungumza na mteja wao (Lissu).

Kikao cha Shauri hilo la Kikatiba kinaketi kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, mbele ya jopo la Majaji watatu (3) ambao ni Amir Mruma, Dkt. Angelo Rumisha na Dkt. Evaristo Longopa.

Tundu Lissu ameshikiliwa gerezani tangu April 10, 2025 kwa mashtaka ya uhaini na kufikishwa mahakamani mara kadhaa ambapo mbele ya majaji kwa nyakati tofauti amekuwa akieleza kunyimwa faragha ya yeye na Mawakili wake wanapomtembelea gerezani.

Ikumbukwe kuwa katika kesi ya uhaini, Lissu ambaye ni Mwanasheria na Wakili kitaaluma anajitetetea mwenyewe lakini ana jopo la Mawakili 'washauri' wa kisheria wanaomsaidia pia katika kufanya tafiti za baadhi ya taarifa katika wakati ambao yupo gerezani.

Mbona kimya kimya?
 
Sahihi mkuu. Hata wanaoifanya unahisi kabisa inawachukiza moyoni.
Maisha yangekuwa yanatabirika hii kazi wangeachana nayo tu sio kazi.Angalia mtu kasimama na mtutu kulinda mtu ambaye hatia hana na atabaki kasimama mpaka tena atoke mahakamani na jioni naye arudi kwa familia aseme leo nilikuwa kazini.Kazi yenyewe imejaa dhuluma tupu.
 
Kipindi cha maandamano au tishio la maandamano unakuta mtu anasimama barabarani asubuhi hadi jioni.
 
Back
Top Bottom