Imenishangaza sana baada ya kusikia eti eneo Moja ndani ya manispaa hiyo mpya wananchi wameingia mikataba na serikali husika walipie maeneo Yao kwa kuuziwa na serikali husika lakini wananchi hao...
👉 Chadema wamekuwa bingwa wa kutumia mikutano ya hadhara kama majukwaa ya kupiga kelele, matusi na kuchochea uvunjifu wa amani badala ya kujenga hoja za kisera.
👉 Chama hiki kimejenga...
𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔, 𝗔𝗟𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔 𝗭𝗔𝗣𝗜𝗚𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗭𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜𝗔𝗡𝗢 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗦𝗘𝗞𝗧𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗢
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amesema katika...
Leo umetimia mwaka mmoja tangu atoweshwe Balozi wetu mpendwa Humphrey Polepole.
Kituo cha BBC Swahili, kimemuhoji nduguye Humphrey Polepole, anasema mama yake ana depression na amekuwa akizimia...
Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana...
Hii nchi kumbe ina ofisi nyingi namna hii na hamsemi leo ndo nimejua kama kuna hii ofisi ya usalama Serikalini ambayo wajibu wake ni kutoa elimu kuhusu kanuni za usalama Serikalini kwa watumishi...
Jana, tarehe 5 Oktoba 2026, usiku wa majira ya saa 5:45 usiku niliandika katika ukurasa wangu nikimkariri Hopewell Chin'ono wa Zimbabwe ya kuwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alitarajiwa...
Hahusiki na chochote ndani ya chadema lakini viongozi na wana chama wa chadema wanaweweseka na ukimya wake, lakini zaidi sana kuonekana kwake kwenye hafla za nchi kitaifa kumewatia kiwewe zaidi...
Familia imethibitisha kwamba Vichwa Vya Marehemu Chivayo na Mkewe havikupatikana eneo la ajali, je sio uthibitisho wa kuthibitisha kwamba Hawakuwemo kwenye hiyo Ajali.
Ndugu zangu Watanzania,
Linapokuja suala La Kuichezea Lugha Ya Kiingereza kwa ufundi na ustadi na Uhodari pamoja na Umahiri kiukweli Rais Samia anakuwa hana wa Kulinganishwa Naye . Anakuwa na...
Mwandishi wa habari mkongwe, Ansbert Ngurumo ameandika makala hii kupitia tovuti yake ya Sauti Kubwa.
Endelea...
Freeman Mbowe.
Kwa takribani miaka miwili sasa, Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Binti ni zahili na wazi kabisa alikosa Malezi ya Wazazi wake,Ni Wazi amezibuka kiakili, ni wazi amejikulia tu bila malezi ya aina yoyote ile, ni wazi ni Mwanamke...
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la...
Kumekuwa na malalamiko na tuhuma kuwa Shirika la Reli limefuta safari zake za SGR saa 3na asubuhi, lakini katika hali ya dharau shirika limegoma kujibu au kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma hizo! Sasa...
POLISI DAR WAWAKAMATA 11 KWA TUHUMA ZA UTAPELI WA MTANDAONI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu 11 wanaotuhumiwa kujihusisha na utapeli kwa njia ya mtandao, ambapo...
Tuwape marks kwa presentation, confidence, English na namna ya kujieleza mbele ya hadhira ya kimataifa.
Nchimbi: ?/10
Ndejembi: ?/10
Video ipo hapa chini. Toa marks zako kwa heshima.
Kama kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.