Kwa dhambi hii ya kuiacha katiba mbovu inayomfanya Rais kuwa "Mungu Mtu", Nyerere hapaswi kuwa Mtakatifu

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,661
74,564
Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo.

Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia kutesa, kuibia watanzania/ Watanganyika/kuuza rasilimali zao , kuteka, kuua, kupoteza watu , kupora watu ardhi zao etc etc

SASA TAGANYIKA INAUZWA KAMA NJUGU SOKONI, WAMASAI WANATESWA ETC ETC KWA VILE KATIBA HII ALIYOIACHA NYERERE
 
Lakini,alilitambua hilo na kulisema waziwazi.Akaenda mbele na kuasa yachukuliwe yaliyo mema na mabaya yaachwe.Changamoto imekuwa kwa wapokeaji.
 
Hata mimi hapo ndipo ninapoona changamoto yake. Yeye kama alishindwa na katiba hii akaiona tamu akashindwa kuichukulia maamuzi ni nani asiyependa kuitumia katiba iliyopo ili impe utamu wa madaraka? Yeye kama alishindwa kuchukua maamuzi anataka nani ajikaange kwa katiba mpya?
Hapo alikosea sana!
 
Kwa hiyo umejipa kushindwa kwake kuwa kushindwa kwako?Kushindwa hakuambukizi kama ugonjwa.Kupanga kushindwa ni kuchagua kukosa kabisa.
 
Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo.

Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia kutesa, kuibia watanzania/ Watanganyika/kuuza rasilimali zao , kuteka, kuua, kupoteza watu , kupora watu ardhi zao etc etc
SASA TAGANYIKA INAUZWA KAMA NJUGU SOKONI, WAMASAI WANATESWA ETC ETC KWA VILE KATIKA HII ALIYOIACHA NYERERE
Inasikitisha sana.
 
Akili huna,

Wasomi wetu mnaakili ndogo sana tena ndogo kiasi kwamba nyinyi ni wajinga tu, katiba ya kipindi cha Nyerere iliwafaa nyakati zao, na sasa nyinyi ndo mnasema imepitwa wakati,

Kwa hiyo mnamhitaji Nyerere afufuke aje kuwatengenezeeni katiba? Hizi ni akili za kijinga sana

Komaeni na mkaze kwelikweli ili mtengeneze katiba yenu mnayoitaka! Kama hamna ujasiri huo mnyamaze na mmuacha baba wa taifa aendelee kula zake bata huko kwa Mungu

Hiki ni kizazi gani? Kila kosa likitokea njiani analaumiwa asiyekuwepo? Mnataka kina Magufuli, Mkapa, Nyerere warudi kuja kushughurikia kero zenyu?

Unajua mna🤣🤣🤣
 
Kwa wakati ule tungewaita Chawa wa Nyerere pia
Hana utakatifu wowote bali dictator tu
Kuhamisha watu wakaliwe na Simba ni Utakatifu?

Kusema Rais akitaka kuwa Dictator kwa katiba hii, kwanini hakubadili kama ni mtu wa haki?

Tuseme ukweli na tuache unafiki
 
Katiba haibadilishwi kama yeboyebo mguuni.Ni mchakato.Kuendelea kumtupia Nyerere lawama kwa suala ambalo lipo mikononi na kwenye uwezo wetu ni kulikataa tatizo.Ilikuwa ni suala la wakati tu.Wakati tunao,sawa.Je,uamuzi na utashi upo upande wetu?
 
9
Nimesema siku zote, jibu hoja kama huna la kujibu pita, siyo matusi! Matusi ya nini?
Muulize mama yako kama sina akili, narudia, muulize mama yako kama sina akili.
Retired .

Narudia tena, wasomi wetu nyinyi ni wajinga sana, yaweza kuwa mlipokuwa mkisoma, mama yangu ulikuwa ukimtangulia nafasi ya uelewa, hiyo haikufanyi uonekane unaakili

Narudia kusema...! Katiba ya kipindi cha kina Nyerere, iliwafaa sana wao na iliwafanya waijenge nchi vizuri na kutuweka tuwe na umoja na tunajivunia wao,

Kwa mahitaji ya sasa na jinsi dunia na kizazi kinachobadirikabadirika, kinahitaji katiba hiyo unayoisema wewe

Sasa, kwa akili yako unataka Nyerere atoke huko aliko aje kushughurikia katiba yenu mliopo sasa

Na huu ndio ujinga uliowajaa wengi mfano wenu
 
Katiba haibadilishwi kama yeboyebo mguuni.Ni mchakato.Kuendelea kumtupia Nyerere lawama kwa suala ambalo lipo mikononi na kwenye uwezo wetu ni kulikataa tatizo.Ilikuwa ni suala la wakati tu.Wakati tunao,sawa.Je,uamuzi na utashi upo upande wetu?
Huo mchakato mbona unakwepwa kwa kila kiongozi anaeshika madaraka?
Kwani Bunge halina meno?
Utashi upi huo kama wanapiga danadana tu
 
Katiba haibadilishwi kama yeboyebo mguuni.Ni mchakato.Kuendelea kumtupia Nyerere lawama kwa suala ambalo lipo mikononi na kwenye uwezo wetu ni kulikataa tatizo.Ilikuwa ni suala la wakati tu.Wakati tunao,sawa.Je,uamuzi na utashi upo upande wetu?
Unataka kusema yeye Nyerere alishindwa kubadili ?
 
Back
Top Bottom