Magufuli, CAG, Ndugai, Lissu, Makonda na Nape pitia hapa

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
HII NAYO NI MUHIMU MNO

1. Magufuli udikteta wako haisaidii maana Sisi sote ni Nyama ipo siku utaondoka tena yawezekana hujamaliza muhula ujao kwakuwa Hakuna anayejua ya Mungu

2. Rejesha pesa za Watanzania unazoficha visiwa vya seashells tunaijua, Maana ukifa wote watakukana.

3. Professa Assad usiumie Sana kisa nafasi uliyopokonywa kwa kuwa Magufuli kathubutu Kuonesha udhaifu wa Bunge kwa kumpelekea Maelezo Ndugai akushughulikie, Na mtashangaa anayekuja kumwajibisha ni Rais atakaye kuwa dhaifu! Hata kama hatakuwa Magufuli Na Ndugai ipo siku atakuja Rais atumie chama amuondoe spika kinyume

4.Nape Usiulize maswali yenye ukakasi kama vile haukuwa kwa kabinet ila tulia CCM inawataka Kama ninyi ipo siku utaendelea Na Uwaziri Ama kwa Magufuli Au kwa Rais Mwingine ajaye Hee bado kazi

5. Mbowe na Lissu Msionekane mmelegea wakati hii mkaja kukaza Siku Dikteta Magufuli kaondoka itaonekana mnaogopa baadhi ya Viongozi wenye misimamo mikali,



6. Mkienda mahali na rafiki yako zako we Makamba usiwaamini wote Maana anayewarekodi ni mtu wako wa Karibu Mwenye macho makubwa

7. Magufuli Kubaliana na mitazamo tofauti kumbuka 6 kwako inaweza kuwa 9 kwa aliyekaa upande mwingine. Mawazo ya ziada ni mbadala mzuri. Ukishaondoa wengine watakupinga hujamaliza hata robo ya pension au Kama Ni mapendekezo ya Mungu hutakuwa hata hujaharibika kwenye Nyumba ya Milele

8. Makonda Usiwakatishe watu wanapokuwa kwenye mazungumzo yao mfano kwenye kundi kubwa la watu juzi ukiwaambia kwamba hata wafanye bado hawawezi badili mawazo ya Rais

9. Ndugai pole kwa ugonjwa Ila pia Sina Imani kama tutamaliza Uongozi huu Na mtu anaitwa Spika Ndugai ni Ama utakuwa umefukuzwa kama Rais atabadilika Au kama ni Meko Majaliwa mengine Ni ya Mungu

10.Samia Sema Asante mtu anapokusaidia jambo lolote.maana akina Makonda, Polepole Na Sabaya wanakusimanga sana kwa Meko we Nyamaza maana ya Mungu Mengi ipo siku watakuona umuhimu Ama kuwatetea kwa Meko Au kupewa mamlaka zaidi Na meko wakakuheshimu

11.Msifie Mtu hadharani, mpinge faraghani wewe Una tabia hiyo Kigwangalla

12. Watanzania wamechoka sana kwa ahadi zenu fake

13. Vipi ikitokea Samia akawa Rais kwa meko kunanii kulingana na katiba?

14 . Mwisho acheni Rushwa

Edited By britanicca

Britannica
 
Duu hii ya kuwapinga watu livelive naona itakuwa inanicost maana huwezi kusifia soka la bongo nikaungana na wewe wakati taabu za soka la kibongo nazijua kuanzia vipato vya wachezaji, miundombinu ya soka na taabu za mashabiki kuingia na kutoka viwanjani.
 
Hiyo 11 haijakaa sawa. Kumsifia mtu hadharani na kumpinga faraghani kwa lugha halisi huitwa: "Unafiki" Na misahafu inakemea tabia ya "Unafiki"

Nilivyo elewa Mimi ni kwamba, ukitaka au ukiona haja ya kumsifia mtu basi msifie kwa watu atafurahi na mtajenga mahusiano mazuri, ila yule unaetaka kujenganae uhusiano mwema lakini unataka kumkosoa jambo ili uhusiano wenu udumu ndo mkosoe sirini.

Haina mana kuwa hana hiyo sifa ,ila msifie tu hadharani au mwingine anafanya jambo baya una mshautia mbele za watu, hamtajenga mahusiano mema kwani hata badilika kutokana na kiburi cha macho ya watu.

Lakini haya yote na kwampenda amani na staha. Mfano kumtumbua mtu mkutanoni, kumuumbua mtu asiye weza kujitetea. Ni bora umuite faraghani kama muungwana atajirekebish.

Ila hapa petu TZ imefikia sasa tusipo waeleza watu ubaya wa mtu hadharani, huyo mtu ataendekea kupotisha watu kwani anafanya kusudi unafiki. Huyo anastahili kusutwa hadharani.
 
Leo nimemuona kwenye video Pierre Konki Fayaaaa, nikajisemea, jamaa mfupi sana duh, nikajiona Mimi ni bora kuliko yeye, ghafla Roho ikaniambia hamna binadamu bora kuliko mwingine kwa namna yoyote ile, ikabidi niingie magotini kuomba Rehema na toba, hakika Mimi si bora kuliko yoyote yule kwa namna yoyote
 
Leo nimemuona kwenye video Pierre Konki Fayaaaa, nikajisemea, jamaa mfupi sana duh, nikajiona Mimi ni bora kuliko yeye, ghafla Roho ikaniambia hamna binadamu bora kuliko mwingine kwa namna yoyote ile, ikabidi niingie magotini kuomba Rehema na toba, hakika Mimi si bora kuliko yoyote yule kwa namna yoyote
Alafu ni mfupi kweliii
 
Inawahusu wanasiasa pia, tumeona watu wakitumia vyeo vyao kudhalilisha watu hadharani huku wao wakilazimisha sifa wasizo kuwa Nazi hadharani. Inasaidia kuondoa udictator pia. Kwasababu dictator hana nia njema.
Kabisa
 
Back
Top Bottom