Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amemjibu Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu hali ya miundombinu ya barabara nchini, akisema bado...
Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB...
Wale pro-Nyerere wote nawaita humu. Kichwa kinajieleza chenyewe. Ni kweli Nyerere alirithi Tanganyika kwa njia za kidemokrasia kupitia uchaguzi halafu baada ya yeye kuingia kwenye madaraka...
Ukienda kununua vitu Kariakoo, Wachina hawataki malipo kwa simu au benk wanataka cash,baadhi ya wafanyabiashara hawatoi risiti,Mhindi anauza hela millions hatumii benki anatumia miamala ya kawaida...
Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, akihutubia katika kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026 kilichofanyika katika Uwanja wa Mandela, Sumbawanga...
Hamjambo wote!
Mwezi wa nane nilikuja humu na post yenye kuzungumzia kero ya uchafu katika jiji la Dar es salaam. Ingawaje nilimaanisha ni suala la kitaifa. Dsm ilikuwa kama cade study tuu.
Uzi...
Rais wa chama cha mawakili Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi, amefungua shauri la kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dodoma, kupinga uhalali wa shauri la...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando amewataka wananchi wa Ubungo kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo ipo katika Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja.
Soma...
Kuna swali ambalo linastahili kutafakariwa katika nchi yoyote inayojitambulisha kuwa ya kidemokrasia: nini hutokea pale mtu anapokuwa mkosoaji wa serikali, kisha akaanza kukabiliwa na maswali...
Mtalii asema nje ya Hotel nzuri zinazong'aa na beach za kitalii huko mtaani ndani ndani hali ni mbaya sana na umasikini umetamalaki!, afananisha Hali hiyo na "dystopian"
..kichwa cha habari kinahusika.
..naomba tupime ufanisi na kasi ya ujenzi wa reli wakati wa Wakoloni, na wakati wa Jpm, na Ssh.
..Wajerumani walijenga reli ipi ya umbali gani, ktk mazingira...
Leo imetimia miaka 14 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere atutoke October 14, 1999.
Moja ya urithi aliotuachia ni Chama Cha Mapinduzi. February 5, 1977, TANU na ASP zilipounganishwa...
Huyu alikuwa Rais wa DRC kwa mgongo wa Wapambe (chawa) wa baba yake, Muda wake ukamalizika, uchaguzi ukaitishwa Mtu wake akaangushwa, aliyeshinda ni Martin Fayulu
Kabila akagoma kumtangaza...
Ndugu zangu biblia katika 1samweli 9:9 na kuendelea mungu anajipambanua kwamba yeye ni mungu na kamwe Huwa hatembei njia moja na mtu muoga !
Ndio maana mungu alitaka kumuua mfalme hezekia kwa...
JULIUS KAMBARAGE NYERERE
"Ukipewa kazi ya nchi, lazima ujiheshimu. Huwezi kupewa kazi ya nchi halafu unaishi kihunihuni. Kazi za uhuni barabarani ziko tele." (1995)
Maneno hayo ni nukuu maarufu...
https://youtu.be/Bi8UXltxoD0?si=wk0aI5aNZvrS8yUV
Very rhetorical statement kuhusu simulizi ya kihistoria iliyorekediwa katika Biblia yaani Neno la Mungu aliye hai kumhusu aliyekuwa Mfalme (Rais)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.