Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Stanslaus Nyongo, amesema ofisi yake imeandaa mkakati wa kuanzisha soko la ardhi litakalowawezesha wananchi kununua na kuuza ardhi. Note: Je huu ndio msumari wa migogoro ya ardhi? Source...
1 Reactions
0 Replies
55 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu...
17 Reactions
133 Replies
6K Views
Tanzania na nchi zingine za Afrika kama Nigeria zina mpango wa kuwa na GDP(Nominal) ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Nimeuliza super intelligence, ni umeme kiasi gani unatakiwa ili...
2 Reactions
6 Replies
90 Views
Katika hali ambayo si ya kawaida manispaa ya Temeke imeamua kukifanya tunacho katazwa, manispaa ya Temeke inaziba mitaro ya maji ya mvua kwa kutumia mbao kisha kuwauzia wafanyabiashara eneo la...
0 Reactions
11 Replies
217 Views
Nchi yetu barabara kuu km za 1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001) 2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002) 3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4...
3 Reactions
10 Replies
134 Views
My Take Msigwa alisema subirini mambo makubwa yanakuja.🔥🔥 Wale vibaraka wa Kenya waje tena kupayuka 👇👇 https://www.instagram.com/p/Dbsp926iFDm/?igsh=dHEweHczems2djhv
11 Reactions
90 Replies
2K Views
Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee...
0 Reactions
10 Replies
110 Views
MKUU WA WILAYA YA KISARAWE KISARAWE – PWANI YAH: TAARIFA NA OMBI LA KUPATIWA MSAADA KUHUSU KERO YA KELELE ZA MUZIKI KUTOKA KWA BAR ILIYO KATIKATI YA MAKAZI Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya, Hii ni...
3 Reactions
24 Replies
348 Views
Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
7 Reactions
22 Replies
311 Views
Balozi polepole ukiwa hai au umekufa bado tunakukumbuka, tumenyamaza lakini hatujakusahau. Mambo bado ni mabaya sana, Mafwele anaandaliwa kuwa kuwa IGP nafikiri ni namna ya kumlinda.
2 Reactions
5 Replies
100 Views
Rais Samia ameajiri vijana kuanzia wale wa 2015 mpaka 2025 . Wale ambao Magufuli hakuwa na fedha za kuwalipa kama angewaajiri. Akasingizia uhakiki. Yeye kaajiri waliopaswa kuajiriwa kipindi cha...
2 Reactions
70 Replies
778 Views
Nitaweka baadhi tuu ya miradi n programu kubwa na muhimu alizofanya na anazoendelea kufanya ambazo ni game changer ya maendeleo ya Nchi. 1. Amemaliza kupeleka umeme Kila Kijiji,Sasa anaendeleza...
6 Reactions
276 Replies
4K Views
MIRADI MIKUU YA KIMKAKATI CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, 2021 – SASA Uongozi wa awamu ya sita umewekeza katika uendelezaji wa miradi ya kitaifa yenye tija kwa...
0 Reactions
3 Replies
254 Views
Moja ya hoja kubwa kabisa kwa sasa kwa taifa letu ni kuwa na mkuu wa nchi ambae hakubakiki kwa wananchi. Anachukiwa kila kona , watu wa lika zote wanamchukia. Lakini huwezi kukuta Mwandishi...
0 Reactions
3 Replies
115 Views
Hilo DUDE ni nini na lipo wapi na linafanyaje kazi na kwa kutumia katiba gani na hapo hapo Serikali ikiwa wapi??🤔🤔☝️
2 Reactions
8 Replies
195 Views
Anaandika John Heche. Kazi ya msajili ni kusajili vyama, kuvilea ili vikuze ushindani bora wa kisiasa ili Nchi yetu ipate maendeleo ya haraka .. Kwa kupata sera mbadala na kuwapa wananchi nafasi...
2 Reactions
2 Replies
119 Views
Wanabodi, Karibuni tushiriki Ibada ya mazishi ya Sir Wicknell Chivayo inaendelea kwa sasa katika Doves Funeral Services, katikati ya jiji la Harare, ambapo maelfu ya waombolezaji wamekusanyika...
15 Reactions
114 Replies
2K Views
Ni jambo la kudikitisha. Licha ya Ikulu kutoa samaam za rambirambi hivi karibuni, lakini huyu Wicknell Chivali wa Zimbabwe amekuja julikana kama tapeli na fisadi mbeba hela za viongozi wezi wa...
9 Reactions
31 Replies
862 Views
Nina wasi wasi ana upigaji unaoendelea kupitia mambo ya el nini, Kuna baadhi ya watu nawajua kupitia hii el nino wameshajenga nyumba na kuisha, El nino hatutaki itokee, lakini maandalizi na vikao...
6 Reactions
29 Replies
444 Views
Leo 8/10 Mzee Warioba ambaye ndiye Mkuu wa Chuo cha Kilimo cha Sokoine, amefika chuoni hapo ili kushiriki Mahafali Akionekana Mwenye Afya njema aliyejaa bashasha, Mzee huyo kiboko ya Wauaji...
15 Reactions
53 Replies
658 Views
Back
Top Bottom