tunataka wamalize kesi hatutaki waikimbie kwa mgongo wa nolle prosequi.Kuna dalili jamaa akaachiwa HURU
Mama kaamua kuwa mzazi ,,,uongozi kauweka pembeni .....
Tuendelee kuvuta subira
Kabisa mkuu, hayo mambo ya nolle... hayaleti picha nzuritunataka wamalize kesi hatutaki waikimbie kwa mgongo wa nolle prosequi.
Sema kesi kashindwa na ghiliba zake zimeonekana kwenye hii kesi, na vikwazo vipo mlangoniKuna dalili jamaa akaachiwa HURU
Mama kaamua kuwa mzazi ,,,uongozi kauweka pembeni .....
Tuendelee kuvuta subira
Mnaanzisha hoja wenyewe halafu mnapinga wenyewe. Kifupi, GAIDI hadi anyongwe! Hayo ya kuachiwa oteni ndotoni.tunataka wamalize kesi hatutaki waikimbie kwa mgongo wa nolle prosequi.
Mnaanzisha hoja wenyewe halafu mnapinga wenyewe. Kifupi, GAIDI hadi anyongwe! Hayo ya kuachiwa oteni ndotoni.
... wanafunzi wanaosomea sheria wana file zuri la kujifunziatunataka wamalize kesi hatutaki waikimbie kwa mgongo wa nolle prosequi.
Nguruwe wa mama tunawambia hivi kesi iendelee hadi mwisho tuone nani bingwa hatutaki ifutwe kwenye nolle prosequi wewe bwege.Mnaanzisha hoja wenyewe halafu mnapinga wenyewe. Kifupi, GAIDI hadi anyongwe! Hayo ya kuachiwa oteni ndotoni.
Ni kweli mkuu... wanafunzi wanaosomea sheria wana file zuri la kujifunzia
Kwamba Lissu anajuana Kwa kuwekwa ndani mwaka mzima? Au wewe ni chizi aliyerogwa na mchawi alishakufa.Hiyo ni michezo tu,, wote wanajuana..
Binadamu WOTE walikuwa NYANI.Trump alikuwa sahihi kabisa
Mwafrika alikuwa nyani
Na mimi SITAKI ifutwe. Na waambie Chadema wenzako waache kuloloma Lissu afutiwe kesi. Wasubiri hadi mwisho.Nguruwe wa mama tunawambia hivi kesi iendelee hadi mwisho tuone nani bingwa hatutaki ifutwe kwenye nolle prosequi wewe bwege.