Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika kuonyesha ukosefu wa ubunifu na uzwazwa, serikali imeleta sheria inayowataka watanzania kutoa risiti kwa kila malipo wanayopokea. Je, na akian dada na mama poa nao huwa wanazo EDFs na...
4 Reactions
8 Replies
825 Views
Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na majukumu ya Bunge, mbunge hana mamlaka ya kukusanya kodi, kuidhinisha matumizi ya fedha moja kwa moja, kuajiri watendaji au kutekeleza miradi. Majukumu yake...
1 Reactions
9 Replies
292 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewaasa wanachama na wafuasi wa chama hicho kujitokeza kwa wingi katika Mahakama ya Rufani siku ya Alhamisi, Juni 11, 2026, kusikiliza shauri dhidi ya...
9 Reactions
17 Replies
330 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili wakuu serikalini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Moses...
2 Reactions
5 Replies
379 Views
Katika kutekeleza mapendekezo ya kiutawala yaliyotolewa na Tume ya Rais ya Maboresho ya Mfumo wa Kodi, Serikali kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 imetangaza mfumo mpya wa urahisishaji wa...
4 Reactions
14 Replies
907 Views
  • Featured
Kesi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11 yaahirishwa hadi tarehe 6 Julai 2026 TAARIFA KUTOKA CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa shauri...
9 Reactions
73 Replies
3K Views
Serikali imetenga Trilioni 1 kwa ajili ya safari za ndani na nje kwa mwaka wa fedha 2026/27. Bilioni 833 kutumika katika safari za ndani ya nchi na Bilioni 149 kutumika katika safari za nje. Ni...
1 Reactions
12 Replies
340 Views
Hamjambo Wote! Wazazi wengi waliwatia uoga vijana wao. Simu zilikuwa zikiita kwa vijana zikiwaonya wasitoke. Wabaki ndani. Makundi sogozu ya kindugu yalikuwa na hofu. Hakuna kujadili mambo ya...
3 Reactions
17 Replies
356 Views
Wakenya wameonesha kusikitishwa na matukio ya uharibifu wa rasilimali na mali za umma na za binafsi Nchini humo, wakisisitiza kusimama kidete na Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
1 Replies
97 Views
Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano...
3 Reactions
24 Replies
607 Views
Anonymous
Mnamo tarehe 13 nilipowasiliana na wewe kuhusu suala langu uliniagiza nifike Kituo cha Polisi Oysterbay kwa RCO. Nilifika na kumweleza kero yangu. Alinipokea vizuri na siku hiyo hiyo akafungua...
1 Reactions
6 Replies
272 Views
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Juni 12, 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendela Kwa siku tatu hadi Juni 14 mwaka huu jijini Dar es Salaam...
3 Reactions
4 Replies
115 Views
Habari ya majukumu ya kulijenga taifa wazalendo Mimi kama mwananchi wa Tanzania, niliyezoea taifa lenye umoja, mshikamano na utulivu nimepigwa na butwaa kilichotokea nchini kwetu. Kumekuwa na...
1 Reactions
14 Replies
562 Views
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, leo tarehe 12,Juni 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendelea kwa siku tatu hadi Juni 14, 2026. Mbali na Mafunzo...
0 Reactions
2 Replies
98 Views
Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere...
0 Reactions
3 Replies
141 Views
Siasa za namna hii ndizo zinazo kwamisha nchi kusonga mbele. Hakuna uzalendo wa dhati kwa nchi, wala namna yeyote ya kuwa na uzalendo kwa nchi hakuna , nchi inateketea hii kwa ujinga.
5 Reactions
7 Replies
124 Views
Tamko la kuwafurusha Wabara Zanzibar linaketa, kuchukiza, kuhuzunisha , na uchokozi Je, bado tunauhitaji muungano? Je, bado unafaa? Kama unafaa, unamfaa na kutomfaa nani?
4 Reactions
24 Replies
322 Views
BARUA YA WAZI KWA TUNDU LISU Na, Robert Heriel Taikon wa Fasihi, S.L.P 9977, JIBI, Kutoka Nyota ya Tibeli. 30, 07. 2020. YAH: KUKUONYA DHIDI YA KUTETEA MASIKINI NA WAPUMBAVU. Ndugu Mhe Lisu...
87 Reactions
280 Replies
28K Views
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald...
11 Reactions
142 Replies
2K Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imebainisha kuwa kiwango cha akiba ya fedha za kigeni nchini kimeendelea kuimarika na kufikia uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma kutoka nje kwa kipindi cha miezi 4.8...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Back
Top Bottom