Wakuu,
Bendera ya Tanzania kuwa kwenye meli hii inamaanisha nini na ina athari gani kidiplomasia? Na hiyo mizigo hapo chini imefungwa kwa bendera yetu pia?🤔
====
Mnamo Februari 19, 2026...
Meli yenye bendera ya Tanzania imelipuliwa na Jeshi la Russia huko kwenye Bahari Nyeusi.
Russia wanadai meli hiyoilikuwa inatumika kusaidia Ukraine.
Ni vizuri serikali yetu ikatoa majibu ya kina...
Ilikua ni kati ya kero zilizoibuliwa baada ya mgogoro wa Serikali ma Wafanyabiashara uliopelekea Majaliwa akiwa PM kuunda Tume.
Lakini yale yaliyolalamikiwa yamerudishwa kwa kasi ya ngiri na...
Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.
Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa nchi kwake wanamuonea kwakuwa ni mwanamke...
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah EL-Sisi, amewasili jijini Dar es Salaam Julai 18,2026, kuanza ziara ya Kitaifa ya siku moja kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya...
"What looks to us like beautiful, deliberate design is actually just the end result of millions of years of nature ruthlessly filtering out what doesn't work, leaving behind only what does".
If...
Mwenyekiti wa Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Bw. Geofrey Kiliba, amewataka wanaharakati na wakosoaji wa Serikali kuwa na usawa wanapotoa tathmini ya utendaji wa Serikali ya awamu ya sita kwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametetea uhalali wa serikali iliyopo madarakani na matokeo ya uchaguzi mkuu, akieleza kuwa vurugu zilizotokea wakati...
Tanzania, Misri Zakubaliana Kupanua Ushirikiano wa Kimkakati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mhe. Abdel Fattah...
Hii inatufunza kuwa siasa yetu sasa imeingiliwa sana na wafanyabiashara na wanaohamasisha maandamano wanafanya hivyo ili kupoka madaraka kutoka kwa wazalendo wanaojali wananchi wa hali ya chini...
KBARUA YA WAZI KWA MUFTI MKUU WA TANZANIA: WITO WA UWAZI KUHUSU SAKATA LA KUONDOSHWA SHEIKH WALID
Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania
Yah: Ombi la kuweka wazi sababu za kuondoshwa Sheikh Walid ili haki...
Inajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kumtambua wala kumpa heshima yake.
CCM tunawajua...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa wito mzito kwa viongozi wa dini nchini, wakiwemo Masheikh, Maaskofu, Wachungaji na Mapadri, kushirikiana na Serikali katika kulinda amani...
CHAUMMA hawana wanachama wa kuwachangia.
Watachota fedha toka hazina kupitia ubabe wa CCM, then wajifanye wamechangiwa....time will tell!
Jiulize, Chaumma ilipata wapi hela za kuzunguka na...
Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara. Kwa kipindi hiki cha maombi ya mikopo ya elimu ya juu, tumeshuhudia baadhi ya watendaji wa vijiji wakitumia zoezi la usajili wa anwani za makazi...
Nukuu ya mazungumzo ya kwenye video
"Wapinzani wanailaumu Serikali, wanalaumu mifumo, wanalaumu mahakama, wanalaumu Jeshi la Polisi, na kadhalika.
Lakini wanasimama viongozi wa Serikali...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anaendelea kuwa kiongozi Mwenye ushawishi na nguvu ya ushawishi...
".....Sio lazima CHADEMA wakisema chochote tukubali. Tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS), Mhe. Moussa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.