Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Declaration of interest. Huu ni msimamo wangu binafsi kuhusu adhabu ya kifo. Siku ya Kupinga Adhabu ya Kifo Adhabu ya Kifo: Jee kweli bado inahitajika? Unajua anaetekeleza adhabu ya...
13 Reactions
351 Replies
42K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu na Wenyeviti wa Bodi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Usafiri wa njia ya SGR unapaswa kusajihishwa na shughuli za kiuchumi za wananchi kwenye vituo inakopitia. Hali ilivyo sasa abiria hawezi kubeba hata kamzigo ka kilo 20 za mchele, nyanya, mboga...
3 Reactions
17 Replies
195 Views
Wanabodi, https://www.youtube.com/live/clOESBBmMmI?si=WZKqn4KF5vTxrtGR Leo Tarehe 10 October ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo. Niko hapa jengo la Wakili House kuwaletea live mjadala...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Salaam, Leo ni siku ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo. Maadhimisho ya kitaifa yameandaliwa na Mtandao wa Mashirika ya Utetezi wa Haki za Binaadamu kwa nchi za Kusini mwa Afrika tawi la...
1 Reactions
65 Replies
10K Views
Wanabodi Tarehe 10 ya October kila mwaka, ni siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo Duniani. Kwa Tanzania kwa mwaka huu, Kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu Tanzania, LHRC kinazungumza na...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Wanabodi Angalizo Kufuatia kushuka sana kwa kiwango cha uelewa kwa wana jf wengi wa hii jf ya kisasa, naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo la msimamo wangu kuhusu hii kesi ya Uhaini...
8 Reactions
79 Replies
1K Views
My Take Hivi nani Huwa anawadqnganya wanaojiita wasomi kwamba wananchi wanahitaji masoko ya gharama kubwa, ya gorofa na Mabilioni. Ujinga huu wa kupoteza Rasilimali upo pia kwenye ujenzi wa...
6 Reactions
54 Replies
1K Views
Licha ya yote hayo leo tena Kambenga aendelea kunyang'anya mbegu za wakulima hadi ikatokea vurugu kubwa kijijini Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wa wilaya ya Kilombero wamepofushwa macho na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Yaliyopita, yaliyopo na yajajo kuhusu Tanzania. Edwin Mtei na Bob Makani wanahukumiwa vizuri na historia kuliko mwanasiasa mwingine yoyote wa kizazi cha kwanza. Ntakueleza ni kwanini nasema hivi...
16 Reactions
35 Replies
650 Views
Kufuatia malumbano yanayoendelea kwenye vyombo vya habari na madhaifu mengi ambayo tumeshayashuhudia kwenye chama kwa sasa, natoa wito kwa wana CHADEMA wote nchini kwamba wakati umefika...
17 Reactions
265 Replies
30K Views
Unamhoji mtu ambaye unajua kabisa ameambiwa kuwa kwenye issue hizi sema 1+1=3 hata kma katika natural mathematics 1+1=2 wewe sema hivyo tulivyokwambia Kwamba ukiulizwa mambo ya Lisu sema Lisu...
12 Reactions
26 Replies
418 Views
Yaani serikali inasisitiza bima ya afya kwa wote lkn kusema kweli hii bima ya afya ya sasa ni shida tupu maana ukienda hospitali na ukaenda bila fedha unaweza usitibiwe Yaani ukienda hospitali...
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Wanajamvi, Kwa miaka mingi tumekuwa tukilalamika kuhusu Katiba yetu. Tumesema haitutendei haki, madaraka yamelundikwa upande mmoja, na sauti ya mwananchi wa kawaida haimo. Tumesubiri Tume...
1 Reactions
10 Replies
172 Views
Sitaandika mengi hapa, kwa sababu ushahidi upo, kila mmoja anauona waziwazi. Chungulia video yoyote inayomwonyesha katika kila hadhara mtu anayetakiwa sasa awe karidhika kwa kumkomoa mtu...
11 Reactions
15 Replies
319 Views
  • Redirect
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amesema utamaduni wa 'uchawa' na kuteteana bila kuzingatia ukweli ni miongoni mwa mambo...
6 Reactions
Replies
Views
MY TAKE; Msajili wa vyama vya Siasa, kaanza kuvitumia vile vyama vya mfukoni ili vimtetee.. Viongozi wa vyama vya siasa vilivyoundwa na CCM wanazidi kunenepa na kujenga Magorofa hata hela sijui...
1 Reactions
16 Replies
363 Views
Kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu baada ya kuingia mahakamani ambapo leo anatarajiwa kuendelea kuuliza maswali ya dodoso kwa mashahidi kwenye shauri...
12 Reactions
48 Replies
846 Views
Ndugu zangu Watanzania, Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana...
3 Reactions
55 Replies
484 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hali iliyopo na inayoendelea ndani ya CHADEMA ni vyema sana na muhimu sana kuchukuliwa kwa hatua za haraka na Dharura kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa...
2 Reactions
56 Replies
805 Views
Back
Top Bottom