Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn?
Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
Kila siku katika maisha yetu ya kisiasa tunahesabu ni siku ya mapambano dhidi ya dola katili la CCM. Tunashinda katika korido za Mahakama kwa kuwa MaCCM hawataki tena kufanya siasa za hoja...
Sote tunakumbuka enzi za hayati magufuli huyu mwamba alikuwa na mbinu moja mujarabu yaani ili ajue matatizo ya wananchi wake alikuwa anapita kitaa
Lakini huyu mwenzetu mbinu anazotumia anajua...
Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi...
Akiwa Shinyanga juzi Katambi alisikika akisema, wanaotishia kumpeleka Mahakamani ni wapinga maendeleo watashughulikiwa.
Awali alisema hatishiki na watu wanaopanga kumpeleka mahakamani kwa vile...
Mkuu wa Gereza la Ukonga, Bwana Andrew Shabani Tamanjiro, amedai kuwa alipofika Ukonga Prison hakukuta utaratibu wa ndugu wa Mwenyekiti kumtembelea gerezani siku ya Jumamosi na wanachama...
Genge la CCM na machawa wao kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF wamekuwa wakijinadi kwamba Elimu wameboresha jambo linalopelekea ufaulu kuongezeka, sasa hebu yaulizeni machawa yao ni waziri gani...
BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (BAHAKITA), limesema hoja ya watu wa Mtwara kutaka gesi iwanufaishe wao kwanza ni upuuzi, kwa kuwa hoja hiyo itajenga ukanda katika Tanzania isiyoamini...
UTANGAZAJI WA UTALII KUPITIA MATAMASHA, MWENGE WA UHURU , NA FAIDA ZA MOJA KWA MOJA INAVYOWEZA KUWA FURSA YA KUKUZA UTALII NCHINI
Rais wa JMT Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Waziri wa UTALII...
Utamaduni huo wa mara kwa mara wa CCM, hukipa chama hicho nguvu, ari na pumzi mpya ya kupanga na kutekeleza mambo yake kwa usahihi na kasi ambayo hupelekea, mathalani ushindi wa kishindo katika...
Taarifa za Wafanyabiashara walioshiriki kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara ya 77 zinasikitisha
Hasara waliyoipata haisemeki kirahisi, hata hivyo wafanyabiashara wa ndani wamepewa onyo Kali...
"Leo tunaona watu wanaandamana wanasema Heche apishe uchunguzi.. Heche ni nani kwenye CHAMA, Heche ndiyo anayepokea michango kwenye Chama? Ofisi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama inazuia vipi...
Rais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026
"Kwa upande mwingine...
Juzi waziri wa Muungano na Mazingira Hamad Masauni(Mzanzibari) alimkemea na, kumdogosha na kumdunisha naibu wake Reuben Kwagilwa kuwa "ziara za naibu waziri zisiwe za kufunga viwanda".
Aliamua...
YAH: UTEUZI NA UHAMISHO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...
Watawala wa Tanganyika yafikirié haya yanayowapata waliopoteza ndugu zao wanaotegemewa kwa yaliyotokea 29.10.2025!
Hao vifaranga ni watoto wa Lisu, Mdude, Soka, Kibao and many many others of...
YAH: UTEUZI NA UHAMISHO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi...
My Take
Waliokuwa wanawatumia wenzao kupata pesa Sasa ni wakati wa kwenda kujitetea.
Kwa mujibu wa andiko linalosambaa mitandaoni, viongozi wa CHADEMA, wanaharakati na wahamasishaji katika...
Wanabodi
Tumepiga kelele sana humu kuhusu adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka kufa kuwa barbaric!.
Hatimaye leo Tanzania tumeamriwa kuifuta adhabu hiyo ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka kufa!. Ni...
Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia.
Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu.
Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.