Rais Samia: Mifumo itumike kumrahisishia Mwananchi kuelewa na kutimiza wajibu wake wa kuchangia Pato la Taifa

Rais Samia: Mifumo itumike kumrahisishia Mwananchi kuelewa na kutimiza wajibu wake wa kuchangia Pato la Taifa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,943
Reaction score
2,982
Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

Ametoa wito kwa taasisi za kifedha na mamlaka za kodi nchini kuhakikisha kuwa mifumo ya kidijitali haitumiki tu kurahisisha kazi ya serikali ya kukusanya mapato, bali pia iwe rafiki na yenye kumrahisishia mwananchi wa kawaida kutimiza wajibu wake wa kuchangia Pato la Taifa

 
Watu wanakwepa kulipa kodi kwasabb uliwaambia mawaziri wako wazitafune kwa urefu wa kamba zao hadi wanavimbiwa!.
 
Mtakacho kusanya mwisho wa mwaka CAG a asema kiasi kikubwa kimeibwa.
 
Back
Top Bottom