Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akizungumza na Vijana wa CHASO Mkoani Iringa Juni 13, 2026 amesema; "Tuna matatizo nchi hii, mambo mengi sana kama nchi na wote tunajua. Nasema uongo...
Wito kwa Watanzania.
Achaneni na huyu mpuuzi Kenan Kihongosi anayewakilisha kiburi cha Taasisi anayotoka ( ccm) na kebehi za chama chao kwa Watanganyika baada ya kutuua na kumwaga damu zetu...
Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa ...
Badala ya nchi ya Zanzibar kukataza watu wa nchi nyingine kama Tanganyika na Kenya kutibiwa nchini Zanzibar mimi ningewashauri viongozi wa nchi hii kuchkulia jambo hilo kama fursa ya kiuchumi ya...
KUJIVUA GAMBA KWA NYOKA HAKUMFANYI ASIWE NYOKA. MSALITI NI MSALITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Usidanganywe na Werevu wake. Nyoka ni nyoka.
2. Nyoka anapojivua gamba ili aonekane...
Wanabodi,
Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimepata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia...
Soma hadi mwisho makala Yangu je Wa kwetu hajanunua PhD ?
Chuo hiki kiko na sifa nzuri kimataifa, lakini kama chuo kingine chochote kina udhaifu wake pia. Haya ndiyo yanayorudiwa mara nyingi na...
Mheshimiwa rais,
Nakusalimu kwa unyenyekevu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Mheshimiwa rais, nafupisha sana nisikupotezee muda wako adhimu.
Mheshimiwa rais, yafuatayo ni mambo...
Mheshimiwa Amiri Jeshi Mkuu:
Anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka upoteze msingi wako asilia wa ushindi na usimame juu ya msingi usioujua.
Kwenye mapigano ya asili, naweza kuwa mpiganaji...
Wakuu,
Kuna mvutano mzito unaoendelea huko Ulaya kati ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Parliament) na Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (European Commission) kuhusu mpango wa kuipatia Tanzania...
Wanabodi,
Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu.
Kwa Waliosikiliza...
Bajeti ya Tanzania Mzima ni 31 Trilion means kila mtanzania Ana ratio ya 460,000. Na wazanzibari ni 8.5 Trilion Means kwa ratio mzanzibari Ana 6,580,000 (Plus 460,000 zile za watanzania maana nao...
Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar.
Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa...
JMT!
Hivi karibuni kumetokea Sintofahamu baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo machachari sheikh Said issa mohamedi kufukuzwa uanachama na chama chake kwa madai mbali mbali...
https://youtu.be/fQ599jLDuzs?si=IjRry0Ag8mFp7rd-
Nimejiuliza Sana swaali hili na kukosa majibu, kwa nini?
Nisemapo wenye CCM yao nadhani nimeeleweka, maana hii ya kina Samia, Kikwete na wapiga...
Nimedokezwa na kijana mmoja ambaye yupo Chuo kikuu kimoja hapa nchini.
Anadai kuwa vijana kutoka Zanzibar wamemdokeza kuwa wao wanapata mikopo mara mbili. Yaani kutoka bodi ya mikopo ya...
Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole...
Anaandika Max Mello
“Leo, Juni 11, 2026 nimepata ugeni wa vijana kutoka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Law School)
Walionitembelea ofisini kutaka kujifunza masuala...
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Wananchi na Watumishi tunapata changamoto sana hasa tunapohitaji huduma ya Mkurugenzi (DED), zinaweza pita siku 5 hupati huduma unaambiwa hayupo na hajakaimisha...
Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.