John Heche: Peter Msigwa atajitetea mwenyewe kwa wananchi

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,606
Reaction score
62,359
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema mwanasiasa Peter Msigwa, ambaye amerejea hivi karibuni ndani ya chama hicho atajitetea mwenyewe kwa wananchi kuhusu sababu na mazingira ya maamuzi yake ya kisiasa ya kuhama na kurejea CHADEMA.

Akizungumza leo Juni 13, 2026, katika kipindi cha Nyambizi Mseto cha 88.9 Nuru FM, Heche amesema kurejea kwa Msigwa ndani ya CHADEMA ni uthibitisho wa mvuto na ushawishi wa chama hicho katika medani za siasa nchini.
FB_IMG_1781350329468.jpg
FB_IMG_1781350339134.jpg
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema mwanasiasa Peter Msigwa, ambaye amerejea hivi karibuni ndani ya chama hicho atajitetea mwenyewe kwa wananchi kuhusu sababu na mazingira ya maamuzi yake ya kisiasa ya kuhama na kurejea CHADEMA.

Akizungumza leo Juni 13, 2026, katika kipindi cha Nyambizi Mseto cha 88.9 Nuru FM, Heche amesema kurejea kwa Msigwa ndani ya CHADEMA ni uthibitisho wa mvuto na ushawishi wa chama hicho katika medani za siasa nchini.
kwamba pwagu na pwaguzi wanapeana moyo right?🐒
 
Rais kapatikana kimiujiza.
Kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee na zikahesabiwa ndani ya saa 72 maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
Ukweli ni kwamba idadi hii ya kura si sahihi lakini walionda kupiga kura aslimia 95 walimchagua
 
Back
Top Bottom