Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,503
113,616
Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.

JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.

Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.

  1. Je ukweli halisi ni upi?.
  2. What really happened in that fateful day?
  3. Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?.
  4. Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
  5. Kwa kawaida No. 2 anatumwa kazi na No. 1, sasa wakati No.1 tayari hayupo, nani alimtuma No.2 ile safari?.
  6. Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
  7. Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
  8. Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
  9. If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
  10. Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya ”seek the truth and the truth and the truth will set you free”, na mimi kama mwandishi wa habari, kanuni kuu ya uandishi wahabari ni “tellnothing but the truth”

Zamani kupata taarifa ilikuwa ni hisani tuu yaani favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea tarehe 12 March ili ukweli huu kutuweka huru!.

Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa watu tuliotumiwa taarifa ya YouTube ya kutokea kwa tukio hili kutokana na ku subscribers kwa channel ya mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya kum doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, kwenye YouTube channel yake yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.

Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.

Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha mode wasiingilie kutafsiri, kuna vitu very sensitive, ukitumia lugha za wenzetu the impact ni ndogo zaidi!.

Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye na wewe ni GT, usitaje jina lolote!, Please!.

Jumapili Njema

Paskali
 
Hivi hata hao waliondele na ratiba walikuwa hawaehtuki... Hadi mwingine akajirhalilisha eti jamaa yupo anapiga mzigo! Kwa tukio, lile. Inadhihirisha kuwa wasaidizi wawili wale ni ceremonial au Wakati ule wa giza..
Walikuwa ceremonials!
 
Hii ilihitaji right time to announce lakini lilikuwa mikononi mwa ile kamati kuu inayongalia usalama wetu. Ukipata wasaa muulize yule mzee wa kitengo aliyepo same mashariki " Apostle kuna miujiza huku" Nini kilitokea na yeye ana play part kubwa ya decision influencing kwenye kuandaa hadhara ipate kusikia.mudhui mahususi.
 
Hebu tulinganishe na yule wa 14 October.
Siku tunatatangaziwa ilikuwa ndio yenyewe ya tukio?
Ila mi naamini walikuwa wanatafuta lugha ya kuja kuhuhadaa umma.
Angalia matukio,siku chache kabla yule akajipeleka Tanga na akadai naniliu anawasalimia,na mwingine akajipeleka nyanda za juu kusini.
Inaingia kweli akilini hiyo?
 
Siku kama hii ndio alitudanganya kwenye nyumba ya ibada kule Njombe kuwa jamaa ni mzima na anachapa kazi tena anawasalia sana.
Wakati huo hata ziara zake zilikuwa na wenge wenge tu kati ya mikoa ya Iringa, Dodoma na Njombe.
Sasa sijui na huyu alikuwa hajui ndio maana akawa anazururishwa tu huko! Kumbuka wakati huu pia ilikuwa inapangwa ziara nyingine kwenda Tanga.
 
Much respect to you Sir!
Tungekuwa na watu 20 tu kama wewe, wenye ujasiri wa kusimama na kuhoji juu ya mambo ambayo wengi huogopa, tusingefika napa tulipo!
Nakutia moyo uendelee kuhoji Mkuu, hata kama kwa kufanya hivyo teuzi zitakupita pembeni, never stop.
 
Back
Top Bottom