Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wapo wanaotazama ukubwa wa Goliati kwa sababu ana mwili mkubwa, mashamba mapana, madini tele, mito, misitu na hazina nyingi. Lakini historia hufundisha kwamba si kila mamlaka hutegemea ukubwa wa...
8 Reactions
18 Replies
311 Views
Kukitangazwa TU maandamano basi wao huanza kusitisha huduma ya maji kwa kusingizia TANESCO..Lengo lao kuwatia hasira wananchi waichukie serikali Yao Kisha watoke waandamane .. Walianza hii michezo...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Hapa Tanzania , mambo ya kisiasa bado sana. Sisi bado tunapambania survival kuhakikisha unapata mlo wa Kila Leo. Hata kama watanzania waruhusiwe kuandamana bado wasingeweza na hawawezi. Huku...
0 Reactions
6 Replies
81 Views
Kama walivyosingizia kipindi kile Oktoba 29 kuwa picha za matukio ya mauji ni Ai na hizi watasema ni AI
3 Reactions
4 Replies
153 Views
WAZIRI MKUU: FEDHA ZA MAJI, BARABARA NA UMEME KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MIFUKO HUSIKA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imewasilisha bungeni mapendekezo yatakayowezesha fedha...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza Novemba 5, 2025 katika Mjadala wa Nafasi ya Vyombo vya habari katika uchaguzi wa Tanzania na DW ameelezea kuhusu...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Sisi wazalendo wa kweli tulimkubali John Joseph Pombe Magufuli mapema sana na tulimtetea kadri inavyowezekana dhidi ya kundi la wahuni.Yoyote anayejidai kumpenda Magufuli sasa ni mnafiki...
3 Reactions
0 Replies
74 Views
The issue centers around a proposed U.S. Senate bill called the "Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act", introduced by U.S. Senators Jeanne Shaheen and Ted Cruz in May...
3 Reactions
10 Replies
396 Views
Wanabodi, Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea...
4 Reactions
12 Replies
279 Views
Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi hongera kwa kutuwakilisha kule Brazili kwa miaka mitano. Sijajua Kama umefanya vizuri au laah. Wateuzi wanajua. Karibu nyumbani Balolozi. Nikupe pia pole kwa...
24 Reactions
164 Replies
20K Views
Naomba comments fupi fupi kama unayo ama huna, bila hasira chuki na mihemko najua wengine hamjapata hata chai. Hizo ni takwimu za mwaka huu.
1 Reactions
4 Replies
75 Views
Kiukweli PM unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi.. Ukitangaza tu ziara sehemu yoyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X...
1 Reactions
25 Replies
327 Views
Huenda hawakujua kwamba wanajiandalia mateso makali na mahangaiko yasiyo na faida wanayopitia hivi sasa kisiasa. Halafu mbaya zaidi, nonsense ya No reform No elections ndio inawaathiri na...
1 Reactions
22 Replies
252 Views
Hatuna wasi kuhusu Saba Saba. Lakini October 29 pia hatukuwa na wasiwasi, lakini ikatokea balaa iliyotokea. Mpaka sasa watu wanaongea tu inaonekana hawajaamua wafanye nini Saba Saba. Tunasubiri...
1 Reactions
2 Replies
111 Views
Daa maisha yanabadilika sana ila Nimecheka sana hapo anaposema Waliofahamiana Wakiwa Watumishi wameblock namba zake isipokuwa RC mmja tuu 😁😁😁😁. Maisha ya Watanzania ndio yalivyo yanazungukwa na...
41 Reactions
180 Replies
13K Views
Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeee Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
26 Reactions
95 Replies
3K Views
RPC wa mkoa wa Pwani, ACP Salim Morcase amezuia shughuli za Chadema za uzinduzi wa vizimba iliyokuwa ifanywe na Katibu Mkuu John Mnyika asubuhi ya leo Jumamosi, Juni 13, 2026. RPC huyo...
4 Reactions
20 Replies
363 Views
Swali dogo, kama ambavyo tunaona CCM imeshaingia mikonon mwa mtu mmoja, Chama kikuu Cha upinzani kina Kina ubavu wa kumwondoa mwenyekiti wake madarakani kama ANC ya Afrika Kusini ilichomfanyia...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Naanza na ushauri Kwa msajili wa vyama USITHUBUTU KUIFUTA CHADEMA, WAACHE WACHOKE WENYEWE KAMA ILIVYOKUWA NCCR NA CUF Sisi ni nchi ya utawala wa kidemokrasia Kwa makosa yanayoshabihiana na ugaid...
13 Reactions
82 Replies
9K Views
Mpumbavu hawez kujiona kamwe namaanisha nini Katika kikao cha Umoja wa mataifa huru ya Africa ukianza mjadala wa kuhusu viongozi wa Africa kuacha udictator utayasikia kabisa mawazo mazuri ya watu...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom