Nyerere alilazimisha huu muungano pengine kwa woga tu wa wakati ule.
Eti security & proximity concerns,
Geography ya Tanganyika vs Zanzibar inafanana pia na nchi nyingine.
1. Cameron vs Equatorial Guinea
2. Kenya vs Seychelles
3. Ethiopia vs Eritrea/ Djibouti
4. Gabon vs Sao Tome
5. SA vs Lesotho nk
6. Senegal vs Gambia nk
Kama hizi nchi wangefuata hoja za Nyerere, (za usalama) hakika wangekuwa wameungana hadi leo.
Japo hapo No 6, walijaribu kuungana yakawashinda.
Honestly Huu Muungano ni unhealthy kwa Tanganyika.
Yaani tunaoonekana kama hatuna akili.
Ukiwauliza CCM kwanini Wazanzibar wasiruhusiwe kufanya referendum ili kujua Wananchi kama wako hiari kuishi chini ya muungano au vipi,
hawataki kabisa kusikia hilo.