Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalumu na ya kipekee na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikitambua mchango wake mkubwa na maono yake kama kinara wa mabadiliko ya kiuchumi na mifumo ya kifedha nchini.
Tukio hilo limejiri leo Juni 12, 2026, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam, ambapo Rais Samia alikuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Benki Kuu nchini.