mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 4,287
- 9,161
Kwamba ndugu Polepole alikuwa hajui kama kujirecord vidio kama zile na upo ndani ya nchi ingemletea shida?
Kwamba alikuwa na uelewa mdogo kuhusu teknolojia?
Inakuwaje unajipiga picha au recording na kusema hapa ni wapi kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa
Au kipindi anafanya hayo alilewa🙄
Pia soma Kupotea kwa Humphrey Polepole kumefanya hata walio CCM wajione wao sio lolote wala chochote. Ni onyo ma kitisho