Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwakilishi wa Viti Maalum kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Dkt. Nasra Nassor amesema kuna haja ya vijana wa Zanzibar na Tanganyika kujua haki zao katika masuala ya Muungano. Dkt. Nasra...
1 Reactions
2 Replies
158 Views
Mambo yanazidi kupamba moto. ============ Mwakilishi wa wananchi Jimbo la Ziwani, Mohamed Ali Salim akiwa katika uchangiaji wa bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Chukwani Unguja...
5 Reactions
48 Replies
894 Views
Time will tell! Trump amesign Iran-USA agreement. Mgogoro wa Iran na USAS umeisha au uko sehemu nzuri sana. Milango yote imefunguliwa ya meli za mafuta kupita as used to be. SWALI KUBWA KWETU: JE...
0 Reactions
4 Replies
165 Views
🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨 TAUSI LIKOLOLA: We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice. The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral...
12 Reactions
35 Replies
689 Views
Akijibu swali bungeni, Waziri amesema kuwa serikali ina mkakati madhubuti wa kufanya operesheni za mara kwa mara katika maeneo yanayodhaniwa kuwa na viashiria vya biashara ya ukahaba. Amesema...
15 Reactions
55 Replies
1K Views
Kwenye akaunti yake ya X Msigwa ameandika, Ndugu zangu Waandishi wa Habari mnaonipigia simu nyingi na kunitumia ujumbe mkiniuliza kuhusu jambo hili, ni hivi; Nilikuwa nikitekeleza wajibu wangu...
11 Reactions
76 Replies
1K Views
Badala ya kuendelea kupambana na ukweli uliowazi, bora mngeanza kujipanga mtaishi vipi ndani ya vikwazo kama mgonjwa wa ukimwi anavyoishi na virusi. Kama kuna MwanaCCM ana watoto au ndugu...
5 Reactions
15 Replies
318 Views
Wakati uhusiano kati ya Tanzania na Marekani ukiingia katika kipindi nyeti zaidi katika miaka ya karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amefanya...
2 Reactions
14 Replies
483 Views
Swali, Mpaka hapa bado kuna mtu hajajibiwa swali la nani alitoa amri ya kuua watu iwapo magari yaliyotumika kuua watu bado wanayatumia kuonesha hawajali wala kuogopa chochote?
2 Reactions
6 Replies
399 Views
Baraza la Seneti limegundua yafuatayo: Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini Tanzania inatishia maslahi ya...
32 Reactions
74 Replies
2K Views
Baada ya kutoka Russia samia aende Marekani. Watamwalika kwakuwa Russia na Marekani ni mahasimu. Marekani naye atataka kupata vile ambavyo Tanzania na Russia walikubaliana. Aombe ziara ya hata...
1 Reactions
51 Replies
561 Views
Akili kumkichwa,Hakuna mwenyekiti aliemaliza MDA wake akajua vyote na Wala hakuna mwenyekiti aliewahi dhibiti kila kitu akaweza!! Kama Kuna watu umewakosea omba radhi!chutama!tafakari Anza...
1 Reactions
13 Replies
353 Views
Wazalendo wenzangu 7/7 imekaribia. Tuko tayari kwa maandamano. Ni natoa onyo kwa wale wanataka kuleta hofu. Lazima tuikomboe nchi yetu.
12 Reactions
89 Replies
2K Views
Kwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni...
7 Reactions
63 Replies
1K Views
Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
24 Reactions
98 Replies
2K Views
Global Magnitsky Sanctions ni moja ya vikwazo vilivyoongezwa kwenye mabadiliko yaliyofanywa hivi karibuni na bunge la seneti la Marekani kwa serikali ya Tanzania. Vinawalenga watu binafsi na...
1 Reactions
3 Replies
230 Views
Msikilize vizuri utagundua ana changamoto ya utimamu. Pale bungeni yupo mwili tu
17 Reactions
66 Replies
2K Views
Hamjambo! Maswali kama nilivyouliza. Kama wanaojiuza wanatoka Bara na Kenya, je wanunuzi wanatoka wapi? Na kwa nini Zanzibar iwe soko la biashara hiyo? Huwezi fungua soko la Dhahabu Iringa...
8 Reactions
35 Replies
537 Views
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Wilaya ya Mbeya Vijijini, Amoni Masinga, amesimulia jinsi askari walivyovamia nyumbani kwake na kuacha watoto wake wawili wakiwa na vilema kutokana...
5 Reactions
7 Replies
249 Views
Jilindeni sana, Kikosi kinapewa maelezo tena kama ilee ya code 29102025 Britanicca
22 Reactions
80 Replies
2K Views
Back
Top Bottom