Ebola haijawahi kuwazuia wazungu kuchimba madini DRC

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
Raia Magufuli amelifikirisha bara la Afrika na dunia.
Congo DRC imekuwa na tatizo la Ebola kwa miaka zaidi ya 10.Sijawahi sikia Mlami aliyefariki kwa Ebola huko Congo.

Zaidi hakuna tahadhari ya vitisho kwa walami wanaoenda DRC CONGO kukwapua madini na utajiri wa nchi hiyo.

Leo hii walami hawa wanataka kutuaminisha kuwa eti kuna Ebola Tanzania!!

Shame upon them!

Magufuli kanyaga kanyaga ....
Uzushi...kanyaga
Umbea kanyaga
Wivu kanyaga kanyaga

ole kudadadeki...kanyaga kanyaga
 
..tuchukue tahadhari.

..unazungumziaje mlipuko wa Ebola uliotokea West Africa na madhara yake?
 
Jingalao ukweli uko wazi juu ya mabeberu lakini inahitajika busara na hekima kudeal nao, huhitaji kuanzisha ugomvi usio wa lazima juu ya watu hawa..

Watu hawa wanambinu nyingi sana ambazo wakiamua kuzitumia hatuwezi kuwazuia zaidi zaidi utatesa wananchi masikini na kuwaacha taabani, hata hiyo ebola wakiamua kuipandikizi hatuwezi kuwazuia zaidi yakushuhudia vifo vya maelfu kwa watu masikini.. Mugabe amekufa walioteseka ni Wazimbabwe kipindi chote sio Wazungu leo Rais aliyepo analipa fidia kwa gharama za wazimbabwe ili maisha yaendelee.. Ghadafi kafa wanaoteseka ni walibya sio wazungu ulaya, Saadam kafa wanaoteseka ni wairaki sio wazungu..

Huhitaji kuanzisha migogoro isiyo ya lazima na wazungu wanakila mbinu na namna yakutuangamiza labda uwe umefikia level za China na Urusi tofauti ya hapo unakwenda kuua raia tu..
 
Wazungu wabaya sana na wana uwezo mkubwa wa kumhujumu yoyote. Kuendelea kuwananga nanga hasa kwenye majukwaa ya kisiasa hakutatusaidia kuepukana na athari ya ghadhabu yao!
Jingalao ukwel uko wazi juu ya mabeberu lakini inahitajika busara na hekima kudeal, huhitaji kuanzisha ugomvi usio wa lazima juu ya watu hawa..

Watu hawa wanambinu nyingi sana ambazo wakiamua kuzitumia hatuwezi kuwazuia zaidi zaidi utatesa wananchi masikini na kuwaacha taabani, hata hiyo ebola wakiamua kuipandikizi hatuwezi kuwazuia zaidi yakushuhudia vifo vya maelfu kwa watu masikini.. Mugabe amekufa walioteseka ni Wazimbabwe kipindi chote sio Wazungu leo Rais aliyepo analipa fidia maisha yaendelee.. Ghadafi kafa wanaoteseka ni walibya sio wazungu ulaya, Sadam kafa wanaoteseka ni wairaki sio wazungu..

Huhitaji kuanzisha migogoro isiyo ya lazima na wazungu wanakila na kitu na namna yakutuangamiza labda uwe umefikia level za China na Urusi tofauti ya hapo unakwenda kuua raia tu..
 
Dawa ni kuwadhibiti vibaraka wao..Ujinga wetu ndio mbinu yao
 
Raia Magufuli amelifikirisha bara la Afrika na dunia.
Congo DRC imekuwa na tatizo la Ebola kwa miaka zaidi ya 10.Sijawahi sikia Mlami aliyefariki kwa Ebola huko Congo.

Zaidi hakuna tahadhari ya vitisho kwa walami wanaoenda DRC CONGO kukwapua madini na utajiri wa nchi hiyo.

Leo hii walami hawa wanataka kutuaminisha kuwa eti kuna Ebola Tanzania!!

Shame upon them!

Magufuli kanyaga kanyaga ....
Uzushi...kanyaga
Umbea kanyaga
Wivu kanyaga kanyaga

ole kudadadeki...kanyaga kanyaga

Hilo nalo neno.
Wanatuchimba sana ili tuendelee kuwa shamba la bibi.
 
Raia Magufuli amelifikirisha bara la Afrika na dunia.
Congo DRC imekuwa na tatizo la Ebola kwa miaka zaidi ya 10.Sijawahi sikia Mlami aliyefariki kwa Ebola huko Congo.

Zaidi hakuna tahadhari ya vitisho kwa walami wanaoenda DRC CONGO kukwapua madini na utajiri wa nchi hiyo.

Leo hii walami hawa wanataka kutuaminisha kuwa eti kuna Ebola Tanzania!!

Shame upon them!

Magufuli kanyaga kanyaga ....
Uzushi...kanyaga
Umbea kanyaga
Wivu kanyaga kanyaga

ole kudadadeki...kanyaga kanyaga

Sababu kubwa ni kuwaondoa wapambe wao kwenye madaraka. US inajari interest zake tu. Ina watu imewapandikiza. Ukiwagusa hao ndio zinanzaa hizi kelele zisizo na mashiko
 
..tuchukue tahadhari.

..unazungumziaje mlipuko wa Ebola uliotokea West Africa na madhara yake?

Hilo ni jambo la muhimu sana. Katika kuchukua tahadhari, message za kutishia watu za nini?
Ebola ni ugonjwa hatari. Huwezi kuuficha kama kweli upo. Nia za hawa wakubwa ni nini haswa kusema kitu ambacho hawawezi kukithibitisha?
Yes wamechukia sana wapambe wao kuwekwa pembeni ya uongozi
 
Raia Magufuli amelifikirisha bara la Afrika na dunia.
Congo DRC imekuwa na tatizo la Ebola kwa miaka zaidi ya 10.Sijawahi sikia Mlami aliyefariki kwa Ebola huko Congo.

Zaidi hakuna tahadhari ya vitisho kwa walami wanaoenda DRC CONGO kukwapua madini na utajiri wa nchi hiyo.

Leo hii walami hawa wanataka kutuaminisha kuwa eti kuna Ebola Tanzania!!

Shame upon them!

Magufuli kanyaga kanyaga ....
Uzushi...kanyaga
Umbea kanyaga
Wivu kanyaga kanyaga

ole kudadadeki...kanyaga kanyaga
Kijana, Ebola siyo kama yake ma-box ya kura mliyozoea kuyakwapua.
 
Kuna watu ni wajinga hasa, kama huyu mleta mada. Huyu ni mjinga aliyebobea. Hana uelewa wowote zaidi ya mazingira yanayozunguka nyumba yake.

Haijui DRC. Ukubwa wa DRC (2,344,858 km) ni karibu sawa na Tanzania, Kenya, Uganda, Sudan Kusini, Rwanda, Burundi; zote hizo uziweke pamoja (2,450,119 sq. km).

Nchi ya DRC ni kama nchi kadhaa ndani ya nchi moja. Ndiyo maana DRC kuna maeneo mengi wanasikia nchini mwao kuliwahi kuwa na vita kama tunavyosikia sisi. Hawajawahi kushuhudia wala kuona. Wanasikia nchini mwao kuna ebola au kuliwahi kuwa na ebola, hawajui ni nini, na wanasikia tu kama tunavyosikia sisi. Kuna maeneo kwa namna yalivyo mbali, ni rahisi mtu ambaye yupo Dodoma kufika Kinshasa, au kufika Dar, Nairobi au Joburg kuliko kwenda Kinshasa.

Kutokana na ukubwa wa nchi, risk yako ya kupata ebola ni ndogo sana ukilinganisha na ebola ikitokea katika Taifa ambalo ukubwa wa eneo la nchi ni mdogo kama ilivyo nchini mwetu. Udogo wa nchi na ukubwa wa population density pamoja na ukosefu wa uzoefu wa kukabiliana na ebola, viliwamaliza watu wa Afrika Magharibi.

Wajinga wanabwabwaja tu, hawaijui Congo. Migodi mingi ya madini ipo jimbo la Katanga (hq Lubumbashi). Kutoka Lubumbashi mpaka Kinshasa ni 2,340km, ni mbali kuliko kutoka Lubumbashi to Dodoma 1,613km au Lubumbashi to Johannesburg 2,137km.
 
Dawa ni kuwadhibiti vibaraka wao..Ujinga wetu ndio mbinu yao

Jingalao, Wazungu kupandikiza Ebola Tazania hawahitaji kibaraka yeyote, Kazi hiyo wanaweza kuifanya bila ya mimi, wewe na yeyote yule Tanzania kujua nani kaileta.

Tumuombe sana Mungu atupe hekima na busara ili tusijiingize kwenye yasiyotuhusu, Tumuombe Mungu aondoe hili pepo la Ebola lisiwepo au kusemwa juu ya ardhi yetu.. Ebola ni hatari sana na inaweza kuwafanya kuacha kila kitu na kuanza kupambana nayo miaka na miaka hii ni blackmailing tujiepushe nayo kwa hekima na busara..SA hakuna anayejua kwanini HIV spreading quickly and highly within African community and not whites..
 
Kuna watu ni wajinga hasa, kama huyu mleta mada. Huyu ni mjinga aliyebobea. Hana uelewa wowote zaidi ya mazingira yanayozunguka nyumba yake.

Haijui DRC. Ukubwa wa DRC (2,344,858 km) ni karibu sawa na Tanzania, Kenya, Uganda, Sudan Kusini, Rwanda, Burundi; zote hizo uziweke pamoja (2,450,119 sq. km).

Nchi ya DRC ni kama nchi kadhaa ndani ya nchi moja. Ndiyo maana DRC kuna maeneo mengi wanasikia nchini mwao kuliwahi kuwa na vita kama tunavyosikia sisi. Hawajawahi kushuhudia wala kuona. Wanasikia nchini mwao kuna ebola au kuliwahi kuwa na ebola, hawajui ni nini, na wanasikia tu kama tunavyosikia sisi. Kuna maeneo kwa namna yalivyo mbali, ni rahisi mtu ambaye yupo Dodoma kufika Kinshasa, au kufika Dar, Nairobi au Joburg kuliko kwenda Kinshasa.

Kutokana na ukubwa wa nchi, risk yako ya kupata ebola ni ndogo sana ukilinganisha na ebola ikitokea katika Taifa ambalo ukubwa wa eneo la nchi ni mdogo kama ilivyo nchini mwetu. Udogo wa nchi na ukubwa wa population density pamoja na ukosefu wa uzoefu wa kukabiliana na ebola, viliwamaliza watu wa Afrika Magharibi.

Wajinga wanabwabwaja tu, hawaijui Congo. Migodi mingi ya madini ipo jimbo la Katanga (hq Lubumbashi). Kutoka Lubumbashi mpaka Kinshasa ni 2,340km, ni mbali kuliko kutoka Lubumbashi to Dodoma 1,613km au Lubumbashi to Johannesburg 2,137km.

Ni elimu nzuri ya bure umetoa waelewa wataelewa ila wajinga wanaowanza maslahi ya chama CCM kuelewa ni ngumu sana..

Katanga province ni eneo ambalo liko swali sana na biashara zinaendelea kama Tanzania ilivyoshwali, Lubumbashi, Kolwezi nk kuko shwali kabisa.. Eneo la Kivu mpaka Goma ndio eneo korofi ukitokea upande wa Uganda, Burundi na Rwanda na hii yote ni kwasababu ya viongozi wenye maslahi yao binafsi ya kiutawala wa Uganda, Rwanda na Burundi na kwa kiasi kikubwa ni PK na M7 ili waendelee kutawala..Eneo la Goma kimsingi ndio lenye Ebola...

Watu hawajui unapoizungumzia Congo DRC unazungumzia muunganiko wa nchi nyingi ndani yake..
 
Tukiacha siasa, hili swala linafikirisha sana.
Kwa mtu anaeijua kongo hasa.

Naishi Congo , hiyo Ebola ,Vita viko mashariki huko km mnavyosema wadau

Ingawa hayo ya Ebola na Vita za huko Mashariki wacongo wamezichoka kuzisikia
 
Wazungu huwa hawapigwi Kwa maneno! Wakikuamlia ni Kesho asubuhi Tu ushajijambia!

Kufananisha Tz na Congo ni Sawa na kufananisha mbuyu na Chainizi!
 
Kuna watu ni wajinga hasa, kama huyu mleta mada. Huyu ni mjinga aliyebobea. Hana uelewa wowote zaidi ya mazingira yanayozunguka nyumba yake.

Haijui DRC. Ukubwa wa DRC (2,344,858 km) ni karibu sawa na Tanzania, Kenya, Uganda, Sudan Kusini, Rwanda, Burundi; zote hizo uziweke pamoja (2,450,119 sq. km).

Nchi ya DRC ni kama nchi kadhaa ndani ya nchi moja. Ndiyo maana DRC kuna maeneo mengi wanasikia nchini mwao kuliwahi kuwa na vita kama tunavyosikia sisi. Hawajawahi kushuhudia wala kuona. Wanasikia nchini mwao kuna ebola au kuliwahi kuwa na ebola, hawajui ni nini, na wanasikia tu kama tunavyosikia sisi. Kuna maeneo kwa namna yalivyo mbali, ni rahisi mtu ambaye yupo Dodoma kufika Kinshasa, au kufika Dar, Nairobi au Joburg kuliko kwenda Kinshasa.

Kutokana na ukubwa wa nchi, risk yako ya kupata ebola ni ndogo sana ukilinganisha na ebola ikitokea katika Taifa ambalo ukubwa wa eneo la nchi ni mdogo kama ilivyo nchini mwetu. Udogo wa nchi na ukubwa wa population density pamoja na ukosefu wa uzoefu wa kukabiliana na ebola, viliwamaliza watu wa Afrika Magharibi.

Wajinga wanabwabwaja tu, hawaijui Congo. Migodi mingi ya madini ipo jimbo la Katanga (hq Lubumbashi). Kutoka Lubumbashi mpaka Kinshasa ni 2,340km, ni mbali kuliko kutoka Lubumbashi to Dodoma 1,613km au Lubumbashi to Johannesburg 2,137km.
Aisee
 
Www mwehu hujui unachoandika nyamaza
 
Back
Top Bottom