Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020. Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa...
16 Reactions
231 Replies
18K Views
Harakati za LISSU alianza zamani sana na ndie alieshinikiza serikali kuheshimu mchango wa wachimbaji wadogo na hadi leo matunda yake yanaonekana. Nakumbuka vema sana hili sakata. Nyumba ya Lissu...
21 Reactions
79 Replies
11K Views
Huu uchaguzi una maana kubwa sana kwa taifa la Tanzania. Ni uchaguzi unaoenda kui 'define' Tanzania kwa karne moja ijayo. Nchi hii iko katika njia panda, kuna hatma za aina mbili au tatu nchi...
2 Reactions
6 Replies
907 Views
Huyu Binti nadhani naangalia sura za Wajumbe akakumbuka kuwa hapa deni halitalipika na kazi hana tena! Kajikuta akili imegoma, sasa hawa ndio watu wa kwenda kushindana na akina Heche eti CCM...
15 Reactions
88 Replies
14K Views
Jimbo la Siha Kurejea Upinzani Tena Maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama yanasubiriwa kwa shauku kubwa sana, Kila mwananchi anatamani kusikia jina linalorudi kutoka Dodoma. Leo nitazungumza kuhusu...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu amewaambia wafuasi wake kuwa wasipojipanga sawasawa CCM hawataiweza. Lissu amekiri mbele ya umati wa watu mjini Shelui kwamba CCM ni chama kikubwa na...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
TUNDU LISSU, huenda akawa ni miongoni mwa wanasiasa wenye bahati kubwa! Ni mwanasiasa, anayenufaika sana na makosa ya wakubwa! Makosa ya wakubwa kwa kujua au kutokujua, kwa kushauriwa au...
68 Reactions
93 Replies
52K Views
Nimesikitishwa sana na kitendo cha ACT kumteua Benard Membe kuwania urais JMT. Huu naweza kuuita ubinafsi japo bado sijafahamu kama kutakua na makubaliano ya kumsimamisha mgombea mmoja kwa vyama...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Wana Lindi wenzangu habari Leo nimependa niwakumbushe wakati tunaenda katika uchaguzi mkuu , Nina waomba Wana Lindi bila kujali ITIKADI, Jimbo la Ruangwa tumuache waziri mkuu ,mhe KASIMU...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Kama ambavyo siku zote nimekua nikisema kua mimi ni mkweli daima na fitina kwangu mwiko. Ni MwanaCCM hai niliyekitumikia muda mrefu na bado naendelea. Rais wangu ulikosea mambo machache sana...
68 Reactions
252 Replies
17K Views
Tarehe 21 / 7 / 2020 Ulifanyika uchaguzi wa kura za maoni kupata mgombea atakayepeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 Jimbo la Kalenga mkoani Iringa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari Wana JF na Makada wote Mliopo humu.Huu mwaka 2020 Ni mwaka wa Uchaguzi Ila Kuna Mambo nimeona na Kujifunza nikiwa Kama Mwana CCM. 1.Watu Wengi Waliopo ndani ya CCM hawakipendi Chama kwa...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa UMD, Khalfan Mohamed Mazurui na Mgombea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huu ni wito kwa Wafanyabiashara na Wadau wote wa Sekta Binafsi. Tafadhali sana ili maisha yenu yarejee kwenye kukuza na kuimarisha biashara zenu muondoeni huyu mtu kwenye sanduku la kura. Mpigeni...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
Wamama wengi uwa wanachagua ccm, Mama yangu amesitaafu mwaka huu ajalipwa mafao yake mpaka sasa Mimi nimemwambia wazi ni juu ya utawala mbovu uliopo madarakani. Bibi yangu yeye Kila mwaka...
20 Reactions
31 Replies
3K Views
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu ametoa changamoto kwa CCM na wadau wengine wa siasa kuwezesha mdahalo baina yake na mgombea urais kwa tiketi ya CCM, mheshimiwa Rais John Magufuli...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Mh. Tundu A. Lissu habari ya asubuhi, Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala CCM Ila my country Tanzania na watanzania ni kila kitu kwangu. Lakini pia naomba nikiri wazi kuwa naichukia CCM kwa dhati...
32 Reactions
63 Replies
5K Views
Niwaombe Sana Wasome kutoka Vyuo mbalimbali hapa Nchini , Wanaharakati , Na Wadau wote wa Maendeleo Na wanaoitakia Maendeleo zaidi Nchi yetu kwamba , huu Ni wakati muafaka wa kumfahamu kila...
1 Reactions
5 Replies
911 Views
Tunawaambia ukweli kabisa, ili mnapofanya maamuzi yenu mkae mkijua raia wamechoka na hizo ndizo options walizonazo. Kimbilio la wengi kwa sasa ni Lissu. Ila kwa sababu kuna kila dalili ya...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom