Uchaguzi 2020 Hotuba za kampeni za Lissu, naomba sana ziwe na yafuatayo

Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
7,879
8,800
Mh. Tundu A. Lissu habari ya asubuhi,

Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala CCM Ila my country Tanzania na watanzania ni kila kitu kwangu. Lakini pia naomba nikiri wazi kuwa naichukia CCM kwa dhati kabisa kwanza kwa kuamua kuwekeza kwenye ujinga na umasikini wa watanzania ili waendelee kuwatawala huku wakiwalaghai kwa vitu vidogo vidogo kama vile stendi, masoko, flyover, ndege etc.

Ujinga wa watanzania uliotengenezwa na CCM ndo unawafanya waone kuwa ndege ni maendeleo, masoko na stendi ni maendeleo hata Kama hali zao kiuchumi ni mbaya sana.

Nikirudi kwenye hoja yangu ya msingi kwako, nakuomba sana hotuba zako za kampeni ziwe na yafuatayo

1. Shukrani kwa watanzania kwa maombi yao na michango yao bila kujari itikadi zao,washukuru sana.

2. Elezea in brief kile kilichokupata tarehe 17/9 na muujiza wa kusurvive 32 bullets ili waweze kuconnect why umewashukuru.

3. Waambie watanzania njia pekee uliyonayo ya kuweza kuwalipa maombi na michango yao ni kuja kuwa tumikia na ndo maana umekuja kuwaomba ridhaa ya kuwatumikia pamoja na kwamba bado una risasi zingine ndani ya mwili.

Toa mifano mizuri ya kazi ulizofanya kwa wanasingida Mashariki na watanzania wengine,ikiwezekana tengeneza documenteries on how you addressed changamoto za watu wa Singida na mzi-project kwenye mikutano yenu kabla wewe hujaanza kuzungumza na pia hizo documentary zioneshwe kwenye Kila ofisi ya CHADEMA.

4. Elezea utavyoaddress changamoto za wananchi zilivyosababishwa na CCM na Magufuli.

5. Challenge kazi na uongo wa Magufuli kwa kutoa mifano hai toka nchi jirani. Mfano Ethiopia wana ndege zaidi ya Mia,Wana bwawa kubwa la kuzalisha umeme hadi Magufuli aliomba auziwe umeme( Crip yake ikipatikana itakuwa nzuri) Wana SGR lakini wananchi wake kila siku wanatoroka nchi na wengine wamekamatwa sana hapa kwetu( ulipata idadi ya waithiopia waliokamatwa hapa nchini will be great) waoneshe watu tofauti ya maendeleo ya watu na vitu.

Toa mifano inayogusa familia mfano ujenzi wa nyumba. Kwamba mtu anaanza Kwanza kuendelea kwa kupata kipato kinachomtosheleza kula ndo ananza kufikiria nyumba na gari

6. Onesha uongo wa Magufuli, ikiwezekana zitengenezwe documentary zinazoonesha unafiki wake kwa mabeberu, tuanze na Ile aliyogeuka kuwa dereva wa beberu alipokuja kuzindua ujenzi wa interchange ya ubungo na kisha yule mwanaume wa Barrick

7. Elezea connection ya cheo cha Rais na mlo wa familia unaowekwa mezani kwao, toa mifano ya intervations kwenye market system ya mazao ya korosho, kahawa, tumbaku na mbaazi yalivyoadhiri vipato vya familia na kisha elezea nini wewe utafanya kuhakikisha wanapata bei nzuri na soko la uhakika

8. Elezea namna Serikali yako itakavyopiga jeki biashara zilizoadhiriwa na corona

9. Issue ya katiba is key

10. Issue ya elimu ya bure hadi chuo kikuu ni muhimu. Waeleze watanzania namna CCM inavyomwandaa mtoto wa masikini kuwa fukara, dereva wa boda boda.Taja kiwango cha ada katika level mbalimbali za elimu halafu waulize wananchi kwamba kama mtu ameshindwa kulipa elfu 60 anawezaje kulipa Milioni 2 plus huko elimu ya juu kwa maana na vyuo vya Kati na vile vya elimu ya juu.

Toa idadi ya wanafunzi wanaomaliza kila mwaka na wale waopewa mikopo

Please note: Ujinga uliotengezwa na CCM kwa miaka mingi, Magufuli ameumeremetisha sana kwa hiyo ukiongea vitu at presidential level watu hawatakuelewa, toa mifano iliyopo kwenye family level.

Mengine wenzangu wataongezea.
 
Ila kuna watu mna vichwa vigumu sana aisee, ivi kweli mpo serious kudhani kwamba Magufuli atashindwa katika uchaguzi wa mwaka huu.? Au mnachangamsha kijiwe tu.? Jaribuni kutembea kidogo huku vijijini muone watu walivyo na hamu ya 28 Oct kwenda kumpa kura nyingi sana Magufuli kwa makubwa aliyoyafanya ambayo ninyi mnayabeza kila siku.
 
Wewe na wenzako ni watu wabaya sana, mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa yule mzee wa watu ilhali hatakiwi mbunguni wala duniani.
 
Ila kuna watu mna vichwa vigumu sana aisee, ivi kweli mpo serious kudhani kwamba Magufuli atashindwa katika uchaguzi wa mwaka huu.? Au mnachangamsha kijiwe tu.? Jaribuni kutembea kidogo huku vijijini muone watu walivyo na hamu ya 28 Oct kwenda kumpa kura nyingi sana Magufuli kwa makubwa aliyoyafanya ambayo ninyi mnayabeza kila siku.

Mkuu Magu amefanya kampeni for 5 good years pekee yake huku akizungumza uongo mwingi.Ningekuwa Mimi ningeenda na report za utekelezaji wa budget wa serikali ya Magu for five years. Yeye si amewaaminisha watu kuwa anapiga kazi sana.

You just ask them Kama ulipanga ujenge nyumba kwa milioni moja hapa kijijini au milioni 20 hapa mjini then kwa mwaka mzima ukafanikiwa kupata laki 4 au milioni 5 nyumba itaweza kukamilika? Sasa Kama mtu anatekeleza budget aliyojipangia kwa 40 % hizo barabara,zahanati,hospital zinajengwa na Nini kama si uongo?

Magufuli anaonekana anafanya kazi kwa kuwa watu hawana facts,ukiweka facts he is an everage performer.
 
Kampeni bado hazijaanza. Kwa sasa Lissu ana-test mitambo tu. CHADEMA wana sera zao walizindua mwaka juzi, subiri kampeni zianze utazisikia sera nzuri za ujenzi wa nchi yetu Tanzania.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Ila kuna watu mna vichwa vigumu sana aisee, ivi kweli mpo serious kudhani kwamba Magufuli atashindwa katika uchaguzi wa mwaka huu.? Au mnachangamsha kijiwe tu.? Jaribuni kutembea kidogo huku vijijini muone watu walivyo na hamu ya 28 Oct kwenda kumpa kura nyingi sana Magufuli kwa makubwa aliyoyafanya ambayo ninyi mnayabeza kila siku.

Umetembelea vijiji vingapi mkuu?
 
Makubwa yapi hayo?
 
Ila kuna watu wajinga duniani, yaani unaamini kabisa kuwa ni vigumu Magufuli kushindwa uchaguzi huu? Hivyo vijiji unavyovizungumzia wananchi wa huko wana watoto wao ambao tangu Magufuli aingie madarakani hawawapi misaada ya kutosha, na wanawaambia utawala huu haujawaongeza mishahara, umevuruga biashara zao, hivyo vipato vyao vimedumaa! Ndani ya CCM kwenyewe pamevurugika haijawahi kutokea..usicheze na nguvu ya Mungu watu wamepigwa upofu mambo ni vuluvulu!
 
Mh. Tundu A. Lissu habari ya asubuhi,

Mimi si mwanachama wa Chadema wala CCM Ila my country Tanzania na watanzania ni Kila kitu kwangu. Lakini pia naomba nikiri wazi kuwa naichukia CCM kwa dhati kabisa kwanza kwa kuamua kuwekeza kwenye ujinga na umasikini wa watanzania ili waendelee kuwatawala huku wakiwalaghai kwa vitu vidogo vidogo kama vile stendi, masoko, flyover, ndege etc.

Ujinga wa watanzania uliotengenezwa na CCM ndo unawafanya waone kuwa ndege ni maendeleo, masoko na stendi ni maendeleo hata Kama hali zao kiuchumi ni mbaya sana.

Nikirudi kwenye hoja yangu ya msingi kwako, nakuomba sana hotuba zako za kampeni ziwe na yafuatayo

1. Shukrani kwa watanzania kwa maombi yao na michango yao bila kujari itikadi zao,washukuru sana.

2. Elezea in brief kile kilichokupata tarehe 17/9 na muujiza wa kusurvive 32 bullets ili waweze kuconnect why umewashukuru.

3. Waambie watanzania njia pekee uliyonayo ya kuweza kuwalipa maombi na michango yao ni kuja kuwa tumikia na ndo maana umekuja kuwaomba ridhaa ya kuwatumikia pamoja na kwamba bado una risasi zingine ndani ya mwili.

Toa mifano mizuri ya kazi ulizofanya kwa wanasingida Mashariki na watanzania wengine,ikiwezekana tengeneza documenteries on how you addressed changamoto za watu wa Singida na mzi-project kwenye mikutano yenu kabla wewe hujaanza kuzungumza na pia hizo documentary zioneshwe kwenye Kila ofisi ya CHADEMA.

4. Elezea utavyoaddress changamoto za wananchi zilivyosababishwa na CCM na Magufuli.

5. Challenge kazi na uongo wa Magufuli kwa kutoa mifano hai toka nchi jirani. Mfano Ethiopia wana ndege zaidi ya Mia,Wana bwawa kubwa la kuzalisha umeme hadi Magufuli aliomba auziwe umeme( Crip yake ikipatikana itakuwa nzuri) Wana SGR lakini wananchi wake kila siku wanatoroka nchi na wengine wamekamatwa sana hapa kwetu( ulipata idadi ya waithiopia waliokamatwa hapa nchini will be great) waoneshe watu tofauti ya maendeleo ya watu na vitu.

Toa mifano inayogusa familia mfano ujenzi wa nyumba. Kwamba mtu anaanza Kwanza kuendelea kwa kupata kipato kinachomtosheleza kula ndo ananza kufikiria nyumba na gari

6. Onesha uongo wa Magufuli, ikiwezekana zitengenezwe documentary zinazoonesha unafiki wake kwa mabeberu, tuanze na Ile aliyogeuka kuwa dereva wa beberu alipokuja kuzindua ujenzi wa interchange ya ubungo na kisha yule mwanaume wa Barrick

7. Elezea connection ya cheo cha Rais na mlo wa familia unaowekwa mezani kwao, toa mifano ya intervations kwenye market system ya mazao ya korosho, kahawa, tumbaku na mbaazi yalivyoadhiri vipato vya familia na kisha elezea nini wewe utafanya kuhakikisha wanapata bei nzuri na soko la uhakika

8. Elezea namna Serikali yako itakavyopiga jeki biashara zilizoadhiriwa na corona

9. Issue ya katiba is key

10. Issue ya elimu ya bure hadi chuo kikuu ni muhimu. Waeleze watanzania namna CCM inavyomwandaa mtoto wa masikini kuwa fukara, dereva wa boda boda.Taja kiwango cha ada katika level mbalimbali za elimu halafu waulize wananchi kwamba kama mtu ameshindwa kulipa elfu 60 anawezaje kulipa Milioni 2 plus.

Toa idadi ya wanafunzi wanaomaliza kila mwaka na wale waopewa mikopo

Please note: Ujinga uliotengezwa na CCM kwa miaka mingi, Magufuli ameumeremetisha sana kwa hiyo ukiongea vitu at presidential level watu hawatakuelewa, toa mifano iliyopo kwenye family level.

Mengine wenzangu wataongezea.
mmmmmmmmmmmmmmmm huyu jamaa aache kutukana hvyo aanze kuongeaa kistaarabu hivyo? basi itakuwa rahisi kwa nzi kugeuka kuwa nyuki atengeneze asali
 
Back
Top Bottom