Uchaguzi 2020 Jimbo la Ruangwa tumuache Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa apite bila kupingwa

Malick M. Malick

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
647
304
Wana Lindi wenzangu habari

Leo nimependa niwakumbushe wakati tunaenda katika uchaguzi mkuu ,

Nina waomba Wana Lindi bila kujali ITIKADI, Jimbo la Ruangwa tumuache waziri mkuu ,mhe KASIMU MAJALIWA apite bila kupingwa ,ni heshima Kwa mikoa yetu ya kusini, Sisi sio wa Kwanza kufanya hivyoo

Mikoa ya Rukwa na Katavi, walimuacha Mhe Pinda apite bila kupingwa mwaka 2010 tena upinzani nchini ulikua upinzani kweli kweli, aliekuawa makamu mwenyekiti wa CHADEMA mhe Afi aliwaambia CHADEMA waziri mkuu kutoka mikoa Yao ni heshima, pamoja kuwa ni demokrasia lakini wao wameamua kutumia demokrasia kumuacha apite bila kupingwa na ikawa hivyo .

Niwaombe Wana Lindi bila kujali vyama vyetu ,tunajua na wapinzani wanajua ,na dunia inajua kuwa mhe Majaliwa atashinda uchaguzi na kuwa mbunge

Kwa mazingira kama hayo tuamue kutumia demokrasia ya kumuachia apite bila kupingwa kila mtu anajua utendaji wake, ni mtu wa mfano, amefanya makubwa Sana katika Jimbo la Ruangwa

Iwa mwema

MALIKI MALIKI
 
Du, ni masikitiko sana. Kama kuna uhakika atapita!! wasi wasi wa nini. Waache hata 100 wajitokeze kushindana nae na watapata sifuri. Hiyo ndio demokrasia.

Sijawahi kusikia eti demokrasia ya kumuacha peke yake apite - Tumuachie, yaani demokrasia ya tumuachie hata kama mtu mmoja mmoja anataka kugombea.
 
just
Majaliwa amefanya mambo mengi sana kwa watu wa Ruangwa na Tanzania kwa ujumla, nguvu ya kumpinga inatoka wapi,tumuache apite tu bila kupingwa.
 
Kama boss wake anapingwa vikali tena kwa lundo la wagombea wanataka kumtoa upesi pale Ikulu, iweje yeye PM asipingwe?
Tena mwambie ajipange haswaa, maana akicheza pia ataangushwa ghafla. Siasa hainaga mwenyewe.
 
Apite bila kupingwa kwa nini? yupo jamaa yangu mtu wa huko Kusini kaniambia lazima apigwe chini kwani hana maana. Kashindwa kutetea ununuzi wa korosho, katishwa shangazi zao watapokea kipigo kagwaya jee in mwanaume gani huyo?
Sio kuachiwa tuu, Bali atapigwa chini. Hayo yakuachiana yabakie huko kwao ccm
 
Mwanaume mpole sana huyu ni husband material
 
Apite bila kupingwa kwa nini? yupo jamaa yangu mtu wa huko Kusini kaniambia lazima apigwe chini kwani hana maana. Kashindwa kutetea ununuzi wa korosho, katishwa shangazi zao watapokea kipigo kagwaya jee in mwanaume gani huyo?
Sio kuachiwa tuu, Bali atapigwa chini. Hayo yakuachiana yabakie huko kwao ccm
Mkuu Ni mchana sasa wewe bado unaota ndoto za namna hii, tuambie ndoto zako zina maana gani?
 
Ndo maana watu wasiojulikana leo wamempiga mapanga mgombea ubunge wa ACT ili apite bila kupingwa
 
Naunga mkono hoja,jamaa anapitia wakati mgumu pia huku chamani.

Tumafariji kuwa tunaimani naye sisi kama raia.

ACT & CDM kwa Ruangwa chukueni udiwani n.k
 
Mnalazimisha kuingia kwenye siasa huku hamuwezi ushindani, huyo waziri mkuu aachiwe apite bila kupingwa kwani ana tija gani? Huyo si ndio alipewa maneno ya dharau kuwa atapigwa yeye na mashangazi zake, na akaweka mikono katikati ya mapaja? Kama umekula hela yake mrudishie iliyobaki usiingie matatizoni tafadhali.
 
Wana Lindi wenzangu habari

Leo nimependa niwakumbushe wakati tunaenda katika uchaguzi mkuu ,

Nina waomba Wana Lindi bila kujali ITIKADI, Jimbo la Ruangwa tumuache waziri mkuu ,mhe KASIMU MAJALIWA apite bila kupingwa ,ni heshima Kwa mikoa yetu ya kusini, Sisi sio wa Kwanza kufanya hivyoo

Mikoa ya Rukwa na Katavi, walimuacha Mhe Pinda apite bila kupingwa mwaka 2010 tena upinzani nchini ulikua upinzani kweli kweli, aliekuawa makamu mwenyekiti wa CHADEMA mhe Afi aliwaambia CHADEMA waziri mkuu kutoka mikoa Yao ni heshima, pamoja kuwa ni demokrasia lakini wao wameamua kutumia demokrasia kumuacha apite bila kupingwa na ikawa hivyo .

Niwaombe Wana Lindi bila kujali vyama vyetu ,tunajua na wapinzani wanajua ,na dunia inajua kuwa mhe Majaliwa atashinda uchaguzi na kuwa mbunge

Kwa mazingira kama hayo tuamue kutumia demokrasia ya kumuachia apite bila kupingwa kila mtu anajua utendaji wake, ni mtu wa mfano, amefanya makubwa Sana katika Jimbo la Ruangwa

Iwa mwema

MALIKI MALIKI
Halafu mkishafanya hivyo muje kwangu niwape zawadi ya nguvu!
 
Utakuwa JIWE wewe sio bure.
Ulizoea kuwanunua/kuwafanyia figisu wapinzani wako kwenye ubunge huko Chato na kupita bila kupingwa, sasa hivi umekwama nyambaafu ww!
 
Back
Top Bottom