Uchaguzi 2020 Makosa ya wakubwa yanavyomnufaisha Tundu Lissu

TWisheshagi

Member
May 2, 2020
13
100
TUNDU LISSU, huenda akawa ni miongoni mwa wanasiasa wenye bahati kubwa!

Ni mwanasiasa, anayenufaika sana na makosa ya wakubwa! Makosa ya wakubwa kwa kujua au kutokujua, kwa kushauriwa au kutokushauriwa vizuri yameanza kumjenga Tundu Lissu.

Awamu hii ya tano, imejenga marafiki wengi wa kificho na maadui wengi wa kificho. Marafiki wa kificho wa awamu hii ni wale wanaojituma kufanya kazi kwa niaba ya CCM au Serikali.

Lipo kundi jingine la marafiki wa kificho wao wanampenda zaidi Rais Magufuli, kuliko wanavyokipenda Chama cha Mapinduzi(CCM). Hawa wako wengi. Na kwa kipindi hiki, wanaojituma kufanya kila kitu wakidhani wanamnufaisha Rais.

Kwa uzoefu wangu mdogo wa mambo haya, ni kwamba kundi hili hujifanyia mambo yake bila kutumwa na mtu yoyote, wala taasisi yoyote yenye mamlaka. Lakini hutumia nembo au kichaka cha kutumwa ili waweze kuaminika.

Kila awamu ya utawala huwa na kundi kama hili. Tofauti ni kwamba awamu hii imezipiku awamu zote kuwa na makundi nje ya mfumo rasmi yanayoingiza mkenge watu na hata kuharibu taswira ya Rais!

Nitatoa mifano: Wakati wa hamahama za wabunge wa upinzani kwenda CCM, Kuna watu walijituma kufanya kazi hiyo ili kumfurahisha Rais. Haku kuwa na makubaliano maalum, bali wengi walio hama waliingizwa mkenge!

Rais alipewa taarifa kuwa watu hawa wanampenda na kumuunga mkono! Kuna kilio kikubwa huko kwa sasa! Na zahma kubwa linakuja endapo wakubwa wataamua kuwarejesha kwa nguvu wale wote waliokataliwa na Wajumbe. Hapo ndipo makosa ya wakubwa yatakapoanza kumnufaisha Tundu Lisu.

Hotuba za Lissu sasa zinazuiwa na watu ambao wanaojituma. Hawapendi Rais asemwe hata kama yeye binafsi anapenda kusikiliza maoni ya Lissu.

Chombo kikubwa kama ITV kufanya jambo la kijinga na kitoto kama hilo ni matokeo ya kundi hili kujipenyeza kila pahala kwa lengo la kumfurahisha Rais!

Badala ya kumsaidia Rais, Sasa wanamjenga Lissu! Pamoja na ukweli kuwa Tundu Lissu alisikika na kutikisa sana kipindi cha KIKWETE! Lakini katika awamu hii amejiongezea umaarufu maradufu!

Umaarufu wa Tundu Lissu, umeongezeka sana ndani ya siku chache! Wanaopenda kutukana mnakaribishwa, lakini huo ndiyo ukweli mchungu.

Hotuba za Lissu zinatafutwa kwa sababu wanaojituma wanamzimia maiki anapoongea. Naamini, wanaofanya hivi hawatumwi kufanya hivyo, bali wanajituma.

Na kwa sababu hata wakubwa hawakemei wala kukataa vitendo hivyo hadharani, basi wote wanashiriki hatua kwa hatua kumwimarisha Tundu Lisu.

Haiwezekani kama Chama, tufanye kazi kubwa ndani ya Miaka mitano. Tufanye kampeni sisi wenyewe, tuimarishe uchumi wetu, harafu tushindwe kuwa na hoja za kumjibu Tundu Lisu, ambaye hakuwepo nchini kwa muda mrefu mpaka tupate msaada wa watu wanaojituma kuzima maiki za Lissu ili asisikike!

Hapa Kuna tatizo! Makosa yetu wenyewe ndiyo yanamejenga Tundu Lissu.

Wahenge husema: Hata anayerudi nyuma, ana mbele yake anayo kwenda, japokuwa sisi tunaotizama tunaona anaelekea nyuma.

Ndimi Mkulima wa Bamia, Bonde la Mto Simiyu-Magu, Mwanza.
 
ngutu

Member
Jul 21, 2016
92
125
Umesema kweli, mm binafsi nimejikuta nashauku ya kutaka kumckiliza tundu lisu tangu amerudi nchini,naamini wananchi wengi wa vyama vyote nchini wanashauku ya kumckiliza tundu lisu na upinzani kwa ujumla kwani wengi wao tulimisi siasa za upinzani haswa wakiwa majikwaani.

Kwa upande wa mh raisi anaemaliza mda wake na anagombea kipindi cha pili nachokiona kwa upande wangu sitakuwa na shauku ya kumckiliza maana atakuwa anazungumzia miradi mikubwa ya maendelea aliyoifanya kwa kipindi cha miaka mitano na ambayo inaendelea kufanyika.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
6,160
2,000
Licha ya Tundu Lissu kutokuwepo nchini, upinzani ulipigwa sindamo ya ganzi kwa miaka minne na nusu. CCM ili fanya siasa peke yake.
Inaweza kuwa JPM ana nia nzuri sana na Tanzania na Watanzania wenyewe. Ila tatizo ninalo liona ni kwamba wasaidizi wa jamaa wana mpa taarifa negative, han awashauri wakweli. Na hasa baada ya wao kugundua Baba la Baba anapenda kusifiwa basi wao kila jambo ni mapambio tuu. Kiasi kwamba wamempoteza mkuu.

Laabda akiingia this time atakuwa na washauri wazuri maana ana mawili, kufanya vibaya historia ije kumhukumu au afanye mema aje akumbukwe kama walio mtangulia.

Ila kwa sasa hawa alio waokota jalalani wamempoteza.. Anatakiwa ajifunze kutokea hapo. Na ajue hii nchi sio ya Wasukuma tuu. Tuko makabila zaidi ya 120 na wote wanatakiwa kutoa michango kwenye hili Taifa. Nimeongea tuu jamani napita
 
kelao

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
7,340

G T wa JF
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
5,954
2,000
Umesema kweli, mm binafsi nimejikuta nashauku ya kutaka kumckiliza tundu lisu tangu amerudi nchini,naamini wananchi wengi wa vyama vyote nchini wanashauku ya kumckiliza tundu lisu na upinzani kwa ujumla kwani wengi wao tulimisi siasa za upinzani haswa wakiwa majikwaani.

Kwa upande wa mh raisi anaemaliza mda wake na anagombea kipindi cha pili nachokiona kwa upande wangu sitakuwa na shauku ya kumckiliza maana atakuwa anazungumzia miradi mikubwa ya maendelea aliyoifanya kwa kipindi cha miaka mitano na ambayo inaendelea kufanyika.
Tatizo walianza kampeni mapema mno wameshindwa kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja watu tunaishi kwa hofu sura za vijana zimezeeka duu!
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,009
2,000
TUNDU LISSU, huenda akawa ni miongoni mwa wanasiasa wenye bahati kubwa!

Ni mwanasiasa, anayenufaika sana na makosa ya wakubwa! Makosa ya wakubwa kwa kujua au kutokujua, kwa kushauriwa au kutokushauriwa vizuri yameanza kumjenga Tundu Lissu.

Awamu hii ya tano, imejenga marafiki wengi wa kificho na maadui wengi wa kificho. Marafiki wa kificho wa awamu hii ni wale wanaojituma kufanya kazi kwa niaba ya CCM au Serikali.

Lipo kundi jingine la marafiki wa kificho wao wanampenda zaidi Rais Magufuli, kuliko wanavyokipenda Chama cha Mapinduzi(CCM). Hawa wako wengi. Na kwa kipindi hiki, wanaojituma kufanya kila kitu wakidhani wanamnufaisha Rais.

Kwa uzoefu wangu mdogo wa mambo haya, ni kwamba kundi hili hujifanyia mambo yake bila kutumwa na mtu yoyote, wala taasisi yoyote yenye mamlaka. Lakini hutumia nembo au kichaka cha kutumwa ili waweze kuaminika.

Kila awamu ya utawala huwa na kundi kama hili. Tofauti ni kwamba awamu hii imezipiku awamu zote kuwa na makundi nje ya mfumo rasmi yanayoingiza mkenge watu na hata kuharibu taswira ya Rais!

Nitatoa mifano: Wakati wa hamahama za wabunge wa upinzani kwenda CCM, Kuna watu walijituma kufanya kazi hiyo ili kumfurahisha Rais. Haku kuwa na makubaliano maalum, bali wengi walio hama waliingizwa mkenge!

Rais alipewa taarifa kuwa watu hawa wanampenda na kumuunga mkono! Kuna kilio kikubwa huko kwa sasa! Na zahma kubwa linakuja endapo wakubwa wataamua kuwarejesha kwa nguvu wale wote waliokataliwa na Wajumbe. Hapo ndipo makosa ya wakubwa yatakapoanza kumnufaisha Tundu Lisu.

Hotuba za Lissu sasa zinazuiwa na watu ambao wanaojituma. Hawapendi Rais asemwe hata kama yeye binafsi anapenda kusikiliza maoni ya Lissu.

Chombo kikubwa kama ITV kufanya jambo la kijinga na kitoto kama hilo ni matokeo ya kundi hili kujipenyeza kila pahala kwa lengo la kumfurahisha Rais!

Badala ya kumsaidia Rais, Sasa wanamjenga Lissu! Pamoja na ukweli kuwa Tundu Lissu alisikika na kutikisa sana kipindi cha KIKWETE! Lakini katika awamu hii amejiongezea umaarufu maradufu!

Umaarufu wa Tundu Lissu, umeongezeka sana ndani ya siku chache! Wanaopenda kutukana mnakaribishwa, lakini huo ndiyo ukweli mchungu.

Hotuba za Lissu zinatafutwa kwa sababu wanaojituma wanamzimia maiki anapoongea. Naamini, wanaofanya hivi hawatumwi kufanya hivyo, bali wanajituma.

Na kwa sababu hata wakubwa hawakemei wala kukataa vitendo hivyo hadharani, basi wote wanashiriki hatua kwa hatua kumwimarisha Tundu Lisu.

Haiwezekani kama Chama, tufanye kazi kubwa ndani ya Miaka mitano. Tufanye kampeni sisi wenyewe, tuimarishe uchumi wetu, harafu tushindwe kuwa na hoja za kumjibu Tundu Lisu, ambaye hakuwepo nchini kwa muda mrefu mpaka tupate msaada wa watu wanaojituma kuzima maiki za Lissu ili asisikike!

Hapa Kuna tatizo! Makosa yetu wenyewe ndiyo yanamejenga Tundu Lissu.

Wahenge husema: Hata anayerudi nyuma, ana mbele yake anayo kwenda, japokuwa sisi tunaotizama tunaona anaelekea nyuma.

Ndimi Mkulima wa Bamia, Bonde la Mto Simiyu-Magu, Mwanza.
Acha ujinga, hao wanatoroka kulipa kodi. Ndio maana wamewekwa zizini
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
5,954
2,000
Inaweza kuwa JPM ana nia nzuri sana na Tanzania na Watanzania wenyewe. Ila tatizo ninalo liona ni kwamba wasaidizi wa jamaa wana mpa taarifa negative, han awashauri wakweli. Na hasa baada ya wao kugundua Baba la Baba anapenda kusifiwa basi wao kila jambo ni mapambio tuu. Kiasi kwamba wamempoteza mkuu.
Laabda akiingia this time atakuwa na washauri wazuri maana ana mawili, kufanya vibaya historia ije kumhukumu au afanye mema aje akumbukwe kama walio mtangulia.
Ila kwa sasa hawa alio waokota jalalani wamempoteza.. Anatakiwa ajifunze kutokea hapo. Na ajue hii nchi sio ya Wasukuma tuu. Tuko makabila zaidi ya 120 na wote wanatakiwa kutoa michango kwenye hili Taifa. Nimeongea tuu jamani napita
Siyo wasaidizi wake, mimi naandika kitabu cha ujasiriamali moja ya sababu ya biashara nyingi kufungwa ama kudorola ni sera za majukwaani, ambazo hazidumu 'uncertanity policy' huwezi kuimarisha biashara kwa sera za majukwaani
 
RockCarnegie

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
892
1,000
TUNDU LISSU, huenda akawa ni miongoni mwa wanasiasa wenye bahati kubwa!

Ni mwanasiasa, anayenufaika sana na makosa ya wakubwa! Makosa ya wakubwa kwa kujua au kutokujua, kwa kushauriwa au kutokushauriwa vizuri yameanza kumjenga Tundu Lissu.

Awamu hii ya tano, imejenga marafiki wengi wa kificho na maadui wengi wa kificho. Marafiki wa kificho wa awamu hii ni wale wanaojituma kufanya kazi kwa niaba ya CCM au Serikali.

Lipo kundi jingine la marafiki wa kificho wao wanampenda zaidi Rais Magufuli, kuliko wanavyokipenda Chama cha Mapinduzi(CCM). Hawa wako wengi. Na kwa kipindi hiki, wanaojituma kufanya kila kitu wakidhani wanamnufaisha Rais.

Kwa uzoefu wangu mdogo wa mambo haya, ni kwamba kundi hili hujifanyia mambo yake bila kutumwa na mtu yoyote, wala taasisi yoyote yenye mamlaka. Lakini hutumia nembo au kichaka cha kutumwa ili waweze kuaminika.

Kila awamu ya utawala huwa na kundi kama hili. Tofauti ni kwamba awamu hii imezipiku awamu zote kuwa na makundi nje ya mfumo rasmi yanayoingiza mkenge watu na hata kuharibu taswira ya Rais!

Nitatoa mifano: Wakati wa hamahama za wabunge wa upinzani kwenda CCM, Kuna watu walijituma kufanya kazi hiyo ili kumfurahisha Rais. Haku kuwa na makubaliano maalum, bali wengi walio hama waliingizwa mkenge!

Rais alipewa taarifa kuwa watu hawa wanampenda na kumuunga mkono! Kuna kilio kikubwa huko kwa sasa! Na zahma kubwa linakuja endapo wakubwa wataamua kuwarejesha kwa nguvu wale wote waliokataliwa na Wajumbe. Hapo ndipo makosa ya wakubwa yatakapoanza kumnufaisha Tundu Lisu.

Hotuba za Lissu sasa zinazuiwa na watu ambao wanaojituma. Hawapendi Rais asemwe hata kama yeye binafsi anapenda kusikiliza maoni ya Lissu.

Chombo kikubwa kama ITV kufanya jambo la kijinga na kitoto kama hilo ni matokeo ya kundi hili kujipenyeza kila pahala kwa lengo la kumfurahisha Rais!

Badala ya kumsaidia Rais, Sasa wanamjenga Lissu! Pamoja na ukweli kuwa Tundu Lissu alisikika na kutikisa sana kipindi cha KIKWETE! Lakini katika awamu hii amejiongezea umaarufu maradufu!

Umaarufu wa Tundu Lissu, umeongezeka sana ndani ya siku chache! Wanaopenda kutukana mnakaribishwa, lakini huo ndiyo ukweli mchungu.

Hotuba za Lissu zinatafutwa kwa sababu wanaojituma wanamzimia maiki anapoongea. Naamini, wanaofanya hivi hawatumwi kufanya hivyo, bali wanajituma.

Na kwa sababu hata wakubwa hawakemei wala kukataa vitendo hivyo hadharani, basi wote wanashiriki hatua kwa hatua kumwimarisha Tundu Lisu.

Haiwezekani kama Chama, tufanye kazi kubwa ndani ya Miaka mitano. Tufanye kampeni sisi wenyewe, tuimarishe uchumi wetu, harafu tushindwe kuwa na hoja za kumjibu Tundu Lisu, ambaye hakuwepo nchini kwa muda mrefu mpaka tupate msaada wa watu wanaojituma kuzima maiki za Lissu ili asisikike!

Hapa Kuna tatizo! Makosa yetu wenyewe ndiyo yanamejenga Tundu Lissu.

Wahenge husema: Hata anayerudi nyuma, ana mbele yake anayo kwenda, japokuwa sisi tunaotizama tunaona anaelekea nyuma.

Ndimi Mkulima wa Bamia, Bonde la Mto Simiyu-Magu, Mwanza.
Twisheshaga!
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
7,568
2,000
TUNDU LISSU, huenda akawa ni miongoni mwa wanasiasa wenye bahati kubwa!

... Makosa yetu wenyewe ndiyo yanamejenga Tundu Lissu.

Wahenge husema: Hata anayerudi nyuma, ana mbele yake anayo kwenda, japokuwa sisi tunaotizama tunaona anaelekea nyuma.

Ndimi Mkulima wa Bamia, Bonde la Mto Simiyu-Magu, Mwanza.
Kwa wanamtandao, Lissu anaonekana ni nyota iliyowadondokea

Kwa wachambuzi wa siasa na wasomi waliobobea kiufahamu, Lissu si mwanasiasa, wala si mwanaharakati, ila ni mtu anajifanya mjuaji - hajui kama hajui

Kwa wapiga kura, Lissu ni mmoja wa mavuvuzela wa wagombea

Lissu amejimaliza mwenyewe kabla ya kupanda kwenye jukwaa la kampeni, labda abadili kauli zake.
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
3,969
2,000
TUNDU LISSU, huenda akawa ni miongoni mwa wanasiasa wenye bahati kubwa!

Ni mwanasiasa, anayenufaika sana na makosa ya wakubwa! Makosa ya wakubwa kwa kujua au kutokujua, kwa kushauriwa au kutokushauriwa vizuri yameanza kumjenga Tundu Lissu.

Awamu hii ya tano, imejenga marafiki wengi wa kificho na maadui wengi wa kificho. Marafiki wa kificho wa awamu hii ni wale wanaojituma kufanya kazi kwa niaba ya CCM au Serikali.

Lipo kundi jingine la marafiki wa kificho wao wanampenda zaidi Rais Magufuli, kuliko wanavyokipenda Chama cha Mapinduzi(CCM). Hawa wako wengi. Na kwa kipindi hiki, wanaojituma kufanya kila kitu wakidhani wanamnufaisha Rais.

Kwa uzoefu wangu mdogo wa mambo haya, ni kwamba kundi hili hujifanyia mambo yake bila kutumwa na mtu yoyote, wala taasisi yoyote yenye mamlaka. Lakini hutumia nembo au kichaka cha kutumwa ili waweze kuaminika.

Kila awamu ya utawala huwa na kundi kama hili. Tofauti ni kwamba awamu hii imezipiku awamu zote kuwa na makundi nje ya mfumo rasmi yanayoingiza mkenge watu na hata kuharibu taswira ya Rais!

Nitatoa mifano: Wakati wa hamahama za wabunge wa upinzani kwenda CCM, Kuna watu walijituma kufanya kazi hiyo ili kumfurahisha Rais. Haku kuwa na makubaliano maalum, bali wengi walio hama waliingizwa mkenge!

Rais alipewa taarifa kuwa watu hawa wanampenda na kumuunga mkono! Kuna kilio kikubwa huko kwa sasa! Na zahma kubwa linakuja endapo wakubwa wataamua kuwarejesha kwa nguvu wale wote waliokataliwa na Wajumbe. Hapo ndipo makosa ya wakubwa yatakapoanza kumnufaisha Tundu Lisu.

Hotuba za Lissu sasa zinazuiwa na watu ambao wanaojituma. Hawapendi Rais asemwe hata kama yeye binafsi anapenda kusikiliza maoni ya Lissu.

Chombo kikubwa kama ITV kufanya jambo la kijinga na kitoto kama hilo ni matokeo ya kundi hili kujipenyeza kila pahala kwa lengo la kumfurahisha Rais!

Badala ya kumsaidia Rais, Sasa wanamjenga Lissu! Pamoja na ukweli kuwa Tundu Lissu alisikika na kutikisa sana kipindi cha KIKWETE! Lakini katika awamu hii amejiongezea umaarufu maradufu!

Umaarufu wa Tundu Lissu, umeongezeka sana ndani ya siku chache! Wanaopenda kutukana mnakaribishwa, lakini huo ndiyo ukweli mchungu.

Hotuba za Lissu zinatafutwa kwa sababu wanaojituma wanamzimia maiki anapoongea. Naamini, wanaofanya hivi hawatumwi kufanya hivyo, bali wanajituma.

Na kwa sababu hata wakubwa hawakemei wala kukataa vitendo hivyo hadharani, basi wote wanashiriki hatua kwa hatua kumwimarisha Tundu Lisu.

Haiwezekani kama Chama, tufanye kazi kubwa ndani ya Miaka mitano. Tufanye kampeni sisi wenyewe, tuimarishe uchumi wetu, harafu tushindwe kuwa na hoja za kumjibu Tundu Lisu, ambaye hakuwepo nchini kwa muda mrefu mpaka tupate msaada wa watu wanaojituma kuzima maiki za Lissu ili asisikike!

Hapa Kuna tatizo! Makosa yetu wenyewe ndiyo yanamejenga Tundu Lissu.

Wahenge husema: Hata anayerudi nyuma, ana mbele yake anayo kwenda, japokuwa sisi tunaotizama tunaona anaelekea nyuma.

Ndimi Mkulima wa Bamia, Bonde la Mto Simiyu-Magu, Mwanza.
Thread bora kabisa kwa siku ya leo. Hongera sana mleta mada kwa thread hii. Wewe unastahili kuwa kwenye jukwaa hili la great thinkers

Nikiwa bado CCM kabla sijahama niliwai kusema haya. Vyombo vya dola, serikali na mawakala uchwara wa CCM ndiyo waliomjenga Lissu kisiasa.

Hakukuwa na haja ya kumfungulia Lissu Mashtaka ya uchochezi mahakamani. Lile lilikuwa kosa la kwanza, kesi zilimbeba Lissu. Kila akienda Mahakamani waandishi walikuwa wanamfuata na akazidi kusikika na kupendwa zaidi.

Alivyozidi kupendwa wakafanya kosa la pili kumpiga risasi. Hapa ndo walikosea kupindukia kwa sababu vyovyote vile labda angekufa. Kupona kwake hata watu wasiomuamini Mungu wanachukulia kuwa ni miujiza.

Kibaya zaidi hawa watu hawajifunzi kamwe, Lissu karudi mikutano inayomuhusu hawaioneshi, wakionyesha wanamzimia sauti. Haya yanamjenga Lissu kisiasa mara 1000 zaidi.

Kwa jinsi Lissu anavyoonewa mchana kweupe hili linaongeza mapenzi kwake mara 1000 zaidi na tunapoelekea Lissu atakuwa na nguvu hata ya kuwaambia watu waingie mtaani kufanya maandamano na watu wakamsikiliza kweli na wanafanya.

Nilichojifunza ni kuwa Magufuli alitakiwa awe na wasaidizi wenye akili kubwa, busara na hekima sana na kubwa zaidi ndo wawe watu wa kumuelekeza cha kufanya. Ila hakupata hawa watu akapata watu wanaojipendekeza kwake

Tatizo alipata watu wa hovyo wasiomshauri vizuri na matokeo yake Lissu amejengwa vizuri na mwisho lazima amuangushe magufuli
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,877
2,000
Chombo kikubwa kama ITV kufanya jambo la kijinga na kitoto kama hilo ni matokeo ya kundi hili kujipenyeza kila pahala kwa lengo la kumfurahisha Rais!

Badala ya kumsaidia Rais, Sasa wanamjenga Lissu! Pamoja na ukweli kuwa Tundu Lissu alisikika na kutikisa sana kipindi cha KIKWETE! Lakini katika awamu hii amejiongezea umaarufu maradufu!

Umaarufu wa Tundu Lissu, umeongezeka sana ndani ya siku chache! Wanaopenda kutukana mnakaribishwa, lakini huo ndiyo ukweli mchungu.

Hotuba za Lissu zinatafutwa kwa sababu wanaojituma wanamzimia maiki anapoongea. Naamini, wanaofanya hivi hawatumwi kufanya hivyo, bali wanajituma.
Nafikiri ITV na vyombo vingine vya mitandaoni siyo wanajipendekeza au wanajituma kumfurahisha JPM.
Kinachotokea hivyo vyombo vinamjua Lissu hachelewi kutoa kauli zinazoweza kupelekea kuwaingiza matatani vyombo husika kwa kurusha matangazo ambayo yanaweza kutafsiriwa kama uchochezi au ya uvunjifu wa sheria kwa mujibu wa leseni za urushaji matangazo. Ngumu kuhariri matangazo yanayorushwa mubashara (live), na Lissu is very unpredictable kwakweli, muda wowote anaweza kurusha maneno makali sana.

Mhariri wa gazeti flani ana kesi ya kujibu mahakamani sababu ya kuchapisha kauli au maneno flani ya Lissu. Kila siku kushinda mahakamani na kuwalipa wanasheria sababu ya kutaka kuwafurahisha watu wa chama flani ni uzembe katika biashara. Mara kadhaa tumesikia vyombo kama Clouds FM wakipigwa faini sababu ya maneno au simulizi flani ya mmoja wa watu walio alikwa kwenye kipindi cha njia panda!!

Kila mtu anajua jinsi TCRA inavyo zilima faini kubwa vyombo vya habari kwa kurusha vitu vinavyo tafsiriwa kama uvunjivu wa sheria na maadili.

ITV na media zote they are playing smart kama ujuavyo sasa biashara ngumu na faini wanazolipa zinawaumiza zaidi wao kama biashara.

Ukumbuke mwisho wa siku zile ni biashara kama biashara zingine siyo charity organizations.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
6,160
2,000
Siyo wasaidizi wake, mimi naandika kitabu cha ujasiliamali moja ya sababu ya biashara nyingi kufungwa ama kudorola ni sera za majukwaani, ambazo hazidumi 'uncertanity policy' huwezi kuimarisha biashara kwa sera za majukwaani
Nime waza hivyo baada ya kuona JPM hakuwa mwana siasa, wala mchumi, wala mtu wa taaluma ya uongozi. Huyu ni mwana sayansi jumla. Tena zaidi sayansi ya cement na nondo.
Kumbuka urais wake aliupata baada ya kusimama chini ya mti wa chungwa likadondoka huko embe dodo.
Alipo ingia madarakani akawa na ile timu yake aliyo kuwa akishauriana nayo bar kuhusu kuwashughulikia wawekezeja kwenye madini. Akawapa na uwaziri wakawa wanaingia bungeni wakiwa walevi. Alipoteza wale wasaidizi wazuri wa watangulizi wake. Kuanzia Ikulu, hadi BOT na taasisi zote muhimu. Akaweka watu wa kujifunza, na wanao muogopa. Hawakuwa tena washauri walikuwa yes man..
Angalia juzi akitokea Lindi/Mtwara kalalamikia barabara mbovu. Waziri wake kaondoka na regional managers kumbe mmoja hana kosa.. Hii ni kufanya kazi kwa woga ili umfurahishe Mkuu.
Huo sio uongozi bali ni kujipendekeza.
Ndio maana nasema anatakiwa afikiri sana awamu hii itamjengea historia nzuri au kinyume chake.. Nitaomba nakala ya kitabu chako..
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
3,969
2,000
Inaweza kuwa JPM ana nia nzuri sana na Tanzania na Watanzania wenyewe. Ila tatizo ninalo liona ni kwamba wasaidizi wa jamaa wana mpa taarifa negative, han awashauri wakweli. Na hasa baada ya wao kugundua Baba la Baba anapenda kusifiwa basi wao kila jambo ni mapambio tuu. Kiasi kwamba wamempoteza mkuu.

Laabda akiingia this time atakuwa na washauri wazuri maana ana mawili, kufanya vibaya historia ije kumhukumu au afanye mema aje akumbukwe kama walio mtangulia.

Ila kwa sasa hawa alio waokota jalalani wamempoteza.. Anatakiwa ajifunze kutokea hapo. Na ajue hii nchi sio ya Wasukuma tuu. Tuko makabila zaidi ya 120 na wote wanatakiwa kutoa michango kwenye hili Taifa. Nimeongea tuu jamani napita
Magufuli harudi ikulu baada ya uchaguzi wa October 2020. Wengi hawataamini ila huu ndo ukweli wenyewe. Sura halisi ya watanzania ataiona mwaka huu.
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
5,954
2,000
Nime waza hivyo baada ya kuina JPM hakuwa mwana siasa, wala mchumi, wala mtu wa taaluma ya uongozi. Huyu ni mwana sayansi jumla. Tena zaidi sayansi ya cement na nondo.
Kumbuka urais wake aliupata baada ya kusimama chini ya mti wa chungwa likadondoka huko embe dodo.
Alipo ingia madarakani akawa na ile timu yake aliyo kuwa akishauriana nayo bar kuhusu kuwashughulikia wawekezeja kwenye madini. Akawapa na uwaziri wakawa wanaingia bungeni wakiwa walevi. Alipoteza wale wasaidizi wazuri wa watangulizi wake. Kuanzia Ikulu, hadi BOT na taasisi zote muhimu. Akaweka watu wa kujifunza, na wanao muogopa. Hawakuwa tena washauri walikuwa yes man..
Angalia juzi akitokea Lindi/Mtwara kalalamikia barabara mbovu. Waziri wake kaondoka na regional managers kumbe mmoja hana kosa.. Hii ni kufanya kazi kwa woga ili umfurahishe Mkuu.
Huo sio uongozi bali ni kujipendekeza.
Ndio maana nasema anatakiwa afikiri sana awamu hii itamjengea historia nzuri au kinyume chake.. Nitaomba nakala ya kitabu chako..
Karibu sana kitabu kiko kwenye hatua za mwisho tena hawa watawala pia ilitakiwa wakisome, kwenye changamoto ya ujasiriamali kunasomo linaitwa mjasiliamali na yanayo mzunguka 'the entrepreneur and his enviroment' hapo mjasiriamali mwenyewe anatakiwa ajifunze changamoto na fursa zinazo anzia nyumbani hadi kimataifa sera mbovu husababisha 1.watu wasilipe kodi 2.uchumi kushuka.3.watu wawachukie watawala
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom