Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimesikia mahala Mwenyekiti wa CCM akijinasibu kuwa Katiba hii ya CCM yq mwaka 1977 inafaa kisa tu wameweza kumfukuza Nchimbi uanachama na kuweka makamu mwingine. Huu ni uongo na uzandiki. Hii...
2 Reactions
2 Replies
71 Views
John Heche amesema kama Mwalimu Nyerere angekuwepo, angesikitika kwa Mzee Butiku kuwa Msaidizi wake, Watanzania wapuuze
7 Reactions
5 Replies
254 Views
Mara nyingi ukimchukia mtu unaweza kujikuta umeingia kwenye makosa na utata mwingi. Kwa jinsi nilivyofuatilia kesi ya Lissu ni kuwa kumteka Makamu wa Rais, kumtishia n.k ndio ugaidi halisi. Mzee...
2 Reactions
5 Replies
218 Views
Wakuu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametangaza kuwa Deogratius John Ndejembi amepitishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais kwa kura 324 sawa na 100%, na kwamba aliongea na baadhi ya mabalozi wa...
3 Reactions
29 Replies
528 Views
Habari za Sabato! Leo nilikuwa napitia hapa kitabu cha Asheri(Jasher). Nikaona kisa cha Waisrael kuwa utumwani kwa zaidi ya miaka 400 huko Misri. Kisa hicho kwa sehemu kubwa ni simulizi ya...
1 Reactions
7 Replies
113 Views
MADA : KULINDA MAFANIKIO YA VYAMA VYA UKOMBOZI BAADA YA UHURU, VINAENDANA NA HAJA YA VYAMA HIVYO KUBAKI MADARAKANI African National Congress (ANC) itakuwa mwenyeji wa Kongamano la Kilele cha...
1 Reactions
62 Replies
3K Views
Kkwenye kesi ya Lissu kuna Wakili anaitwa Ajuaye. Naye niliskia akihoji maswali ya dodoso. Nimeshangaa serikali kuleta wakili kama yule. Ina maana yale ndio majembe ya serikali au nu kishoka tu?
6 Reactions
12 Replies
282 Views
Chondechonde naomba tuikomboe hii nchi hata kama ni kwa kuiondoka serikali dhalimu.kwa namna yoyote naomba hii nchi ilindwe isianguke. Hata kama ni kwa...
1 Reactions
6 Replies
252 Views
Ninachokihitaji kiko sehemu ya Utangulizi wa Katiba ya JMT 1977, Kuna maneno ambayo yamepewa kichwa cha MISINGI YA KATIBA. Yanasomeka kama ifuatavyo. MISINGI YA KATIBA KWA KUWA SISI Wananchi...
1 Reactions
1 Replies
43 Views
Watu wanataka kubaki madarakani bila kufuata utaratibu wa Uchaguzi. Tusipoyatatua haya, Tanzania itaendelea kuzalisha wakimbizi
2 Reactions
7 Replies
152 Views
Itakuwa ni swala la kisheria,kuchukua urithi wangu,kukimiliki Chama. Last time pia nilitaka kwenda kuchukua fomu, lakini Makongoro alinikataza. But this time there is no turning back. Jaya jaya...
11 Reactions
22 Replies
282 Views
  • Redirect
Huyu Rais ana akili ? Yaani katiba ni ya Tanzania unatuambia mabalozi wanaifurahia ? Wtf ?
1 Reactions
– Replies
– Views
Mtakuwa wajinga mpaka lini? Ni lini mmewahi kuona CCM wako busy na mambo ya CHADEMA au chama cha upinzani? Nyie wapinzani mko kama fisi anayemnyemelea mtu anayetembea gizani akirusha mikono...
3 Reactions
27 Replies
297 Views
Iliwahikutabiriwa hii hali ya ccm kuwatesa wapinzani kwa kuwauwa kuwateka na kuwafungulia kesi za uongo. Godbless Lema akiwa mbunge kabla magufuli hajawafanyia uovu aliwahi kusema bungeni haya...
5 Reactions
28 Replies
368 Views
Wanabodi, Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe katika bandiko hili Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samiahttps://youtu.be/Xjao83Ghy04?si=qSQTeSxIx_8B5a-L Kiukweli kabisa mimi...
12 Reactions
147 Replies
31K Views
Maandalizi ya kikao maalum cha Kamati Kuu ya CHADEMA yamekamilika katika Edwin Mtei House, Makao Makuu ya Chama, Mikocheni, Dar es Salaam. Kikao hicho kinafanyika leo, Jumamosi, Agosti 29, 2026...
3 Reactions
8 Replies
214 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, ameibuka na kudai kuwepo kwa "mipango miovu" inayoratibiwa na baadhi ya waliokuwa wanachama na viongozi wa zamani wa chama hicho kuelekea Mkutano...
5 Reactions
3 Replies
180 Views
  • Redirect
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema ni matamanio na matarajio ya Watanzania wote kwamba Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, ataitumikia vyema Tanzania kwa...
1 Reactions
– Replies
– Views
Hii inaleta picha kamili kuwa wanachoamini wananchi kina ukweli. Vifo vya viongozi wengi wa CCM vina utata ndio maana CCM ni chama cha watu waovu kama alivyosema Humphrey Polepole.
2 Reactions
6 Replies
193 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…